Search results

  1. Wa Kwilondo

    Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

    Mkuu mkuki kwa nguruwe! Wakati mzee lowasa anaambiwa haya mbona hukuja kusema ni honorable man? Malipo ni hapa hapa
  2. Wa Kwilondo

    Kwa mechi hizi.. Hakuna timu ya kumzuia Simba S.C ....

    Siyo mavugo tena ni kichuya?
  3. Wa Kwilondo

    Ukweli kuhusu tukio la walimu waliompiga mwanafunzi Mbeya

    Hii inanikumbusha movie ya National Security ya mtaalamu Martin Lawrence "bambo bee"
  4. Wa Kwilondo

    Raymond kutoka WCB avuta mjengo wa maana

    Guys naona hamjamuelewa dogo! Kabla ya hapo inaonyesha alikuwa akikaa geto na wadau/kaka/mama/etc sasa hivi anasema ana kwake si lazima nyumba iwe yake hata ukipanga nyumba nzima utasema kwangu...maana naona watu kule insta na hpa ni full povu! Low #iq#
  5. Wa Kwilondo

    Fedha 'zilizofichwa' zitarudishwaje kwenye mzunguko? Wataalamu wa uchumi tiririkeni

    Duh na wewe ni mchumi? Hebu acheni utani kwenye mambo mazito kuweni wasomaji tu kama mimi mpate ilmu.
  6. Wa Kwilondo

    Ninaunga mkono Serikali kuzifungia Redio Magic FM na Redio 5 kwa maslahi ya Taifa

    Hebu naomba tuwekee hapa huo uchochezi uliofanywa na hivyo vyombo vya habari na tueleze unahatarisha vipi usalama wetu sisi wananchi maana eneo ninaloishi wote wanashanga ni vipi usalama wao umehatarishwa!!
  7. Wa Kwilondo

    Kwa heshima ya Jeshi letu JWTZ, Kamati Kuu CHADEMA ikutane kwa dharura kusitisha UKUTA Sept 1

    Mi nadhani tuungane na jeshi kwenye huo usafi tanzania nzima humo humo tunayajenga na makamanda inakuwa maandamano tunaibua tshirt na mabango nina uhakika ffu hawatatia mguu kwenye huo msafala! Nna uhakika makamanda nao wanasapoti ukuta ...just a dream.
  8. Wa Kwilondo

    Usahihi wa Taarifa ya Freeman Mbowe Kusafiri nje ya Nchi kabla ya Septemba Mosi

    Nilikuwa naenda mbeya njia nzima nimekutana na maandamano ya ffu yote eti kuwatisha wananchi..wasilolijua ni kuwa hata wale ambao hawakujua ukuta wanapata elimu maana walikuwa wanauliza kulikoni hii misafara ya ffu then wazalendo tulio jirani tunatoa darsa nini ccm na hao police wanafanya
  9. Wa Kwilondo

    Manji sio Mungu Yanga Fungukeni wana Yanga

    Kula like mkuu dogo hata kipindi kile yupo yanga tovuti ya yanga ilikuwa update daily! Toka kaondoka yanga haipo digital media sijui hata kama tovuti inafanya kazi! #Kizuguto#rudi#Yanga#
  10. Wa Kwilondo

    Kwa Wapenzi wa Filamu za Mapigano (Action Movies)

    Criminal, no escape
  11. Wa Kwilondo

    Zari amfanyia Tiffa birthday party bila mtanzania yeyote, si baba wala bibi

    Tena na Shigongo & Co wataibeba hii kesho na kuiandika kwenye vijarida vyao Mark my word!! Hiyo heading juu itakuwa same.
  12. Wa Kwilondo

    Hatimaye Yanga yakabidhiwa kwa Manji aiendeshe kama club Binafsi

    Sisi kama wanachama tumetapeliwa nini? Miaka yote huko nyuma sijawahi kufaidika hata na kitu chini ya hao viongozi! Furaha/faida ya mwanachama yeyote wa klabu ni matokeo no matter timu inaendeshwa na nani! Watakao umia ni wale waliokuwa wanaishi kutegemea klabu najua watafungua sana kesi mwaka huu
  13. Wa Kwilondo

    Hatimaye Yanga yakabidhiwa kwa Manji aiendeshe kama club Binafsi

    Katika wanachama walio makini ni Yanga! Jamaa atakodishwa timu ila ili mkataba udumu inabidi timu iwe na mafanikio miaka yote hiyo kumi otherwise kama hakuna mafanikio wanachama wa yanga wataweka kambi pale quality group na mwenyewe atarudisha timu!!
  14. Wa Kwilondo

    Godbless Lema Mbashara 91.3 Radio 5 FM

    Mkuu umbali si issue hata sisi wa Mwanza na Dar wakati stand inahama mnazi mmoja tulilia sana kusema ubungo toka mbagala ni mbali na ile kwenda nyegezi tuliona ni ngumu lakini now days tuko poa tu! Cha msingi ni kuboresha usafiri tu
  15. Wa Kwilondo

    Tazama jinsi nyoka aina ya anaconda alivyo hatari!!!! Huyu ndo nyoka mkubwa kuliko wote duniani

    Mkuu kwani hujawahi ona movies za anakonda 1-4? Hebu kanunue zote ujionee yupo kweli huyo anameza mpaka Meli!
  16. Wa Kwilondo

    Tazama jinsi nyoka aina ya anaconda alivyo hatari!!!! Huyu ndo nyoka mkubwa kuliko wote duniani

    Ha ha haaa tena atalimeza gari na abiria wake! Kama naweza mchoma kwa kisu vipi iweje vyuma na mabati ya hilo basi!! Movie za kale hizo dunia ya sasa watu wana uelewa mkubwa!
  17. Wa Kwilondo

    Mkutano wa Rais Magufuli Kahama: James Lembeli aungana naye. Je, kurejea CCM?

    Hivi anachofanya magu si siasa hizi alizokataza au yeye anafanya kipi tofauti na wapinzani wangefanya?
  18. Wa Kwilondo

    Tazama jinsi nyoka aina ya anaconda alivyo hatari!!!! Huyu ndo nyoka mkubwa kuliko wote duniani

    Hakuna kitu kama hicho hiyo itakuwa movie tu na huyo ni toy la nyoka tu
Back
Top Bottom