Search results

  1. Mongasa

    Ni wakati wenu huu tambeni

    😂😂😂😂
  2. Mongasa

    Stephen Wassira aikosoa ilani ya Rais Magufuli ya Tanzania ya viwanda

    🏃🚶🏃‍♂️ Mzee ana FURAHA tele
  3. Mongasa

    Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!

    Umerudi brother, ulipotea jukwaani, pole kwa msiba lkn ni wakti wa wewe kurudi ktk uandishi wenye ethics kama zamani
  4. Mongasa

    Uchaguzi 2020 Jimbo la Nkasi ideally liko wazi. Je, ni Kessy tena au dada wa CHADEMA ataunga juhudi?

    Very true hilo jimbo lazima upinzani ushinde, iwe mvua iwe jua
  5. Mongasa

    Uchaguzi 2020 Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...

    Vyama vyote vina mechanisms vinaweza kuongoza nchi, wanasiasa ni wachache kuliko Raia wa ujumla, wataalam wapo wa kila sekta sio lazima wawe ktk vyama, kikubwa ni kutengeneza sera zinazoeleweka, kutekelezeka na kuzisimamia
  6. Mongasa

    Lissu: Si mara ya kwanza tunaahidiwa kuwekewa mikataba wazi. Kumuunga mkono Rais si lazima

    Wakati tukisubiri kufukuzwa bungeni na Spika Ndugai kwa maelekezo ya bosi wake, na wakati tukisubiri dhahama ya Bwana Mkubwa nje ya Bunge, hebu na tujiulize hivi nani hasa ndiye mzalendo wa kweli wa nchi hii???
  7. Mongasa

    Uchaguzi 2020 Fao la Kujitoa ni Turufu nyingine kwa Wagombea Urais

    Kweli kabisa CCM hawawezi kuliongelea kwa kua ni wanufaika, mimi na wenzangu ni wahanga wa hili jambo kupitia kampuni ya New Habari inayomilikiwa na kada rafiki wa Magufuli Rostam Aziz na kusimamiwa na Hussein Bashe, Wanakata michango ktk mishahara lkn hawapeleki NSSF tumezungushwa sana hili...
  8. Mongasa

    Wapinzani msitufokee, watanzania sio wasahaulifu kiasi hicho

    CCM na ufisadi vimeshikamana, mimi nikiwa muhanga wa Kampuni ya New Habari iliyo chini ya Naibu Waziri wa Kilimo Bashe na kumilikiwa na mwana CCM na rafiki wa Magufuli Rostam Aziz imedhulumu haki zetu na kuvunja sheria za nchi kwa kutokupeleka Michango ya hifadhi ya jamii, pamoja na kulalamika...
  9. Mongasa

    Serikali tuonee huruma, mwajiri wetu wa zamani hakupeleka mafao yetu kwa mujibu wa Sheria

    Asante kwa ushauri lakini kwa Waziri tulishafika hakuna kinachofanyika nguvu ya Waziri imekua ndogo kwa hao wakubwa, tunaumia zaidi kuona mmiliki anaweza kutoa msaada hadi Bilioni moja lakini pesa ya michango yetu hana nayo muda, kwakua Rais hao watu anawamudu atuombee wapeleke michango ya...
  10. Mongasa

    Serikali tuonee huruma, mwajiri wetu wa zamani hakupeleka mafao yetu kwa mujibu wa Sheria

    Natanguliza zangu nyingi shukrani kwako Mh Rais kwa mengi unayofanya kwa ajili ya Wananchi wako, pamoja na hayo kuna mambo mengi aidha watendaji wako hawakuambii au wao ni sehemu ya uozo huo. Yapata miaka zaidi ya miwili tunahangaikia kufuatilia pesa za michango yetu ya hifadhi ya jamii ambayo...
  11. Mongasa

    Namfananisha JPM na Salmin Amour

    COVID-19 INATISHA NIPO HOME
  12. Mongasa

    Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

    Uchaguzi ni takwa la Kikatiba, tukiangalia mtu akae madarakani kwa vigezo flani flani haiwezi kuleta maana wala ufumbuzi, mfano wewe umemuona kafanya vizr sekta flani, Je sekta ambazo kafeli atafutwe Rais mwingine awe msaidizi ili afanye hizo sekta nyingine? TUHESHIMU KATIBA NA TUWEKE MAPENZI...
  13. Mongasa

    Yona atoswe baharini ili merikebu isizame

    Atupwe chombo kisiende kombo
Back
Top Bottom