Search results

  1. SirSalumu

    Naombeni majibu ya swali hili la Kiswahili

    Naombeni majibu ya swali hili. JADILI mchango wa tamthiliya andishi ya Kiswahili katika historia ya Tanzania.
  2. SirSalumu

    Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

    Tuusome kwa makini ili tupate mikopo inshallah ====== Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa mfumo wa uombaji wa mkopo kwa njia ya mtandao utakuwa wazi kwa siku 40 kuanzia Jumanne, Julai 21, 2020 hadi...
  3. SirSalumu

    Tatizo

    TCU walitangaza kuwa tarehe 10 ni siku ya vyuo kutangaza majina ya waliowadahili katika awamu hii ya nne cha ajabu hadi muda huu akuna chuo kilichotoa majina wanajf akuna anayejua sababu? mimi sijaelewa bado
  4. SirSalumu

    ukweli

    hivi kwamfano uliomba vyuo vinne ila majibu yalivyotoka ukapata kimoja na ww aujakipenda inakuwaje au niombe tena
  5. SirSalumu

    kero

    nimelipa chuo dodoma lakini cha ajabu wananiambia cjalipia
  6. SirSalumu

    Tetesi: tuelimishane

    kuna ukweli wowote kwamba ikiwa umeomba tawi lolote la SAUT na ukapata wakati vyuo vingine navyo umepata SAUT wanakimbilia kuconfirm kabla yako?😢😢😢
  7. SirSalumu

    msaada

    eti nikiweka email kwenye maombi ya chuo tofat na niliyoombea mkopo mkopo akutakuwa na tatizo
Back
Top Bottom