Search results

  1. I

    Hii maana yake nini? Ndio tunaenda kuuzwa rasmi?

    I think this is the poorest decision She has ever made? Tunaheshimu tu Katiba lakini hafai kiwa kiongozi mkuu wa nchi. Asaini asisaini. Hili jambo ni la kupingwa kwa nguvu zote. Kimyakimya na waziwazi.
  2. I

    utitiri wa biashara ya miwani

    Wakuu. Huko Instagram kumezagaa kurasa zinazotangaza kuuzwa kwa miwani ya matumizi mbalimbali lakini hasa kuna ile inayobainishwa kuwa inadhibiti miali itokanayo na vioo vya computer. Je, wanaofanya biashara hii wamethibitisha kwenye mamlaka za afya kuwa bidhaa zao zinafaa kwa afya ya macho?
  3. I

    Ikulu; bidhaa ya kibiashara Meza Kuu

    Wakuu. Ukitizama vizuri hii picha ya Ikulu, ambayo naamini ilipigwa jana tarehe 18 May 2023, kuna bidhaa fulani ya biashara ya mtu binafsi inaonekana. Je, hii ni sahihi kwa kiasi gani?
  4. I

    Rekodi za Yanga dhidi ya Timu za Afrika ya Kusini

    Wasalaam. Ninaomba mwenye rekodi za Yanga akicheza na klabu za Afrika Kusini hasa mechi zinazochezwa ugenini Afrika Kusini kama hii ya kesho. Nawasilisha.
  5. I

    Sarafu ya Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dollar ya Marekani

    Dollar ya Marekani inazidi kuimarika. Shilingi ya Tanzania inazidi kudhoofika. Tangu robo ya kwanza ya mwaka, Dollar moja imekuwa ni sawa na shilingi 2310 kwa mujibu wa BoT. Robo ya pili ikapanda na kuwa 2311. Sasa tupo robo ya tatu na ndani ya siku 7 hizi ishapanda mara mbili: 2312 na sasa...
  6. I

    Sababu kwanini bei ya mafuta ni nafuu DRC na Zanzibar lakini Tanzania Bara ni ghali

    Sababu ya kwanza: DRC kuna shughuli nyingi sana za uchimbaji madini kama shaba na madini mengine. Makampuni makubwa ya kibepari yamefunga mitambo yao ya kupasuwa miamba huko. Shaba na madini mengine yanayochimbwa huko yanahitaji kusafirishwa hivyo basi wamiliki wa malori wanapeleka malori yao...
  7. I

    Kauli zenye athari hasi za Rais samia

    Kwenye uzi huu tujadili kauli zenye athari hasi za Rais Samia. Mimi naanza na kauli yake kwamba kutokana na vita ya Urusi na Ukraine anakosa namna ya kuzuia vitu visipande bei. Tangu atoe kauli hiyo lita 3 ya mafuta ya kula ya sun flower inauzwa 25,000. Box ya ream paper inauzwa 80,000 na...
  8. I

    Hamu ya kununua magazeti imenirejelea ghafla

    hakuna shaka na itabaki kuwa hivyo. baada ya Mwalimu Nyerere alietusaidia kuupata uhuru wa Tanganyika, Dr. John Joseph Pombe Magufuli anabaki kuwa Rais bora wa wakati wote. kizuri hakikosi kasoro. agenda yake ya kutaka kufuta upinzani haikuwa nzuri na hilo nilimpinga waziwazi kwa kumnyima kura...
  9. I

    Njia ya TAZARA imeanza kuhujumiwa rasmi?

    wakuu sana. hizi taarifa za treni zinazotumia njia ya TAZARA kuacha njia zimekuwa nyingi mno. nadhani kila mwezi kuna taarifa moja au mbili za treni kuacha njia ama upande wa Tanzania au ule wa Zambia. taarifa za hivi punde zinasema kuna treni imeacha njia Mlimba. juzijuzi tu hapa zilitoka...
  10. I

    Kuna mgao wa umeme?

