Search results

  1. mpndz

    MSAADA: Kijana wangu anasumbuliwa na vipele mwilini

    Habari wana JF, Mimi nina kijana mwenye umri wa miaka 14 na anasumbuliwa na vipele mwilini kwa zaidi ya miezi miwili. Nilimpeleka hospitali na majibu yakaja kuwa ana fangasi katika damu na kuandikiwa dawa za kumeza griseofulvin kwa mwezi mzima (30days). Leo ni siku ya 26 lkn bado tatizo liko...
  2. mpndz

    Mgonjwa wangu anapata maumivu ya bega kwa miezi 3

    Habar wana jf na wataalam wa afya kwa ujumla. Nina mgonjwa kwa miezi 3 amekuwa akigugumia maumivu bega la upande wa kulia. Naomba ushauri wenu please kwani nimejaribu sana kumpa mazoezi ya kawaida na massage lakin juhudi hazijazaa matunda
  3. mpndz

    mgao wa umeme:

    Hivi swala la mgao wa umeme limefikia wapi?
Back
Top Bottom