Search results

  1. Sangarara

    Hawa wakenya wanataka kumchafua mheshimiwa Rais wetu nini?

    SINGLE-SOURCED TENDERS Mr Wanjigi is Kenya’s equivalent of the Russian oligarchs and is one of the few tycoons who quietly control the country. And like the oligarchs; he grew rich by gaining privileged access to single-sourced multi-billion government tenders, which he now uses to his...
  2. Sangarara

    Mchakato wa majadiliano na ACACIA umefikia wapi

    Nategemea kwamba hatua za awali za majadiliano na hawa acacia zimeisha anza hata kama zitakua kwenye hatua za mwanzo kabisa za maandalizi wananchi tunapaswa kujuzwa kinachoendelea. Mheshimiwa Rais ameishatoa maelekezo ya wananchi wote kuungana ktk jambo hili, hivyo tuna haki ya kujurishwa nini...
  3. Sangarara

    Namna bora zaidi ya kumpongeza mheshimiwa Rais

    BUNGE. Kupitia kwa kauli za spika wa bunge na michango ya baadhi ya wabunge hasa wa CCM na hasa kutokana na wingi wao ni wazi Bunge letu limekunwa na hatua anazochukia mheshimiwa rais katika kile alichokitambulisha siku anapokea report ya kamati ya pili ya kuchunguza mchanga wa madini kama "vita...
  4. Sangarara

    Hawa watu kwanini hawajaanza kuhojiwa?

    Toka mheshimiwa rais apokee report ya pili ya mchanga wa dhahabu ni zaidi ya wiki imepita. Baada ya kupokea report hiyo mheshimiwa Rais hakumung'unya maneno , alisema anakubaliana na mapendekezo yote ya Kamati na akaelekeza mamraka zote za serikali kila moja katika nafasi yake zishiriki katika...
  5. Sangarara

    Rais Trump anafanya maamuzi yake ktk uendeshaji wa nchi kwa kutumia kitabu cha Art of the Deal

    Rais wa Marekani Donald Tramp anasemekana anafanya maamuzi yake katika uendeshaji wa nchi hii kwa misingi ambayo ameiandika katika kitabu chake kiitwacho "ART OF THE DEAL" Msingi mkuu wa aina zote alizoziandika katika kitabu hicho na ambazo anazitumia katika uendeshaji wa biashara zake na sasa...
  6. Sangarara

    Baa la njaa:Ushauri Kwa mheshimiwa Rais

    Najua mheshimiwa Rais si mtu anayependa kushauliwa hasa na watu anaohisi hawakumuunga mkono kwenye uchaguzi wa mwaka jana. Natambua kua hata kauli zake za kero na kebehi kwa wananchi wake zinatokana na ukweli anaoujua juu ya ushindi wake kama ulitokana na wingi wa kura harali au za ukokotoaji...
  7. Sangarara

    Nimeishinda hofu kwa mara ingine

    Ntamchagua lowasa
  8. Sangarara

    Utafiti fake: Hatuko tayari

    Nimeutafakari utafiti ambao matokeo yake ndio yamepelekea Lowasa kukimbilia CHADEMA na sasa anataka kufanywa kuwa mgombea urais atakayepitishwa bila kupingwa na chama changu na nimejiridhisha kwamba sio utafiti wa kweli, na kuna uwezekano wa uchafu mwingi sana kuwa nyuma ya haya yote...
  9. Sangarara

    Zitto naomba mjadala na wewe kuhusu sera ya uchumi ya ACT-Wazalendo

    Rejea kichwa cha habari hapo juu Wewe kama kiongozi mkuu Wa act umekuwa ukitoa kauli zisizo na maelezo ya ziada kuhusu malengo ya chama chako katika kubadirisha mfumo Wa uchumi Wa nchi yetu. Mpaka sasa inaonekana lengo lenu ni kuwashawishi wananchi juu ya kurudisha mfumo Wa ujamaa nchini...
  10. Sangarara

    Polisi wakagueni Maaskofu wengine kama mnavyomkagua Gwajima

    Baada ya askofu wa Ufufuo na Uzima kumkemea askofu mkuu wa kanisa Katoliki kwa madai ya kwenda kinyume na waraka uliotolewa na baraza la wakristu amehojiwa kwa jambo hilo na mambo mengine ambayo hayahusiani kabisa na suala la askofu Pengo. Sasa ili kuondoa hisia za upendeleo,polisi wawatake...
  11. Sangarara

