Search results

  1. N

    Tengua - teua ni danganya toto tu! Hazina tija yoyote ile

    Naiita CCM ni recycle bin sababu kila siku inaingia kwenye "PIPA la taka" na kuona "takataka" gani waliiweka mle na wairejeshe kwenye desktop iweze kuonekana. Hizo "takataka" zinazoibuliwa kila siku hakuna zinazofanya zaidi ya kujigamba wao ni Watoto wa mjini.
  2. N

    KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    Mpuuzi wewe. Kama sio mfanyakazi Brela utakuwa unafugwa kama mfugo
  3. N

    KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    Hawapendi teknolojia, hata wakiletewa Bado wanaihujumu
  4. N

    KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    Ni kweli kabisa. TRA ndio wanajiona wako dunia ya kwanza
  5. N

    KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    Hujaona wote waliolalamika hapa na kutoa malalamiko yao dhidi ya Brela? Wewe unamiliki hata business name?
  6. N

    KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    Duuu. Wanaona 1.5m inaokotwa hivi. Wakajiuze kama wanataka urahisi
  7. N

    KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    Aisee. Pole sana . Tunafukuza wawekezaji kwa ujinga wetu
  8. N

    KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    ORS ilinunuliwa kwa 2.6 B na service fee kwa mwaka ni 600m. Sasa wanakosaje update wakati kila mwaka wanalipia 600m. Though ni ufujaji bado
  9. N

    KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    Control number unalipia. Kisha unaambiwa Ili iende haraka utoe pesa. Usipotoa inaenda kawaida. Kama Brela ilinunua Online Registration System kwa 2.6 bilioni na service fee 600m kila mwaka kwanini haifanyi kazi automatically? Ni uhuni na tamaa tu. Ndio mtu akiona muda unazidi kwenda na hao...
  10. N

    KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    Ni sahihi wanakatisha tamaa na kuharibu dhamira ya uwekezaji na utengenezaji mzuri wa mazingira ya uwekezaji.
  11. N

    KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    mimi nitaweka hapa namba yake ya simu asubuhi, maana nilikuwa naongea nae kupitia namba ya Consultant wangu.
  12. N

    KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    ni sahihi kabisa, ina maana hawa washenzi kwa siku kila mmoja anaweza kusanya hadi milioni 2, akipata wateja 10 wa 200000 kwa siku. mimi nitataja hapa namba ya lipa namba ya mmoja wao kesho au leo usiku ili miamala inayoingia ifuatiliwe. hata simu zao zikifuatiliwa, uzuri unaongea na kubargain...
  13. N

    KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    kama hawana akili, anayeenda kubomoa nyumba za makahaba ana vimada 10, unafiki tu, wote dhambi moja, venue tofauti.
  14. N

    KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    amekuwa CLIENT, anytime akiwa na pesa huduma za kufikia
Back
Top Bottom