Search results

  1. L

    Kusini-The i solated part of the country.,the essence of Machinga...!

    Tunapolizungumza suala la kusini na matokeo ya vurugu hizi ni lazima tulizungumze katika fikra pana zaidi.,kwa namna ya matokeo yanavyotokea naliona tatizo la kusini ni zaidi ya bomba la gesi,.naliona kuwa ni hasira za watu hao ambao zilikuwa zimezikwa kwa muda mrefu.,naona kuwa ni mlango...
  2. L

    TZ-the failed state; jamii inatapika sumu iliyolishwa miaka 50 ya Uhuru.

    labda kwa kuwa kila kitu kiko hoi basi kila kitu ni kipaumbele...!
  3. L

    TZ-the failed state; jamii inatapika sumu iliyolishwa miaka 50 ya Uhuru.

    Matukio ya vurugu na msuguano mkubwa unaondelea hivi sasa kati ya raia na wananchi katika maeneo mbalimbali ya nchi kama vile morogoro, mtwara, dar n.k ni ishara kuwa sasa nchi inatapika.,jamii inatapika chakula cha sumu ambacho ililishwa takriban miaka 50 iliyopita, ambapo sumu hii imeendelea...
  4. L

    Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

    Chadema haitofika kokote mkuu..ccm inawajua nje ndani hawezi furukuta...2015 utaona watakavyo sambaratika..
  5. L

    Nape, ukiyaona haya unaweza kuanza kuwa kiongozi

    Vp kwa wasio amini Mungu Mkuu?
  6. L

    Nape, ukiyaona haya unaweza kuanza kuwa kiongozi

    Huku sasa nikukosa chakufanya...ivi kwanini hamuishi kumzungumzia Nape humu jamvini?...kila kukicha mara oh Nape hamia Chadema,,mara ohh Nape wewe ndio mzalendo uliyebakia ccm,,mara oohh Nape huwezi kuibadili ccm...kweli kipele kimepata mkunaji....
  7. L

    Selasini akanusha uzushi uliosambazwa

    Ukiona hivyo ujue ata wadau wa JF kama 30 wamechoshwa na uzushi wa humu ndani...
  8. L

    Mwenyekiti wa UVCCM Tabora ahamia CHADEMA!

    Au labda ni Mkiti wa Ukoo wao huyu jamaa aliyepost hii thread...
  9. L

    Mwenyekiti wa UVCCM Tabora ahamia CHADEMA!

    Nape ni sawa na wanachama laki moja wa Chadema...
  10. L

    Mwenyekiti wa UVCCM Tabora ahamia CHADEMA!

    Namsikitikia sana...hivi hajui kama Tabora haipo kwenye ule ukanda wa NPR...!!!imekula kwake!!!!
  11. L

    Mwenyekiti wa UVCCM Tabora ahamia CHADEMA!

    Watu wenye mawazo kama yako huwa hawafanikiwi maishani mwao....!!!!
  12. L

    Selasini akanusha uzushi uliosambazwa

    JF is abt to crushhhhh....
  13. L

    Mwenyekiti wa UVCCM Tabora ahamia CHADEMA!

    Namsikitikia sana...hivi hajui kama Tabora haipo kwenye ule ukanda wa NPR...!!!imekula kwake!!!!
  14. L

    Selasini akanusha uzushi uliosambazwa

    From great thinkers to great lossers...enyi mnaojiita ma mode jf itawafia mikononi mwenu..hata huyu mwenzenu anawalalamikia...!!!!
  15. L

    Maige amwita Nape 'Gamba', Nape amjibu...

    Well said... Actually this story has been cooked by one npr fool...nape will alwayz be one among strongest leaders ccm have ever had...
  16. L

    SHIBUDA: People's Power ni Kauli Mbiu ya TANU

    Ukweli ni kwamba Shibuda hakuchaguliwa na wafuasi wa CDM...alichaguliwa na wana Maswa wanaomkubali Shibuda kama Shibuda na sio Shibuda wa Chama fulani cha siasa...Shibuda hata akitoka CDM leo bado wana Maswa watamchagua tu...
Back
Top Bottom