Search results

  1. S

    VYUO VIKUU vya Tanzania havitambuliki kimataifa!!!

    kwani asha rose migiro,lipumba,tibaijuka.,wamesoma wap?mbona wanatambulika kimataifa,acheni propaganda ..udsm up up up up
  2. S

    jamani hata mabibo si hostel?

    of coz usafiri ni moja ya kikwazo bt kuna wengne fuata mkumbo eti wote 2po 1st year af anataka umbebe room kisa kapangwa mabib6
  3. S

    jamani hata mabibo si hostel?

    hivi hawa 1st year wa udsm wamekakalilishwa na nani!? Coz kila m2 aliyepangiwa mabibo hostel anataka kuhamia main cumpus,hebu mjaribu kulizika na mlichopata afu hasa waliotoka private xul ndo wanaboa kinoma..aaaaah
  4. S

    Ridhiwan naomba nisomee mkopo wa mkeo.

    jamani kweli anaitwa arafa sasa hivi nimetoka kumtafuta google..dah yani kuna watu wamechaguliwa madicine na wamesoma gvnt wamekosa mikopo af yeye....my godness kweli kikulacho kipo nguoni mwako
  5. S

    Hivi public relation ,unaweza fanya kazi zipi!?

    wewe ni mwanaume mwenye msimamo na jasiri
  6. S

    Hivi public relation ,unaweza fanya kazi zipi!?

    huyu ndiye aliyeelewa swali langu,wengine wanadakia tu
  7. S

    Hivi public relation ,unaweza fanya kazi zipi!?

    hivi nyie mnajua mshahara wa walimu na mazingira yao,bora nisome digrii yeyote nijtupie jeshini kuliko kua mwalimu
  8. S

    Hivi public relation ,unaweza fanya kazi zipi!?

    vip kuhusu engeneer na law ajira zipo?
  9. S

    Hivi public relation ,unaweza fanya kazi zipi!?

    thanx alot..ntasoma hii kitu coz ,niko talented na hizo field
  10. S

    Hivi public relation ,unaweza fanya kazi zipi!?

    mbona hata watu wa law wanasota mtaani,so kila ki2 kina ugumu..
  11. S

    Hivi public relation ,unaweza fanya kazi zipi!?

    sijadata na jina la coz,bt napenda mambo ya uhusiano na masoko hiyo ndo ndoto yang
  12. S

    Hivi public relation ,unaweza fanya kazi zipi!?

    asante kaka ntakaza,najua jambo lolote lenye mafanikio lazima liwe na challenge.
  13. S

    UDSM UDSM UDSM wanataka nini UDSM

    ndo ilivyo,nenda IFM,KIU,ST.JOSE,uone watu walivyonyongwa
  14. S

    UDSM UDSM UDSM wanataka nini UDSM

    bt asilimia 85 ya wanafunzi wa UDSM wamelipiwa 80/percent so nikiasi cha kumalizia tu kiungwana ili mtu upewe chako.
  15. S

    Hivi public relation ,unaweza fanya kazi zipi!?

    jamani mimi ni mwanafunzi,malengo yangu nije nisome shahada ya PUBLIC RELATION AND ADVERTISING bt sijajua exctly ukiachana na uhusiano je oppotunity gan nyengne unaweza ukafit.
Back
Top Bottom