Search results

  1. M

    PAC, Magari yaliyoyeyuka TANTRADE yako wapi?

    Wakati kamati ya hesabu za serikali PAC ikiwahoji mwenyekiti wa bodi na mkurugenzi wa tantrade ilitoa masaa 48 watumishi hao kuleta kadi za magari 9 na pikipiki 12 zilizopotea. Nashangaa hadi leo kamati iko kimya na hatujajua magari hayo yako wapi naombeni msaada na mbona hili limekaliwa kimya...
  2. M

    Kodi ya simu yapingwa rasmi mahakamani

    Wadau nimepokea taarifa Kuwa Umoja wa Chama cha Kampuni za simu (MOAT) sio kile cha baba Mengi. . . Leo wanaenda mahakama ya Kodi kuweka pingamizi kwa kila Mtanzania kukatwa shilingi 1000 kuanzia Mwezi Julai. Sasa niko njiani kwenda kuwaunga Mkono hawa jamaa...... Mimi nina Laini tatu inamaana...
  3. M

    Kodi ya SimCard sasa kuanza mara moja!

    Tatizo hawana akili mtu asipolipa kodi anakamatwa ina maana wanaodaiwa watakamatwa inamaana wenye line nne za Voda, Tigo, Airtel na Zantel wanadaiwa elfu 12. Mtanzania wa kawaida anazipata wapi jamani, Afu wanafanya kimya kimya.
  4. M

    Kodi ya SimCard sasa kuanza mara moja!

    Wadau, Baada ya kupigwa dana dana na kuwekwa Kimya sasa imebainika TRA inazitaka kampuni za simu kulipa Tozo ya kodi za line za Simu (SIM CARD TAX) kwa Miezi mitatu kuanzia Mwezi julai. Na kwa takwimu zaidi ya simu milioni 8 zitafungiwa Baada ya kusoma Kwenye gazeti la The Citizen na Tanzania...
  5. M

    Tozo ya kodi za simu ni janja ya nyani

    Hili suala la Kodi za simu linavyofanywa na Serikali kupitia TRA ni wizi Mtupu, Kwa takwimu nilizonazo zaidi ya Asilimia 45% ya Watanzania watakatiwa Simu zao. Walikuwa wapi wamesubiri miei mitatu imepita wanataka wakate zote. Niliona taarifa iliyotolewa na kampuni za simu ilisema zaidi ya...
  6. M

    Haya ya Arumeru sasa kiboko

    Jamani nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa muendelezo wa vipindi vinavyo rushwa na MLIMANI TV kila siku saa 3. kuhusu jimbo la arumeru jamani jamani Jamani kweli watanzania Wenzetu wanaishi maisha magumu kiasi hiki maji hakuna vyura hospitali mmmm. Tanzania hii hii.
  7. M

    Salaaam waungwana

    Waungwana ninapenda kuwasalimu, na kuwaomba kukaribishwa nanyi katika jamvi hili, kwa pamoja tuijenge Tanzania yetu. Aksanteni
Back
Top Bottom