Search results

  1. Machepele

    Wako wapi watakao fuata baada ya hawa kuondoka?

    Yupo mwandishi mmoja nguli sana Afrika, hapa namzungumzia Chinua Achebe, huyu ni mwandishi kutokea katika nchi ya Nigeria, alifariki mwaka 2013. Ameandika maandishi mengi hasa katika mashairi na riwaya za kusisimua kwelikweli. Chinua si tu mwandishi wa riwaya za kawaida, alijikita katika riwaya...
  2. Machepele

    Misemo maridhawa ya kiswahili

    Tuambie msemo/msemo ya kiswahili ambayo inafikirisha na inaacha maswali. Naanza. 1. Siku moja babu yangu aliniambia "Mjukuu wangu machepele, Kile nikionacho mimi nikiwa nimekaa wewe hata ukisimama huwezi kukiona" msemo huu kwangu kwa wakati huo ulivuka upeo wa fikra zangu, lakini sasa naelewa...
  3. Machepele

    Makonda jiandae kuleta maendeleo Arusha

    Idumu serikali ya CCM! Moja kwa moja kwenye mada yangu. Mkoa wa Arusha nchini Tanzania utashuhudia mabadiliko makubwa ya uongozi baada ya uteuzi wa Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa. Kabla ya uteuzi huu, Makonda alikuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), lakini sasa...
  4. Machepele

    Nguvu na Athari za Propaganda: Ushawishi wake katika Jamii ya Kisasa

    PROPAGANDA Katika ulimwengu wa leo uliojaa habari na teknolojia, propaganda imekuwa moja ya zana muhimu zaidi za kuathiri mtazamo wa umma na maamuzi ya kijamii. Propaganda, kwa njia zake mbalimbali, inaweza kuwa na nguvu ya kuunda au kuvuruga imani, kubadilisha maoni, na hata kubadilisha...
  5. Machepele

    Biashara Haramu ya Viungo vya Binadamu: Uhalifu Dhidi ya Utu Wetu

    Wasalaam mabibi na mabwana Iko muvi moja niliiona mwaka juzi kama sikosei inaitwa The human trafficking, ndiyo iliyonivuta kuandika haya. Human trafficking ni Biashara ya viungo vya binadamu ni uhalifu mbaya unaokwenda kinyume na maadili na haki za binadamu. Inajumuisha ununuzi, uuzaji, au...
  6. Machepele

    Mkombozi wa watanzania

    Nawasalim....! Yesu alibeba dhambi za wanadamu, alikubali kusurubiwa na kuteseka hata kufa ili sisi wanadam tuokolewe. Imagine mwana wa Mungu alisurubiwa bila hatia miaka 2000 iliyopita, imagine alikula, kunywa na kuambatana na watu ambao miongoni mwao walikuja kumsaliti, hata pale alipo...
  7. Machepele

    Imani ni kuwa na uhakika

    Imani ni kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo na yasiyokuwa baya. Kila usiku tunalala bila uhakikisho wowote wa kuwa hai asubuhi iliyofuata, lakini bado tunaweka alarms ili kuamka. Hayo ni matumaini. Wakati fulani wanakijiji wote waliamua kuomba mvua. Siku ya maombi, watu wote walikusanyika...
  8. Machepele

    Biashara ya matangazo kupitia majarida

    Leo nitakuwa mtomvu wa nidhamu sitaanza na salamu kama nilivyozoeleka. Swali langu: a). Biashara ya magazine (majarida ya matangazo ya baishara) inaweza kufanyika kwa mtaji wa shilingi ngapi? b). Ni nini cha kuzingatia kwenye hii biashara? c). Rates za tangazo zinapatokana vipi?. Kama...
  9. Machepele

    Afrika kuwa na ma-rais wenye asili ya nje ya Afrika inawezekana?

    Nianzie mbali kidogo ili hoja yangu ieleweke. Historia ya mtu mweusi kutamani kuukwaa urais wa Marekani haijaanza na Obama. Mnamo 1848, Frederick Douglass alikua mgombea wa kwanza wa urais wa mwenye asili ya kiafrika (African- American) huko marekani, hakufua dafu system ikamtema. Mnamo 2009...
  10. Machepele

    Ninatafuta Business Partner

    Wakuu salama. Natafuta business partner/Investor awe na capital at least 5ml hadi 10ml. Aina ya biashara: ni biashara ya butchery, mayai na maziwa Eneo: ni Kahama na Mwanza Kwa sasa biashara ina run under low capital, demand ni Kubwa kuliko supply yetu. Additionally ikiongezeka hiyo 5-10Ml...
  11. Machepele

