Search results

  1. bulldoza

    Fancing wire wapi zinapatikana kwa bei nzuri?

    Habarini ndugu zangu? naomba mawazo yenu naamini wapo ambao wana uelewa mkubwa kuhusu wapi ntapata fancing wire kwa bundle na bei yake na heka moja inatumia kiasi cha bundle ngapi .nina kashamba kangu (mlandizi - pwani) nahitaji kuzungushia kwaajili ya usalama. Tafadhali naomba michango kwa...
  2. bulldoza

    Five (5) lessons about the way we treat people

    1 - First Important Lesson - Cleaning Lady. During my second month of college, our professor Gave us a pop quiz. I was a conscientious student And had breezed through the questions until I read The last one: "What is the first name of the woman who cleans the school?" Surely this was some...
  3. bulldoza

    Wapenda nyumba ndogo,fastafasta !!!!!

    Mwanangu, yashike maneno yangu, Na kuziweka amri zangu akiba kwako.2 Uzishike amri zangu ukaishi, Na sheria yangu kama mboni ya jicho lako.3 Zifunge katika vidole vyako; Ziandike juu ya kibao cha moyo wako.4 Mwambie hekima, Wewe ndiwe umbu langu; Mwite ufahamu jamaa yako mwanamke.5 Wapate...
  4. bulldoza

    the food on someone else's plate always looks (and sometimes tastes) better than what you're having?

    Wanajf poleni na kazi /mihangaiko ya mchana kutwa… Nimekuwa na swali najiuliza ….Chakula cha sahani ya mwenzio mara zote huonekana na ubora zaidi ya kile chako?wangapi kati yenu wanaoamini haya maneno jameni? Ni kwanini mabinti wanapenda waume za watu ….kwa mafano unakuta kijana ana mke mkali...
  5. bulldoza

    Inaniuma kumpa talaka....

    Salaam wanajf wenzangu wote.. Lord have mercy….. Uchaguzi wangu haujakuwa km nilivyofikiria itakuwa, mama inaniuma sana, mama anasema Sio rahisi mwanangu kuelewa haya mambo ila natumai baadae utakuwa mwenye furaha tena. Nakumbuka siku ya harusi kanisani, mhubiri akisoma neno na...
Back
Top Bottom