    Katikati ya tozo za miamala, umeme unakatwa na kurudishwa bila taarifa. Katikati ya tozo za miamala rais yupo kwenye kuponda raha katika kile kinachoitwa royal tour. Katikati ya tozo za miamala tunapewa ripoti ya makusanyo ya 48B lakini umeme bado unakatwa. Nataka kufahamu nchi hii ipo kwenye...
  11. I

    Makambako: Njia ya treni yaharibika

    Wakuu, Kuna taarifa njia ya reli ya TAZARA imeharibika. no pictures please. Upuuzi huu na mwingine kama migao ya umeme tutaisikia sana baada ya Dr. Magufuli lakini tujue kama ambavyo Dr. Magufuli hakuishi milele basi na huyu aliepo hatoishi milele. Sisi Wananchi wa Tanzania hatutaki tozo bali...
  12. I

    Uviko-19: Vifo mfululizo vya wazee wetu siku za karibuni, chanjo haisaidii?

    Tangu kuletwa kwa chanjo kipaumbele ilikuwa ni kuwapa chanjo umri 50+ Ila sasa tangu wameanza kupatiwa hiyo chanjo hao 50+ kumekuwa na ongezeko la vifo vya 50+ Je, hii chanjo haisaidii?
  13. I

    Samia anaihujumu Tanganyika kwa kuwa yeye ni Mzanzibari?

    akili yangu inanituma kwamba Samia ameamua kuwageuza Watanganyika milioni 55 kuwa chambo cha chanjo ili mapesa anayopata kutoka kwa mabeberu akajenge makunduchi? Watanganyika wenye akili tusimame na Askofu Gwajima. hivi nyie Watanganyika nani kawaroga? Tanzania = Tanganyika+Zanzibar. Kwanini...
  14. I

    Mbio za mita 42,000 Olimpiki kuna Mtanzania anakimbia?

    saa 6 na nusu usiku wa manane. marathon mita 42000 inaendelea. nataka kufahamu kama kuna mkimbiaji kutoka Tanzania maana nimechungulia mpaka nimechoka simuoni.
  15. I

    Kwanini Serikali hufanya mambo nyeti bila kupata public opinion?

    Inashangaza na kusikitisha lakini ni kweli. Serikali imekuwa ikijiita sikivu lakini nyuma ya pazia masuala mengi tu yanayohitaji public opinion kabla ya yamekuwa yakitekelezwa kienyeji. Tozo miamala ya simu Chanjo ya korona Kitabu cha historia ya tanzania Ununuzi wa ndege SGR endelea... Kwa...
  16. I

    Jenerali Ulimwengu: Kuwa Mtumishi wa Serikali Hakumaanishi Una Akili Kuliko Wananchi

    Ni katika kuadhimisha miaka 20 ya shirika la Haki Elimu. Ameshauri watumishi wa serikali waachane na kasumba ya kuamini kwamba kuwa kwao katika utumishi serikalini basi ni wao tu wenye akili kuliko wananchi wa kawaida. Martha Qoro (PhD) ameshauri juu ya kuongeza wigo wa kujifunza lugha...
  17. I

    #COVID19 Wataalamu nisaidieni: Hivi ni sahihi kuanzisha kodi mpya katikati ya janga la Corona?

    Kwanza naomba ku-declare interest. hii serikali siipendi. Baada ya hapo niende kwenye mada moja kwa moja. Baada ya kifo cha kiongozi wetu aliekuwa anazipinga waziwazi conspiracy theories karibu zote zinazohusu corona. Mrithi wake kaja na wazo tofauti. yeye anazikubali pamoja na mambo yake...
  18. I

    Balozi Mulamula: Marekani sasa wanaamini ni salama kuwekeza Tanzania

    Kupitia chombo fulani cha habari, nimemsikia Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberatha Mulamula akidai kwamba kwa sasa Wamarekani wanaamini kuwa ni salama kuwekeza Tanzania, lakini hasemi ni wakati gani Wamarekani waliona si salama kuwekeza Tanzania.
  19. I

    Kwanini baadhi ya watu hawali kitimoto?

    Inasemwa kuwa eti mfalme mmoja aliekuwa na wake wawili wazuri alialika wageni nyumbani kwake. Akaagiza wachinjwe wanyama wa kila aina kutoka katika mifugo yake - mbuzi, ng'ombe, ngamia, kuku, bata, kondoo, nguruwe, nakadhalika. Baada ya mapishi kuwa yamekamilika wake wa yule mfalme waligundua...
Back
Top Bottom