Search results

  1. F

    Kadogosa: Tumetumia umeme wa 336,000 kwenda na kurudi Dar - Morogoro

    Kwa ujumla nishati ya umeme inayotumika kwa treni za umeme inategemea mambo kadhaa. Moja, ni uzito wa treni yenyewe, yaani uzito kulingana na idadi ya mabehewa na uzito wa watu na mizigo. Pili, idadi ya stops treni inayofanya. Yaani, nishati inayohitajika kuanza kusukuma treni katika mwendo...
  2. F

    Dkt. Biteko azindua kituo cha kisasa cha kujazia gesi asilia kwenye magari (CNG)

    CNG - Compressed Natural Gas. Gesi ambayo imeshindiliwa lakini bado iko katika hali ya gesi kwa ajili ya kusafirishwa kupitia mabomba kwenda sehemu mbali mbali kama viwanda, majumbani n.k. Kwa kuwa bomba la gesi limefika tayari Dsm ni rahisi kutengeneza vituo vya CNG. LNG - Liquefied Natural...
  3. F

    Ngao ya Jamii 2023/2024 itakwenda Simba Sc, NBC 2023/2024 Bingwa atakuwa Simba Sc

    Hata msimu uliopita alitabiri Yanga atakuwa bingwa?
  4. F

    Mechi ya Bamako na Monastir ni saa ngapi na kupitia channel ipi?

    Mpira ni HT na matokeo ni 1 - 1.
  5. F

    Hivi ni kwanini wazungu wanatamani dunia iwe na mashoga wengi?

    1. Wanaondoa mfumo unaomheshimu Mungu 2. Wanapunguza uzazi 3. Mashoga hawaishi muda mrefu,hivyo wanapunguza idadi ya watu.
  6. F

    Habari Wana Jf naomba msaada.

    "aliyejihuzuru" - hakuna neno hili kwenye kamusi ya kiswahili
  7. F

    Chama langu Simba hatari inakuja tuchukue tahadhari

    Next time nikiona aliyeanzisha uzi anaitwa mbumbumbu, chura, hajui kitu nitajua yeye anasema kweli ila wanaotoa hizo sifa ni za kwao wenyewe. Lol.
  8. F

    Lamination mizigo airport Mwanza, ufisadi mpya

    Hakuna anayekupangia. Hoja kuu inaonekana ni gharama. Lakini gharama hii iko Airport. Bado unaweza ukawrap samaki wako sehemu nyingine yeyote mjini Mwanza kwenye gharama nafuu ukaja nao na ukapita. Options ziko nyingi. Options sio kupangiwa.
  9. F

    Lamination mizigo airport Mwanza, ufisadi mpya

    Jaribu kubeba waliokaangwa au waliokaushwa uone kama watakudai lamination.
  10. F

    Ukarabati MV Victoria, MV Butiama waridhisha

    Meli mbili zinakarabatiwa na meli ya tatu mpya inajengwa, na chelezo kipya kinajengwa.
  11. F

    Taifa stars na misri

    Asante mkuu kwa link
  12. F

    Taifa stars na misri

    Azam app ovyo sana. Nadhani watu wakiwa wengi inajam.
  13. F

    MSAADA

    Screen yako ni AMOLED au LCD? Zina bei tofauti. Kama ni LCD ina bei ya chini kidogo na hela yako inaweza kutosha. Kama haipatikani nchini unaweza kuagiza mwenyewe kwa AliExpress ingawa utahitaji fundi wa kuifunga. Sijui kama imesaidia au la? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. F

    Kuteleza si kuanguka , Simba kumtandika Mwarabu kwao

    Tayari mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. F

    Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

    Hamsa. Mtu anikumbushe sita kwa kiarabu Sent using Jamii Forums mobile app
  16. F

    Mechi ya Al ahly vs Simba tunaangalia wapi?

    Zishafika 5 mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  17. F

    Al Ahly vs Simba SC, Jumamosi: Nini maoni yako kuhusiana na mtanange huu?

    Hata half time bado mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  18. F

    Al Ahly vs Simba SC, Jumamosi: Nini maoni yako kuhusiana na mtanange huu?

    3 tayari mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  19. F

    Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

    Tayari 2 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom