Search results

  1. Tindo

    Mubashara Clouds FM: Tundu Lissu, Zitto Kabwe wakichambua Tume Huru ya Uchaguzi

    Tundu Lissu yuko mubashara Clouds FM, akichambua kuhusu Tume hii ya uchaguzi. Atakuwepo hadi saa 3 asubuhi, wapo na Zitto Kabwe na Onesmo Ole Ngurumwa. Tusikilize uchambuzi makini.
  2. Tindo

    Lissu kuhojiwa na kituo cha Star Tv usiku wa leo Februari 12, 2024

    Kwa mujibu wa mtangazaji wa Star TV Aloyce Nyanda wiki iliyopita, usiku huu saa tatu na nusu kwenye kipindi anachokiendesha kiitwacho Agenda, atafanya mahojiono na Tundu Lissu. Iwapo hakutakuwa na mabadiliko ya ratiba hiyo, ama maagizo toka juu, tunategemea Lissu awe mubashara kwenye kipindi...
  3. Tindo

    Tundu Lissu atakuwepo kwenye good Morning ya Wasafi FM kesho asubuhi

    Taarifa kwa wadau wote kesho asubuhi kwenye kipindi Cha Good morning Cha wasafi FM Kuanzia saa 11 asubuhi Hadi saa 2 asubuhi, atakuwa akihojiwa na kituo hicho. Tutarajie siasa za hoja, na sio za kujipendekeza kwa yoyote. Huenda akatoa ufafanuzi wa maridhiano, miswaada ya Sheria za uchaguzi...
  4. Tindo

    Mlioko Mbarali, tuleteeni picha ya mafuriko ya wapiga kura huko vituoni

    Ili tujiridhishe kama bado wananchi wana Imani na chaguzi za nchi hii, walioko mbarali watupie picha ya misururu ya wapiga kura kwenye vituo vya kupigia kura. Hiyo pia itatupa picha ya hamasa ya wananchi kwa vyama vinavyoshiriki huo uchaguzi.
  5. Tindo

    Wabunge wa CCM walipitisha kuuzwa kwa gas yetu, tena kwa hatua ya dharura

    Ifahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
  6. Tindo

    CCM acheni siasa za kiki, uwanja wa Taifa umeme umekatika wamefukuzwa vidagaa

    Kama sio kusaka kiki za bei rahisi ni nini? Kuchukulia hatua vidagaa wa taa uwanja wa taifa ni kama mmetuona watanzania ni wajinga, mbona kuna mgao wa umeme nchi nzima na hakuna hatua zozote wanachukuliwa hao majizi wanaosimamia nishati? Kabla ya mvua kisingizio cha kukatika umeme ilikuwa ni...
  7. Tindo

    Ushauri kwa Chadema kwenye mapokezi ya Lema

    CHADEMA wanapaswa kuweka mbele agenda yake ya katiba mpya kila wanapopata nafasi. Ni vizuri leo katika ujio wa Lema wawe na mabango makubwa ya katiba mpya. Mapokezi ya Lisu sikuona pia mabango ya katiba mpya. Matokeo yake wanaonekana wanajikita zaidi kwenye watu kuliko agenda. Ni vizuri...
  8. Tindo

    Leo Kibaraka wa CCM mzee Lipumba alikuwa na mkutano hapa Dar, mbona hatupati updates?

    Leo yule kibaraka wa CCM alikuwa na mkutano wa hadhara hapa dar, je alikuwa na jipya lolote? CCM walikuwa wanamjazia watu ili ionekane bado yuko hai kisiasa na chama chake. Kwa wale walihudhuria huo mkutano hebu watupe nini aliongea, na mahudhurio yalikuwaje?
  9. Tindo

    Jumuiya ya Afrika Mashariki bila uongozi wa mzungu itakuwa ni genge la maigizo yasiyo na tija

    Leo na kesho kutakuwa na mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika mashariki huko Arusha. Kwa mtazamo wangu mkutano huo ni wa upotevu wa muda, fedha za wananchi kwani hakuna lolote la maana linajadiliwa na kufikia hatua ya utekelezaji. Mengi ya makubaliano ya jumuiya hii huishia kwenye...
  10. Tindo

    Kwa kinachoendelea Mahakamani kwenye kesi ya Mbowe, imedhihirika CHADEMA walikuwa sahihi kutokwenda Mahakamani baada ya uchaguzi Mkuu wa 2020

    Kuna watu wengi waliituhumu CHADEMA kwa kutokwenda mahakamani baada ya kuporwa uchaguzi Mkuu wa 2020. Cdm walisema baadhi ya taasisi za umma zilizoingiziwa uozo wa siasa chafu za ccm, ni pamoja na mahakama. Kwa sasa kwenye kesi hii ya Mbowe ushahidi unazidi kukaa wazi, na bado kesi haijafika...
  11. Tindo

