Search results

  1. mpndz

    Ulimwengu wa roho upoje?

    🙇
  2. mpndz

    Unahitaji shingapi ili usifanye kazi tena?

    Hapo pagumu mno! Pesa ni kama chakula ama maji ya kunywa japo tofauti yake ni kidogo Pesa imekuwa hitajio la kila siku kwa mwanadamu ili kutimiza mahitajio ya kila mmoja wetu.
  3. mpndz

    Kutomuamini Mungu ni ujasiri au Ujinga?

    Ni ujinga Na mtu yeyote anaweza kuwa mjinga katika jambo fulani na si kosa! Tatizo litakuja pale 'mjinga' huyo atakapo elimishwa na akakaendelea na msimamo wake na matokeo yake atakuwa 'mpumbavu'
  4. mpndz

    Kwa kasi hii TikTok inaenda kumpoteza Instagram

    Yes kwa jinsi anavyoongeza followers
  5. mpndz

    Kwa kasi hii TikTok inaenda kumpoteza Instagram

    Kila kitu kipo kule, ukitafuta Ujiga unaupata na kinyume chake
  6. mpndz

    MSAADA: Kijana wangu anasumbuliwa na vipele mwilini

    Habari wana JF, Mimi nina kijana mwenye umri wa miaka 14 na anasumbuliwa na vipele mwilini kwa zaidi ya miezi miwili. Nilimpeleka hospitali na majibu yakaja kuwa ana fangasi katika damu na kuandikiwa dawa za kumeza griseofulvin kwa mwezi mzima (30days). Leo ni siku ya 26 lkn bado tatizo liko...
  7. mpndz

    Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

    Leo 2022 Kifo -1984 38 miaka mpaka sasa imepita Dunia kweli mapito [emoji848]
  8. mpndz

    Naombeni kanuni za kuishi na bosi mwanamke

    Heshima ndo kila kitu BOSI ni cheo usiangalie maumbile
  9. mpndz

    Naombeni kanuni za kuishi na bosi mwanamke

    Ili atimuliwe eh?
  10. mpndz

    Jitibu maradhi ya moyo

    Nami nasubir ufafanuzi wa kina hapa coz tatizo la moyo ni janga la kimataifa
Back
Top Bottom