Search results

  1. D

    Natafuta chumba cha kupanga

    Dalali yoyote mwenye vyumba vikali (vina maji,umeme, security,gypsum/selingbod nzuri, karibu na barabara) maeneo ya ubungo external, mwananchi, Tabata na sehem yoyote iliyopo karibu na centre ya jiji bei isiyozid 50k. Ani DM
  2. D

    Maeneo gani yenye uhaba wa maji Dar es Salaam

    Habari wakuu, Kama kichwa cha uzi hapo juu naomba kujuzwa ni mitaa gani hapa Dar es Salaam yenye shida ya maji? Naomba wadau kama mnajua sehemu ambazo maji ya kutumia (maji baridi) ni shida kupatikana kiasi cha kuwa wananunua kupitia yale magari yanayouza yale. Ningeomba hata bei wanazonunulia...
  3. D

    Naomba kukosolewa na kurekebishwa

    Habari wakuu, awali ya yote nitangulize shukrani kwa jibu au comment yoyote utakayoitoa. Kama kichwa kinavojieleza, nina wazo langu kubwa la kuja kuweka camera yaan (CCTV camera) kila sehemu ya nyumba yangu nitakayoijenga. Nafikiria Sana kuweka camera chooni na bafuni na kwa watoto wangu mana...
Back
Top Bottom