Search results

  1. Samwel A Asseno

    Tafadhali naitaji mnisaidie katika hili

    Nina app ya jamii forum na nilishawai kujisajili tena vizur san lakn kutka na sim yangu kuibiwa nikanunua sim nyinge kwhio nakainstal tena upya app ya jamii forum lkn kuna tatzo linanitkea kila nikijisajili unagoma kwa madai kua akount yangu haijulikan nimesharest mara nying san had nywila lkn...
  2. Samwel A Asseno

    Je ni kweli body ya mkopo imetoa majina waliofanya vibay kujaz fom ya mkopo

    ndugu zangu naomb kujua kam ni kweli majina yametolewa na body ya mkopo kwa waliojaza fom vbya na kam kuna taarfa zaid kuusu body ya mkopo naomb tujulishane
  3. Samwel A Asseno

    Kwa aliyepta daraja la tatu kwa alama ya 13 hstry E, geo E na kiswhil C vip anawez kupta chuo kikuu

    Ni ngumu san kumuelewesha chizi msomi make yye anaamin kile alichonacho kichwani
  4. Samwel A Asseno

    Kwa aliyepta daraja la tatu kwa alama ya 13 hstry E, geo E na kiswhil C vip anawez kupta chuo kikuu

    Achen kuptsha watu , na kbla haujasema kitu anglia maelezo yaliopo mweny EEC anapta chuo vzr mno
  5. Samwel A Asseno

    Kwa aliyepta daraja la tatu kwa alama ya 13 hstry E, geo E na kiswhil C vip anawez kupta chuo kikuu

    Mwenye FA ni nguma kupass make kweny principal ya tcu wamewek A_E kwhio ndan ya A-E unatakiwa uwe na uwezo wa kupta cuting point kuanzia nne katka masomo mawili
  6. Samwel A Asseno

    Kwa aliyepta daraja la tatu kwa alama ya 13 hstry E, geo E na kiswhil C vip anawez kupta chuo kikuu

    Naona katka hili kila mtu analake , lkn mbna ndgu yangu alipta eec na alipta chuo yupo udom ualimu
  7. Samwel A Asseno

    HUDUMA YA KUSAIDIWA KUOMBA MKOPO

    Kwann usielekez tu hap hap weng wafaidike
Back
Top Bottom