Search results

  1. Tindo

    Paul Makonda kuzungumza na waandishi wa habari muda wowote kuanzia sasa

    Nikupe ushahidi ww chawa?
  2. Tindo

    Bunge siyo sehemu ya kumwagiana sifa wala uwanja wa kampeni, mnatia aibu!

    Yaani nikianza kuelewa huo uchafu itabidi nijishangae sana.
  3. Tindo

    Bunge siyo sehemu ya kumwagiana sifa wala uwanja wa kampeni, mnatia aibu!

    Yaani Mimi nisikilize huo uchafu?! Labda wale wanaomini maisha Yao ya naweza kusaidiwa na hilo bunge kibogoyo. Watu wa huko vijijini na wazee wanaosikiliza TBC tu ndio wana muda wa kusikiliza hilo bunge.
  4. Tindo

    Bunge siyo sehemu ya kumwagiana sifa wala uwanja wa kampeni, mnatia aibu!

    😂😂😂😂 Nimecheka kwa nguvu kinoma. Nilijua lazima🌈 ujitokeze kutema ghadhabu.
  5. Tindo

    Bunge siyo sehemu ya kumwagiana sifa wala uwanja wa kampeni, mnatia aibu!

    Yaani Mimi nifuatilie hilo bunge kibogoyo la majizi ya kura? Washamba na wasiojua lolote ndio wana muda wa kufuatilia hao wahuni.
  6. Tindo

    Paul Makonda kuzungumza na waandishi wa habari muda wowote kuanzia sasa

    Leteni vyombo huru vya uchunguzi uone kama itazidi hata wiki Moja kabla ushahidi usioacha shaka kuwekwa hadharani.
  7. Tindo

    Bunge siyo sehemu ya kumwagiana sifa wala uwanja wa kampeni, mnatia aibu!

    Mkuu kwanza nikupe kongole kwa kudiriki kusikiliza huo upuuzi uitwao bunge. Sisi wengine tulishalipuuza muda mrefu sana. Tlaatlaah Lucas Mwashambwa
  8. Tindo

    Paul Makonda kuzungumza na waandishi wa habari muda wowote kuanzia sasa

    Hana ujanja nje ya ccm, vinginevyo mauaji yote aliyofanya enzi za dhalimu magu yatawekwa hadharani?
  9. Tindo

    Paul Makonda kuzungumza na waandishi wa habari muda wowote kuanzia sasa

    Mimi na chama Cha washirikina wapi na wapi?
  10. Tindo

    Paul Makonda kuzungumza na waandishi wa habari muda wowote kuanzia sasa

    Tulia we muumini wa majizi ya kura.
  11. Tindo

    Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

    Lisu aliposhambuliwa kwa risasi Kuna kamati ya bunge iliundwa kuchunguza tukio lile. Lakini Magufuli alalikataza bunge kusoma ripoti ile. Sasa Leo tume ya kuchunguza kifo chake ni ya Nini wakati hakuwa muumini ukweli na haki?
  12. Tindo

    Utukufu, Sifa na Shukrani ni za Mungu Juu Mbinguni na Siyo kwa Wanasiasa kama Wafanyavyo Chadema kwa Tundu Lisu!

    Hukuwa unasikia yule professor alivyokuwa anaongea kiingereza Cha ajabu kwenye ile mahakama ya kimataifa? Ama hujui tulipigwa fine nzito kwa kuchezea mikataba ya wanaume?
  13. Tindo

    Shemsa Mohammed: CCM Haitambeba Mtu Katika Uchaguzi Mkuu Ujao, 2025

    Hapana, anamaanisha kwenye chaguzi za ndani za ccm, kwenye uchaguzi wa kitaifa vyombo vya Dola vitaendelea kuibeba ccm.
  14. Tindo

    Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

    Hiki ulichosema ndio udhibitisho kuwa bungeni ni sehemu ya maana?
  15. Tindo

    Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

    Huko bungeni ni sehemu ya maana sana kiasi kwamba usiporudi huwezi kuishi?
  16. Tindo

    Inasikitisha sana, yaani sekretarieti ya CCM inayofanya ziara mikoa sita imezidiwa na jeshi la mtu mmoja?

    Africa tume huru za uchaguzi hupatikani baada ya machafuko, sio kwa hizo porojo za vikosi kazi, na maridhiano uchwara.
  17. Tindo

    Inasikitisha sana, yaani sekretarieti ya CCM inayofanya ziara mikoa sita imezidiwa na jeshi la mtu mmoja?

    Sukuma gang naona hamkubali kuwa game Lenu limeisha. Yaani hao wanaccm wote walioko kwenye ngazi za utendaji wameshindwa, ila kwenye ziara za kina Makonada na Hawa matapeli wengine ndio matatizo yao yaishe? Mmeansa hadaa za lampeni Sasa mnaleta vita yenu ya sukuma gang na msoga gang. Hakuna...
  18. Tindo

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Sawa kabisa, maana huyo Luhaga anataka kutuaminisha Magufuli alikuwa mtu msafi, hivyo kifo chake pekee ndio Cha kuundiwa kamati. Ikiundwa kamati kuchunguza vifo vyote vyote wakati wa Magufuli, Nina hakika Kinga dhidi ya Marais itaondolewa kwenye katiba.
Back
Top Bottom