Watu wengi tunaogopa kuanzisha biashara fulani kwa kuogopa kwamba ma giant wameshajaa hivyo hatutapata wateja.
Soko la maji ya kunywa lilikuwa limetawaliwa na kilimanjaro, kila sherehe ya harusi utakayoenda maji unakuta Kilimanjaro. Kila hotel kubwa ama bar kubwa maji unakuta kilimanjaro, leo...
Majini yamejenga msikiti yameweka Hadi grill🙌🙌 siment sijui yametumia ya dangote , au ya pakistani 😂 Mungu atusamehe
Majini wamejenga jengo mpaka vioo vya aluminium wameweka
Jumla ya Ada kwa Miaka yote mitano: 32,769,250
Tukumbuke hiyo ni ada tu haijajumlisha gharama za chakula, hostel, stationary, na mengineyo
Swali langu kwa mliosoma ama kusomesha watoto wenu degree ya udaktari Kairuki Is it worth it ?
Binafsi ni msharika wa KKKT. nimebahatika kusali madhehebu mengi sana yakiwemo Roman Catholic, TAG,Anglican, SDA, KKKT na mengineyo. nimeenda kwa kualikwa na ndugu , jamaa na marafiki kusikiliza neno la Mungu . ukweli siku niliyosali kwa wasabato nimeona kitu tofauti sana katika ibada zao...
habari wadau
nilikuwa na utafiti binafsi wa mambo ya ndoa kwa ajili ya kukamilisha research thesis for academic reasons.
nilifika Kituo Jumuishi cha Masuala ya Familia Temeke na kufanikiwa kuomba nakala za hukumu mbali mbali za kesi za ndoa ili zinisaidie utafiti wangu.
katika kusoma kwangu...
habari wadau.
Utafiti wangu binafsi katika Kata moja inayoitwa TAMBANI iliyopo Mbagala Mbande kuna misikiti 36 ambayo imejengwa na wafadhili taasisi za kiislamu za wa Arabu na bado inaendelea kujengwa mingine.
kinachonishangaza kwa nini Wafadhili hao hawajajenga shule hata moja waislamu...
Habari wadau.
Ugomvi mkubwa wa mirathi ya marehemu Nelson Mandela umefikia pabaya. Baada ya baadhi ya wanafamilia kuanza kuuza mali za Marehemu.
Watoto na Wajukuu wa mandela wameingia kwenye ugomvi mkubwa wa kugombania mali za babu yao marehemu Mandela.
Africa tunafanana tabia. Kwenye swala...
Ameyasema hayo leo Jumapili, Januari 21, 2024 alipokuwa akizungumza kwenye Ibada Maalumu ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa iliyofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Azania Front, Dayosisi ya Mashariki na Pwani.
“Kwa wakazi wa...
Je ni kweli utawala wa nchi ya jordan ni ndugu wa Mtume Muhammad.
Na pia Familia ya kifalme inayotawala Morocco mpaka leo hii inadai ina undugu na Mtume.
Familia ya Kifalme ya Alaouite ya Morocco inadai kuwa nasaba ya Mtume Muhammad katika ukoo wa Imam Hasan ibn Ali.
KINACHONISHANGAZA FAMILIA...
Huu ni ukweli mchungu.
Hakuna Taifa lililoendelea kwa kuweka mbele dini kuliko viwanda.
Hata Saudi arabia wanaendelea sababu dini kwao ni biashara inayochangia pato lao la taifa matrilioni ya hela. Wanafurahi sana kuona watu wengi wanaenda kuhijj kwao. Hela za visa, hela za hotel kule...
ukweli mchungu changamoto za uzazi ni kubwa sana nowdays. sababu kuu mabinti wanachelewa kuolewa.
mwanamke wa miaka 30 mimba haipati kwa urahisi kama mwanamke wa miaka 25 ama mwanamke wa miaka 18
30 yrs is a prime for women mental maturity but not for carrying and birthing a human.
WAGANGA...
Shule ambazo mtoto anaenda asubuhi na anarudi jioni saa 11 ama saa 12 jioni sio nzuri kwa future ya mtoto.
Mtoto anapaswa atoke shuleni mapema. Ili awe na muda wa kujifunza skills za mtaani
Siku ya mtoto haipaswi kuishia kujifunza ya shuleni tu, anapaswa apate muda wa kujifunza...
Habari wadau.
Najaribu kuwaza ikitokea sensa ya wenye elimu ya chuo kikuu ila hawana ajira ikafanyika. Mtazamo wa wazazi juu ya elimu utabadilika sana.
Kwa hali ya ajira ilivyo,,Ada za mamilioni tunazolipia watoto wetu ni bora tuwanunulie mashamba, mifugo, kuwajengea vyumba vya kupangisha etc...
Habari wadau. wiki ijayo simba anarudiana na Wydad kwa mkapa.
Ni vizuri mechi hiyo ianze saa tisa jua bado kaii ili iishe saa 11 kasoro jua bado halijazama pia
Hii mbinu anaitumia Mamelodi Sundown anapocheza na waarabu , waarabu hawajazoea kucheza kwenye jua
Kama CAF wanairuhusu Mamelodi...
habari wadau.
naonaga lawama nyingi za waislamu wakimlaumu Rais wa awamu ya kwanza Nyerere aliwabania kuwapa madaraka na fursa nzuri serikalini baada ya uhuru.
Mzee wetu kipenzi Mohamed Said huwa analiongelea swala hili la nyerere na waislamu mara kwa mara.
nimeshangaa kukuta maneno ya...
habari wadau.
nimeona BBC article kuhusu soko la ajira la china. nimejifunza zama hizi kumsomesha mtoto chuo kikuu tena digrii zisizo za skills based, kama ufundi ni kuchezea hela. kuna siku mwanao atakulaumu
kwa mnaojua kiingereza ama kizungu. mjisomee na nyinyi
With Graduate Jobs Scarce...
habari wadau.
Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye raia wengi wanao amini imani za kishirikina.
hivyo waganga wa kienyeji wapo wengi sana Tanzania. uhalisia hao waganga wote ni matapeli. wanacheza na saikolojia za wateja wao.
nimekutana na video tik tok dada mmoja akieleza jinsi alivyotapeliwa...
Kutana na dada wa kazi alieenda shule Ella ambaye yeye anasema kazi yake ni usaidizi wa kazi za nyumbani.
Anasema licha ya kuwa na CPA yeye ni dada wa kazi na anafurahia kazi hiyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.