    Jalada kesi ya mauaji, laibwa ofisi ya RCO Kilimanjaro

    Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro limeingia katika kashfa nzito likituhumiwa kuiba jalada la kesi ya mauaji ya meneja wa baa maarufu mjini Msohi ya Mo-Town,James John Massawe aliyeuawa kikatiri juni 9 mwaka 2009 katika kijiji cha Kindi Kibosho Moshi Vijijini. Watuhumiwa wa mauaji hayo ni...
  12. Sangarara

    Chama kikuu cha ushirika mkoani Kilimanjaro (KNCU) kipo hoi bin taaban

    Wapendwa wanajamvi natumai hamjambo, Kile chama kikuu cha ushirika kikongwe hapa nchini na barani afrika cha KNCU, kinapulia mashine kutokana na kuwa taabani kifedha hali hii imetokana na kuwapo na ufujaji mkubwa wa fedha unaoiandama bodi ya chama hicho iliyopo chini ya mwenyekiti wake...
  13. Sangarara

    Kati ya Zitto Kabwe na Job Ndugai.

    Ni katika kuishughulikia sakata la escrow. Tukimwacha David Kafulila na Halima Mdee ambao walishinikiza hili swala,kati ya hawa majemedari wawili,ni yupi alitoa mchango chanya zaidi kwenye swala hili. Ni Job Ndugai au Zitto Kabwe?
  14. Sangarara

    Tikrit

    Hili eneo nilianza kulisikia miaka ya 1980s Baada ya Sadam Hussein kuvamia Kuwait, likajirudia tena kwa mwangwi mkubwa zaidi majuzi hapa wakati Bush mtoto alipoamua kumalizia kazi ya baba yake, Sadam akafa kifo cha aibu kubwa. Najisikia vibaya sana napoandika hii, hasa nikimkumbuka RAIS WANGU...
  15. Sangarara

    Mwandishi wa habari adaiwa kubaka ndugu wa mke. Aunguzwa kwa maji ya moto

    Habari za jioni wanajamvi, Habari za hivi punde ambazo nimepenyezewa na mdaku mmoja kutoka pale mjini Moshi zinatonya kwamba mwandishi wa habari aliyefahamika kwa jina la Patrick Chambo ambaye amekuwa akiandikia magazeti ya Nipashe,amepatwa na mkasa mkubwa ambao hatausahamu katika maisha yake...
  16. Sangarara

    Kesi ya Tibaijuka na Chenge ni mazingaombwe?

    Kesi inayowakabiliwa joka la makengeza na prof Tibaijuka ni pumbaza mbongo ili madhaifu ya uandikishaji na hamasa ya kujiandisha visipate muda wa kutosha kwenye vyombo vya habari? Chenge kwenda kupinga mahakamani asihojiwe,ni kweli kwamba hataki kuhojiwa ama ni kukuza tukio ili lipewe kipaumbele?
  17. Sangarara

    Kiongozi Panone atupwa Rumande

    Dar es salaam, Mwenyekiti wa Bodi ya Panone ya mjini moshi mkoani Kilimanjaro,Bahati Nyakiraria,juzi alitolewa rumande kwa dhamana baada ya kuwekwa ndani kwenye kituo cha polisi sanya juu wilaya ya Hai,akituhumiwa kutumia vibaya fedha za klabu hiyo,sh,18.7 milioni. Habari kutoka ndani ya klabu...
  18. Sangarara

    Moshi: Mwandishi wa habari mbaroni kwa wizi wa kuaminiwa

    Habari ambazo nimezipata muda huu zinatonya kwamba mtangazaji wa kituo cha radio cha Moshi FM cha Mjini Moshi,Bahati Mstapher Nyakiraria,ametiwa mbaroni na maofisa wa polisi akituhumiwa kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa mmiliki wa timu ya soka ya PANONE FC bwn Patrick Ngiroi...
  19. Sangarara

    wanaochoma moto mlima kilimanjaro hawa hapa

    imefahamika rasmi kwamba matukio ya moto mlima kilimanjaro ambayo yamekuwa yakitokea mara kwa mara bila kupatiwa ufumbuzi wa kudumu,yamekuwa yakiratibiwa kwa ustadi wa hali ya juu na maofisa wa hifadhi ya Taifa ya mlima kilimanjaro (KINAPA). Maofisa hao wapo Idara ya utalii wakishirikiana na...
  20. Sangarara

    Hakimu Mahakama ya Wilaya ya Mwanga, atiwa mbaroni kwa rushwa

    Hakimu mfawidhi Mahakama ya Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro,amekamatwa na TAKUKURU jana jioni akituhumiwa kwa vitendo vya kudai na kupokea rushwa. Hadi sasa bado anahojiwa na maofisa wa TAKUKURU na haijajulikana bado kiasi cha rushwa aliyokamatwa nayo, tutaendelea kuwajuza zaidi...
Back
Top Bottom