Search results

  1. G

    Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

    Nikiwa katika upekuzi wangu ndani ya mitandao ya kijamii nimefanikiwa kupita katika facebook wall ya MTELA MWAMPAMBA na aliyoyaandika yamenistua na kuanza kunifanya kumuogopa. Katika kipindi cha nyuma pale ambapo alifanya makosa makubwa ya kukihujumu chama cha chadema akiwa na mwenzie Shonza...
  2. G

    CCM, mnadhani mmepata huenda mmepatikana.

    Nikiwa katika upekuzi wangu ndani ya mitandao ya kijamii nimefanikiwa kupita katika facebook wall ya MTELA MWAMPAMBA na aliyoyaandika yamenistua na kuanza kunifanya kumuogopa. Katika kipindi cha nyuma pale ambapo alifanya makosa makubwa ya kukihujumu chama cha chadema akiwa na mwenzie Shonza...
  3. G

    Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

    Ikumbukwe tundulisu alimweka dada akee ubunge viti maalumu
  4. G

    Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

    Hebu angalia jinsi walivyo chaguana viti maalum... Tundu Lissu kamleta Christina Lissu (aliwahi kuwa muuza bia Mwanza) Dr Slaa ( kamleta mzazi mwenzie Rose Kamili) Ndesamburo kaleta wawili Lucy Owenya (ambaye amevunja ndoa ya Bwana na Bibi Owenya na kuingilia yeye huyu ni mtoto wa kuzaa...
  5. G

    Wananchi wa Igunga nao wameamua kuua!

    the way u post ur thread seems u are happy with the situation..,TAKING LIFE BY ANY CAUSE ISN'T FAIR ON POINT OF HUMANITY..,WE WONT PROGRESS BY LETTING OTHERS KILL OTHERS..,JUST COZ THEY STOLE FROM THEM...!
  6. G

    Ikulu vs Gazeti la Mwananchi: JK akana kuwasamehe waliomuua Lut Jen Kombe

    Kimsingi gazeti la mwananchi wamekuwa wakiandika mengi hasa yahusuyo ikulu na hasahasa Jk mwenyewe..,bahati mbaya na nasema ni bahati mbaya kwa wananchi wapenda habari na kufuatilia mambo ni kuwa wamekuwa wakiandika habari ambazo ni za upande mmoja na hivyo kuibua maswali na hisia tofauti kwa...
Back
Top Bottom