Search results

  1. Bishweko

    Kagera : Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema

    Aisee kwahiyo ili waonekane wao sio maskini ni kujiunga na maandamano? Tanzania ni nchi maskini,je umaskini umesababishwa na watanzania kutoshiriki maandamano?
  2. Bishweko

    Kagera : Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema

    Nipo hapa ELCT-Bookshop ila maandamano yamedoda bojo
  3. Bishweko

    Kagera : Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema

    Yote uliyotaja sio matatizo ya hao ndugu zet.Fikiria tena
  4. Bishweko

    Barua ya wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro

    Kwahiyo ndugu unataka kusema wazee hao,walimu na wamama wametoa taarifa zisizo sahihi?
  5. Bishweko

    Barua ya wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro

    Unataka ushahidi wa maandishi au wa barua zao za kuachishwa kazi na kumaliza mikataba?
  6. Bishweko

    Barua ya wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro

    Sawa mkuu lakini atuwezi kuacha uovu huo ufumbiwe macho kamwe
  7. Bishweko

    Barua ya wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro

    Mimi nimemfikishia ujumbe mkuu
  8. Bishweko

    Barua ya wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro

    Mkuu jikite kwenye mada husika
  9. Bishweko

    Barua ya wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro

    Kwanza kabisa nianze kwa salam na kumshukuru Mungu kwa kuweza kutupa uhai pamoja na changamoto tunazo zipitia wananchi wa Tanzania. Lakini pia naomba kukupongeza sana Mh. Mtatiro kwa kuteuliwa tena na Mh. Rais kua mkuu wa wilaya ya Shinyanga. Najua na kuamini utendaji kazi wako ndiyo msingi wa...
  10. Bishweko

    Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia

    Hii ndiyo hoja sasa CHADEMA tuichukue na kuzunguka nchi nzima....tutapata wapiga kura wengi
  11. Bishweko

    Serikali, Bunge, Ziheshimu Mahakama! Kwanini Serikali na Bunge Hazijatekeleza Hukumu ya Mahakama kuhusu Ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?

    Nakuita tenaa Paschal ...narudia tena Paschal au Mayala.NI kipengere kipi kinasema kua ili kugombea Urais wa JMT lazma mtu awe na elimu ya masters? Paskali....Katiba imeweka wazi kua chama kitakacho pata wabunge wengi ndicho kitaunda au ndicho chenye mamlaka ya kuunda serikali.Sasa ebu tuambie...
  12. Bishweko

    Suala la mzee Mwinyi kuzikiwa Zanzibar wala lisifanywe la kisiasa, pitieni hapa msome muelewe sababu

    Naona umenielewa ila ukaweka tena maneno yako mengine....Tutauliza kuhusu huyu kishobeka..
  13. Bishweko

    Suala la mzee Mwinyi kuzikiwa Zanzibar wala lisifanywe la kisiasa, pitieni hapa msome muelewe sababu

    Hayati Mh.Mwinyi kuzikwa Zanzibar ni kuepusha shari na maswali kuhusu Dr.Mwinyi ambae kwasasa ndiye amekalia kiti huku kwetu Zanzibar... maana sio mwanakwetu kwa uhalali bali nikwa hisia tu.
  14. Bishweko

    Mwanza: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

    Sema mimi nilifurai Mh.Mbowe alivyokua ana kura nyama choma basi
  15. Bishweko

    Mwanza: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

    Kwahiyo unatka kusema kua CHADEMA tulifanya yote hayo ili tufunike matukio? Makofi mengi yalikua nguvu kiasi gani? Lets be serious bhana
  16. Bishweko

    Mwanza: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

    Kwamba ukikosea basi nasi tukosee....ujinga huo. Bunge na Rais wapo sawa maana huyo ni mstaafu kwahiyo protocol ipo hivyo. Huyu alikua mgombea wetu urais 2015 lakini tumefanya jogging na matembezi wakati wa msiba.
  17. Bishweko

    Mwanza: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

    Ndugu wakati mwingine kusema ukweli ni vizuri sana.Tunaro tatizo moja ambalo linazidi kukididimiza chama naro ni kuamiani kua CHADEMA we are always perfect and right...hii ilikua kanuni ya Adolf Hitler. Tunapo kua mbele kuikosoa CCM basi nasi tukubali kukosolewa maana we are not smart like that...
  18. Bishweko

    Mwanza: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

    Huu ndiyo ujinga ambao mnatufanya watanzania wasituamini kwa kutupigia kula ili tuongoze nchi. TUPUNGUZE UJINGA TUNAWEZA KUAMINIWA
  19. Bishweko

    Mwanza: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

    Sinaga muda wa kujadiliana na viumbe aisee.
  20. Bishweko

    Mwanza: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

    CHADEMA wemefanya matembezi ya kufuraia kuruhusiwa kufanya mikutano wakati Taifa zima likiwa kwenye maombolezo ya kuondokewa na aliwai kua mgombea wa CHADEMA kiti cha Urais 2015 na waziri mkuu mstaafu hayati Edward Lowassa.
Back
Top Bottom