    Waziri Simbachawene tunataka vitambulisho vya taifa, udhibiti wa maoni ya watu mtandaoni utakuja mwisho

    Ndugu yetu Simbachawene, inaonekana majukumu yako yamekushinda, sasa hivi umerukia utoaji wa maoni ya wananchi mitandaoni. Ungetuonyesha kwanza ukamilikaji wa vitambulisho vya taifa kwa wananchi wote wenye kustahili, kisha ndio utake kuwafurahisha hao waliokuwa cheo kwa kudhibiti maoni ya...
  12. Tindo

    Waziri Mkuu Majaliwa huu ni mwezi wa nane SGR kipande cha Dar-Moro kinaanza kazi lini?

    Kama uzi huu Safari za Treni ya Mwendokasi kuanza Agosti mwaka huu, 2021 unavyojionyesha, Waziri Mkuu alisema mwezi huu wa nane SGR kipande cha Dar-Moro kitaanza kazi. Je ni tarehe ngapi treni hiyo itaanza kazi? Badala ya serikali kujifichia kwenye kesi za kubambikiziana, watuonyeshe...
  13. Tindo

    SoC01 Ajira kupitia kukusanya vifaa vibovu vya wateja na kuvipeleka kwenye matengenezo

    Kuna eneo linaweza kutoa ajira, japo litahitaji mtaji mkubwa kidogo. Wangalau 50m itawezesha kuendesha huduma hii. Inafahamika kuna watu wengi wanaobanwa na kazi siku nzima kiasi kukosa muda, na wengine hawana ufahamu wa kutosha sehemu ya kuweza kupata huduma mbalimbali. Makundi tajwa hapo yote...
  14. Tindo

    SoC01 Njia ya kumaliza tatizo la ajira na umasikini hapa nchini

    Ni ukweli usiopingika kuwa maji ni uhai, na ni dhahiri maji ni huduma isiyo na mbadala. Kwa mtazamo wangu iwapo maji yatafika kila sehemu ndani ya nchi hii, kila mtu atakuwa na uhakika wa kupata ajira, na uzalishaji utaongezeka. Iwapo uzalishaji utaongezeka ni wazi kuwa nchi hii itakuwa na...
  15. Tindo

    Paskali Mayalla, Abdul Nondo live star Tv wakijadili Katiba Mpya

    Wadau tuangalie mjadala huo muda huu kuona nini kitajadiliwa na hawa jamaa.
  16. Tindo

    Msaada: Mwenye ufahamu kuhusu chuo cha maji hapa Dar es Salaam

    Naomba kupata maelezo ya ufahamu kuhusu chuo cha maji hapa Dar kwa wale wenye ufahamu. Aina ya course, malazi, uhakika, mkopo nk. Nina mtoto wa kaka yangu kamaliza kidato cha nne, na kupangwa kujiunga na chuo hicho, sasa anataka nimpe hizo details kwa wale wenye ufahamu wa kutosha kuhusu chuo...
  17. Tindo

    John Heche anastahili kuwa Mwenyekiti ajaye baada ya Kamanda Mbowe

    Tena hata sasa amechelewa. Yeye ndio alipaswa kuwa mwenyekiti hata sasa, ila Mbowe alilazimisha kuendelea kuwa mwenyekiti.
  18. Tindo

    Hivi wakati wa Katiba ya mwaka 1977, na mchakato wa katiba mpya 2011-2014 uchumi ulikuwa imara kiasi gani?

    Ndugu wanajamvi kuendana na kichwa changu cha habari, najaribu kuuliza uimara wa kiuchumi uliokuwepo 1977 wakati tunapata katiba hii, na uimara wa uchumi uliokuwepo 2011-2014 wakati wa mchakato wa katiba mpya chini ya rasimu ya Warioba? Kuna lugha tuliyopewa siku mbili hizi na serikali kuwa...
  19. Tindo

    John Heche mubashara ndani ya star TV

    Karibuni tumsikilize John Heche mubashara ndani ya star Tv.
  20. Tindo

    Rais, wakuu wa mikoa/wilaya wamachinga hatuhitaji vitambulisho, tunahitaji ajira za kwenye vile viwanda 100 kila mkoa

    Rais pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya mliahidi kujenga viwanda 100 kila mkoa ili wananchi wapate ajira, lakini cha ajabu hamuongelei hivyo viwanda 100, mmerukia kwenye shughuli tunayoiweza bila msaada wenu. Je, kwa sasa tujue kwamba viwanda vimewashinda na mnachoweza kusimamia ni kugawa...
Back
Top Bottom