Search results

  1. Bitabo

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Natafuta maharage kama tani 20. Mwenye taarifa za upatikanaji anicheki 0755 225511
  2. Bitabo

    Bungeni, Dodoma: Spika Ndugai ataka NIDA kuitwa na Kamati. Asema haifanyi vizuri

    Msaada tafadhali Nikitaka kupata details nilizojaza kwenye form ya NIDA nazipata wapi? Nilijaza form ya kuomba kitambulisho 2012, sasa nimeenda bank kugungua account wananitwanga maswali ili waweze kuverify details zangu kama zinafanana na za huko NIDA
  3. Bitabo

    Feng Shui Black Obsidian Bracelets

    Wakuu kuna anayefahamu hii kitu? Yaani mwenye experience nayo.
  4. Bitabo

    Anahitajika mtaalam wa kuandaa Pendekekezo la Biashara 'Business proposal's za misitu na mazingira

    Salam wakuu, Mimi ni mdau wa misitu na utunzaji wa mazingira. Nahitaji kupata wataalam wa kuandika business proposals za kuombea hela kwa wafadhili juu ya uendelezaji misitu na utunzaji wa mazingira
  5. Bitabo

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu hii gereji iko sehemu gani? Ungeweka na namba ya simu ili iwe rahisi kuwasiliana
  6. Bitabo

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Natafuta fundi mtaalam wa Nissan Murano na Toyota Prado. Niko Dar. Anaweza kunichek 0763 788 000
  7. Bitabo

    Mbegu za Miti ya Ashok inahitajika kwa haraka sana

    Natafuta mbegu za miti ya Ashok, niko Dar. Mwenye nazo au mwenye taarifa naomba anichek Whatsapp 0763 788000
  8. Bitabo

    Ushuhuda kilimo cha miti na hasa mitiki

    Sawa mkuu. Je kuna bank ambayo unaijuainayotoa mikopo ya namna hii?
  9. Bitabo

    Ushuhuda kilimo cha miti na hasa mitiki

    Niliwahi kusikia kuwa kuna benki zinatoa mikopo kwa kutumia mitiki kama dhamana, kuna ambaye anao huo uzoefu atusaidie?
  10. Bitabo

    DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

    Na amejiweka hewani ili avuliwe nguo maana Mange hana pazia akiamua kumvua mtu nguo. Halafu huyu sheikh matendo yake yana ukakasi sana kama vile sio kiongozi mkubwa wa kiroho
  11. Bitabo

    Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

    Makubwa yatawapata. JPM hawataki! Lissu, Bashe,Halima Bulembo, Zitto, Nape, Mwigulu Nchemba January Makamba,Lema, Msukuma, Mbowe,Ndugai. HUO UJUMBE ALIUTOA DAUDI BALALI HUKO TWITTER since April Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Bitabo

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    Nyie chongeni weeee,sie tunaendelea kula dola tu. BOT walishindwa kuzuia wizi wa pesa za Escrow walizokuwa wanahufadhi wenyewe, leo ndo wwnajidai wanawapenda Watanzania?
  13. Bitabo

    BoT na CMSA wautahadharisha umma kuhusu Taasisi ya Upatu ya D9 Club

    Malipo yapo kama kawaida mkuu. Ni biashara ya mtandaoni na inatoka kimtandao. Kwa wenzetu nje unatoa bank through bitcoins ila huku kwa vile tumezoea ujamaa na kujitegemea huku migodi ikiuzwa ndo mnalishwa umbea eti ni upatu. Hii ni biashara. Kama hujui ni bora ukajifunza kulikokusema watu...
  14. Bitabo

    BoT na CMSA wautahadharisha umma kuhusu Taasisi ya Upatu ya D9 Club

    Mmiliki halali anaitwa Danilo Santana na tarehe 7 July anaingia Dar. atakuwa pale Mlimani City na atapewa escort ya king'ora kutoka serikalini. Akishaondoka ndo mtajadili juu ya utapeli. Uganda kuna registered office ambayo ina operate kwa ajili ya Tanzania, Kenya na Uganda. ofisi nyingine iko...
  15. Bitabo

    Nyama ya pori inapatikana wapi?

    Hivi nyama pori zinapatikana wapi kwa hapa Dar?
  16. Bitabo

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu mimi niko tayari kuingia darasani kwako hata kesho. Huu unabii ukinipita naweza kujilaumu maisha yangu yote.
  17. Bitabo

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Rose Muhando aliimba "uoga wako ndo umasikini wako"
Back
Top Bottom