Search results

  1. gluckkcom

    TCRA tunaomba msaada tafadhali

    Sisi hatukufanya makosa kuitikia wito wa kusajili lain zetu kwa alama za vidole Ila makosa yanafanywa na mawakala ambao mmewaamini na kuwapa dhamana ya kutupatia huduma hiyo wananchi Wana dumplicate data za mteja wa awali na kuzitumia data hizo kuwasajilia wateja wengine sim card huku...
  2. gluckkcom

    Find your Birth day partner in here

    Uzi special wa kutafuta birth day partner wako mnao share pamoja siku na tarehe ya kuzaliwa hapa JF Mimi leo ni kumbu kumbu ya siku yangu ya kuzaliwa tareh 7/4 Hivyo Mimi ni April guy
  3. gluckkcom

    Je, Sex ni kisababishi cha mtoto kupungua uzito?

    Miezi 3 iliyopita nilibahatika kupata mtoto wa kike. Baada ya hapo sikuruhusiwa kulala na mke wangu kwa miezi mitatu mfululizo. Ndani ya miezi hiyo yote mitatu mtoto alipelekwa klinic na uzito wake ulikuwa unaongezeka hadi mara ya mwisho kabla ya kuruhusiwa sisi kulala wote kwa pamoja rasmi...
  4. gluckkcom

    Hivi hizi Taarifa Ni za kweli?

    LEO Hii December 8, 2019 Katk ulimwengu wa burudani kuna rumos nying zime tanda kwenye mitandao tofauti ya kijamii Juu ya kifo cha rapper Jarad Anthony Higgins Maarufu kama JUICE WRLD tokea pande za U.S Chiccago je?? kuna ukweli wa taarifa hizo?
  5. gluckkcom

    Usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzako

    Miezi kadhaa iliyopita nilifanikiwa kupata manzi mmoja ya kishua flan hivii sio sanaa alitokea kunielewa sana kiac kwamba zawadi zikawa nying pesa na n.k kwa kua hali ya maisha yangu ni ya tia tia maji na safa kwa mtaa na dili za kuunga nikaona ni kama masihi amenishukia life lika anza kua...
  6. gluckkcom

    Ombi kwenu Wakandarasi na mafundi umeme

    Kwa jina naitwa Tyron goodluck Ni muhitimu wa VETA katika fani ya umeme wa majumbani domestic installation level two na Nna pass ya VC2 Piah Na Elimu ya cctv camera installation watu wa cctv camera surva'llance kama mpo tafdhar piah nanyi ombi hili mhusike nalo Mimi ni mchapa kazi mzuri...
  7. gluckkcom

    Msaada kujulishwa kiasi cha fedha kinachohitajika wakati wa maandalizi ya kujifungua

    HABARI ZENU WANA JF Kwa Majina Naitwa Tyron goodluck Mwanzoni mwa Mwaka huu 25/1/ 2019 kuna msichana nilimpatia Ujauzito Hivyo Nime mlea na sasa yuko ktk hatua zake za mwisho tayr kwa kwenda kujifungua Shida yangu Ni kwamba Nilikua Naomba kufahamishwa kiasi cha fedha ambacho Uwa...
  8. gluckkcom

    how to bypass window 7 loggin password

    how to bypass window 7 loggin password
Back
Top Bottom