    Uzi wa Mashairi na misemo

    MASHAIRI YA SHAGALABAGALA NCHI YA AZMA ******* Nchi ya AZMA wasomi wake wanauza elimu kwa teuzi na mishahara, sina shaka na uelekeo unapoenda, Shaka ninalo namna utakavyofika unakoenda. Nguvu kazi imejenga ufalme kwenye social media, Nchi ya AZMA umepiga bomu kwenye sheria umewaharibia, Njia...
  12. Machepele

    Ubovu wa barabara Kahama

    Kama ilivyo ada 'siasa ni maisha na maisha ni siasa' Kauli hii ni kweli over 50% siasa inaamua vitu vingi sana, kuanzia bei za bidhaa, kodi, miundombinu, utendaji nk... Nimetafuta namna nzuri ya kueleza kero za Kahama nimeona sipatiwi majibu, moja ya njia nimejaribu kutumia sanduku la maoni...
  13. Machepele

    Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050

    Wasaalam! Mabibi na Mabwana kabla ya yote nipende kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa afya, lakini pia kwa kuniwezesha kuandika machache hapa. Pili niombe sana Mods msifute, wala kuunganisha uzi huu na uzi mwingine, ili pengine kwa pamoja kama jamii tuwe na kitu cha kujifunza kutokana na uzi huu...
  14. Machepele

    Ndoto inayoambatana na matukio halisi

    Wakuu Salamu! Ama baada ya salam nieende moja kwa moja kwenye point. Kuna rafiki yangu amekuwa akipatwa na ndoto mfululizo zinahusu kukabwa na watu wakiwa kwenye shamba la mahindi kubwa yamestawi. Ndoto ya imemtokea mara mbili mfurulizo ya namna ile na anapoamka anajikuta anasali kwa nguvu...
  15. Machepele

    Kuhusu maana za sale za majeshi yetu.

    Good day, Forumers (si-kingereza rasmi). Bila shaka kazi ya kujenga taifa inakuendea sawa sawa namachaguo yako, kama umechagua kuwa mlalamikaji sawa, na kama umeamua kuwa mlalamikiwa sawa. Ok, nijielekeze kwenye ni nini nahitaji kufahamu (kufahamishwa). Naomba ufafanizi kuhusu sale(uniforms)...
  16. Machepele

    Tukio la Kuungua Moto shule ya Shauritanga 18 June 1994

    Habari wakuu!, Ni muda sasa umepita tangu nipotee katika majukwaa mbalimbali hapa JF. 18 June 1994, Usiku wa manane, wanafunzi katika shule ya wasichana ya Shauritanga wakiwa wamelala, moto mkubwa ulizuka. Mabinti wale walipiga kelele za kuomba msaada kutoka kwa walinzi hawakufanikiwa hadi...
  17. Machepele

    Waziri Ofisi ya Rais ‘Kazi Maalum’ ana majukumu gani?

    Ndugu, Rejea kichwa cha habari hapo juu, kwa yoyote yule ambaye anaweza kuwa na uelewa ama kufahamu majukumu ya waziri wa Ofisi ya Rais kazi maalum. Nafasi hiyo kwa sasa inashikiliwa na Cap. George Mkuchika. Nimemaliza hivyo ili kufahamu, na kuongeza maarifa. Nimewahi kukutana nafasi katika...
  18. Machepele

    Jinsi ya kushiriki kuhudhuria mkutano (hotuba) ya kiongozi wa Serikali

    Wanajamii Forum ________________ Ninaomba kama kuna mtu anaweza akawa na idea kuhusu namna ya kushiriki kikao, mkutano ama shughuli yoyote ya kiongozi wa kitaifa Mfano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nk... Mfano kuna taarifa kuwa hivi...
  19. Machepele

    Uzungu kwenye mawazo ya Marais wa Afrika

    Nianzie mbali kidogo ili hoja yangu ieleweke. Historia ya mtu mweusi kutamani kuukwaa urais wa Marekani haijaanza na Obama. Mnamo 1848, Frederick Douglass alikua mgombea wa kwanza wa urais wa mwenye asili ya kiafrika (African- American) huko marekani, hakufua dafu system ikamtema. Mnamo 2009...
  20. Machepele

    Wazo langu kuhusu uwekezaji kwenye mobile money kufanya manunuzi ya gesi

    Naomba nitumie ile salamu inayozidi kuchukua sura mpya kila kukicha, ambayo mwasisi wake ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassani (SASHA au SSH). Ninawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Unaweza kuitikia kimoyomoyo) Kazi iendelee Mara baada ya...
Back
Top Bottom