Search results

  1. ilovebrenda

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Mwenye wimbo wa Tongolanga, mpenzi sanura naomba atuwekee hapa nitashkuru sana
  2. ilovebrenda

    Shimo hili hatari

    Nimekuja haraka nikijua lile shimo mnato aisee... duh. Mawazo mabaya sana haya
  3. ilovebrenda

    Ma sister wa catholic church wapata mimba

    Ilitakiwa waseme mapema sasa
  4. ilovebrenda

    Tofauti ya jaji na hakimu ni ipi?

    Jaji ni neno la kiswahili au kiingereza? Kama ni la kiingereza, tutaliitaje kwa kiswahili?
  5. ilovebrenda

    Tofauti ya jaji na hakimu ni ipi?

    Lakini 'jaji' ni neno la kiingereza JUDGE maana yake ni HUKUMU kwa hiyo mtenda ni hakimu, naomba unisahihishe mkuu.
  6. ilovebrenda

    Tofauti ya jaji na hakimu ni ipi?

    Soma kontenti, mbona ni fupi tuu mkuu? Hakuna nilipoandika wakili, labda unaanzisja uzi mpya ndani ya uzi huu mkuu
  7. ilovebrenda

    Tofauti ya jaji na hakimu ni ipi?

    Hivi jaji ndio wakili siyo ...
  8. ilovebrenda

    Tofauti ya jaji na hakimu ni ipi?

    Mabaharia oyeeee. Sisi mabaharia kazi ya majini inatukosesha kufahamu mengi hata ya kawaida tuu, kwa mfano juzi wkt mheshimiwa anawaapisha majaji pale mjengoni tukaanza kubishana bwana... wale mahakimu, mara wale ni majaji. So mabaharia wenzangu wa nchi kavu hebu tusaidieni, hivi hakimu ndio...
  9. ilovebrenda

    Sifurahiii wala sitaki kuona mwanamke anatoa mimba, ila kwa hali hii hebu tuseme tu ule ukweli "afanyeje"??

    Kutoa mimba siyo solushen, kila kiumbe kina haki ya kuishi no matter what. Kwani watoto wangapi wanalelewa na wababa wasio wakwao? Kuna masingomaza wangapi wanalea watoto wao wakati wanaume waliosababisha wapo na wanajulikana kabisa, tena bora kwa kesi hii mwanaume hajulikani. Kutoa mimba ni...
  10. ilovebrenda

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Bado nasubiria wajuvi
  11. ilovebrenda

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Naomba jinsi ya kuangalia idadi ya android kwny sim yangu mkui
  12. ilovebrenda

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Nawezaje kujua hii kitu kwenye sim yangu?
  13. ilovebrenda

    Sex, beastiality na miunganiko ya kiroho

    Basi mkuu, id niliifananisha na jamaa yangu mmoja anaitumia, ila siyo humu
  14. ilovebrenda

    Sex, beastiality na miunganiko ya kiroho

    Mkuu hivi ni wewe siyo au nimefananisha id yako
  15. ilovebrenda

    Nimetumia hela vibaya, ndugu zangu wanateseka. Moyo unaniuma

    Kuna muda unawaza had akili inagota
Back
Top Bottom