Search results

  1. Sangarara

    Mawaziri Hawa watumbiliwe

    Mwigulu ataonewa bure. huyo ni msomaji wa bajeti tu. hii nchi sasa hivi inaongozwa kwa maelekezo kutoka unguja. Yaani kama vile magufuli alivyowekeza chato ndivyo sinavyotafutwa pesa za kuwekeza unguja.
  2. Sangarara

    Dreamliner ya ATC yaleta Neema Tanzania

    Hiyo dreamliner unajua ina hali gani sasa? Hata CCM wenzako watakushangaa kuizungumzia muda huu
  3. Sangarara

    Kiboko ya Dr.Bashiru ni wakili msomi Fatma a.k.a Shangazi

    Anachokisema Bi Fatma kina make sense au hapana?
  4. Sangarara

    Amua kuwashangaza unaowaongoza hapo hapo ulipo

    Kwanza hamna raha kama kuhudumia watu mpaka wakafurahi aisee
  5. Sangarara

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hivi kwa nini hatumuapproach marcelo
  6. Sangarara

    Mkurugenzi Benki ya Kilimo naomba kujibiwa maswali yangu!

    Hii lending model ya Mabank ya Jumla na Rejaleja ni porojo mkuu Tena unakoaea kuihusisha na Finca, unapoint juu ya watu kutokuelewa hiyo Bank ya kilimo inavyofanya kazi, ila sio namna unavyoelezea.
  7. Sangarara

    Msigwa Atema Cheche Bungeni, Aishangaa Serikali

    kanistua msigwa Anadai serikali inakopa commercial hata inalazimika kuanza kulipa kabla mradi haujakamilika What a stupid finance strategy. Hiyo mikopo ichunguzwe isijekuwa na ma commission kama ya kina Kitilya.
  8. Sangarara

    Msigwa Atema Cheche Bungeni, Aishangaa Serikali

    Watu aina ya msigwa ndio wanaopaswa kutuongoza watanzania ktk dhama hizi ambazo mataifa yanaweka nguvu kubwa kwenye ushindani wa kibiashara. Kawachallenge kuhusu umeme Anadai Tatizo letu sio upungufu wa umeme, umeme tunao wa kutosha, tatizo ni kuuhamisha kutoka uliko uende kwa watumiaji...
  9. Sangarara

    Msigwa Atema Cheche Bungeni, Aishangaa Serikali

    Kawachallenge, wafanye comparable disclosure ya corporate tax during the fourth government and fifth government Hawatakubali kamwe
  10. Sangarara

    Msigwa Atema Cheche Bungeni, Aishangaa Serikali

    Tuna watu wana vichwa vizuri sana hii nchi, msigwa ni mmoja wao Uwezo wake wa kuchambua na kuelezea mambo uko juu Sana. Lakini haya mambo ya kuchukia watu sababu wanalipwa mishahara mikubwa hawakuanza hao jamaa wa milioni tisini, alianza mheshimiwa rais na wengi walimshangilia wakati huo huo...
  11. Sangarara

    Inawezekana Rais hashauriki au hafikishiwi ushauri; Bombadia moja "imekufa" Mwanza, ATCL inajigamba kuleta Dreamliner

    Huu ushauri uzingatiwe. Nimeona hata mgogoro wa NATO na Turkey baada ya Turkey kutangaza kununua dege la kivita toka Russian umejikita kwenye infrastructure compatibility Hivyo hiyo heterogenious fleet ipingwe.
  12. Sangarara

    Suala la Managing Director wa Vodacom linafichwa ukweli wake

    Hawa wakenya washenzi kabisa,
  13. Sangarara

    Pesa anazogawa Rais Magufuli kama njugu anazipata wapi? Nani kaziidhinisha?

    Kidogo kidogo hivyo hivyo mpaka zinafika triolioni 1.5
  14. Sangarara

    Je, huu ni ushahidi kuwa Ndugai alilidanganya bunge? Je, aitwe kwenye kamati ya maadili?

    Ndugai awe makini sana, akumbuke ubinaadamu wake sasa, sasa akumbuke kuna Mungu sasa. Na atumie akili sasa, hayo Maneno amesema huyo ndugu wa lissu, kwamba wanafamilia wako Tayari kumkosea Lissu na sio yeye Ndugai ni malalamiko kwenda kwa Mungu hayo. Malalamiko ya namna hiyo huistua Mbingu.
  15. Sangarara

    Tathmini: Dhamira ya "maandamano ya Mange" imefanikiwa

    Kwa nilichoona anasema huyo mange ni bora serikali ingeacha haya maandamano yafanyike, mipango yake ya sasa ni mibaya zaidi.
  16. Sangarara

    Si S-300 tu hata ikiwa S-700 tutaibomoa,Israel yaonya

    Na siku wanaitandika sio mrusi, Iran wala Syria alijua wamepigwa na nani. Wakaanza kubashiri.
  17. Sangarara

    Kubenea: Benki ya dunia yasitisha ufadhili wa ujenzi wa barabara Dar-es-Salaam kutokana na bomoabomoa

    Ndio jamaa anauliza kama wakiwalipa hao waliobomolewa, itapatikana fursa ya KUZINDUA HUO MRADI TENA?
Back
Top Bottom