Ifahamike mazao hulimwa na wakulima kisha kulanguliwa na wafanyabiashara, tena yakiwa shambani na kwa bei ndogo sana.
Kinana aambiwe ya kwamba lazima tuwe na utaratibu wa kuuza nje na kuingiza bidhaa ndani ya nchi, lengo ni kumlinda mlaji.
Mfano kwa sasa mchele umepanda bei kwa sababu soko...
Ukweli lazima usemwe awamu ya tano ilijitahidi sana kushughulikia migogoro ya ardhi kwa kiwango kikubwa sana na pongezi zimuendee hayati Magufuli pamoja na wasaidizi wake hasa waziri Lukuvi na timu yake yote ya wizara ya ardhi.
Mipango yao ilikuwa mizuri na yenye ufanisi hasa walipobuni ule...
Nimekuona ukiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe askari pamoja na mfanyabiashara mwenye asili ya Kiarabu.
Umezungumza na wachimbaji hao kwa lugha ya vitisho ukiwaambia waondoke eneo hilo ndani ya wiki na ukiwauliza nani anayebisha, wakanyamaza, kisha mfanyabiashara huyo...
Ni kuombe uwe muwazi kabisa juu ya hili sakata la kina Mdee,kifupi unalijua kiundani na wewe ndio master mind.
Unajifanya uko serious na hutaki mzaha lakini wabunge hawa wanabaraka zako .
Nakumbuka 2015 ulianza kuiharibu CHADEMA kwa kumleta Lowassa.
Kifupi wewe siasa zako si za kuisaidia nchi...
Ukiangalia mabadiliko aliyoyafanya ya baraza la mawaziri na makatibu wakuu wa wizara amefanya kwa kudanganywa.
Si kweli kwa maoni yangu kwamba Proffesor Palamagamba, William Lukuvi, Goefrey Mwambe, Kitlya Mkumbo, na Mwita Waitara ndio tishio na wanajipanga kwa urais 2025.
Kwanza kuutamani...
Kwa mara ya kwanza nimeona unajihami kwa kusema matatizo ya awamu zilizopita yanaangushiwa awamu yako hivyo hutakubali ,na utasimama upande wa wananchi.
Swali langu kwako ,hili la mfumuko wa bei,kupanda holela kwa bidhaa karibu zote nchini nalo umeangishiwa jumba bovu?
Awamu iliyopita ,ya...
Nimekusikiliza kwa makini sana ukijibu maswali ya mtangazaji wa AzamTV, Charles Hilary taarifa ya habari saa mbili usiku leo kuhusu kukatikakatika kwa umeme nchini ,umepwaya sana katika majibu.
Inaonekana hujui tatizo hasa la kukatika umeme ghafla baada ya hayati Magufuli kufariki na kuondolewa...
Nawauliza Watanzania, nchi hii ni maskini kweli au inakosa viongozi wenye maono?
Kabla ya Magufuli kuingia madarakani Kikwete alitembeza sana bakuri ughaibuni,tulivyoambulia ni pamoja na vyandarua toka USA
Magufuli akaingia madarakani slogan yake akasema nchi hii si maskini, ina kila aina ya...
Kwa Sasa jukwaa limejaa mapambio na sifa zisizostahili hata kidogo ,ili mradi kukomoa wafuasi na mashabiki wa late Magufuli.
Si Twitter, Facebook, matusi hayapo,kilichobaki ni kusifiana na kupongezana,haya nayo yana mwisho
Ukifuatilia kwa makini na tafiti zisizo shaka utagundua ya kwamba watu wanaotokea Kanda ya Ziwa ni wakarimu sana, wapole na hawana makuu, kadhalika hawajui kabisa majungu na unafiki hawana tamaa.
Hii ndio maana taifa letu miaka yote limeendelea kuwa calm sana, pamoja na mashambulizi ya kila...
Matamshi aliyoyatoa Simion Siro wakati wa kuaga miili ya askari waliouwawa wakitimiza majukumu yao na mhalifu Hamza yalikuwa sahihi kwa asilimia zote.
Ni kweli katika dunia ya leo yenye changamoto nyingi za uhalifu hasa wa kuvizia, polisi wanatakiwa kuwa makini na baadhi ya raia mithili ya...
Watu hawa jamii ya wachache wenye multiple users walioko mitandaoni ndio imekuwa sauti ya Watanzania wote, inasikitisha sana, jamii hii inatumika sivyo ndivyo ,wamejikita kama wao ndio wenye hati miliki ya hii nchi ,imefikia mpaka kiongozi mkuu wa nchi pamoja na kuwa na vyanzo vyote vya taarifa...
Inasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa.
Ndio maana hayati Rais Magufuli alilijua hilo akawa anawacheki tu...
Akiwa 360 Clouds ameliongea hili leo na yuko live mpaka sasa, anasema tatizo lipo kwenye uongozi. Amesema wanachama wa chini kabisa hawana tatizo kabisa, matumaini yao yanaharibiwa na uongozi wa juu.
Angalizo: Mbowe uongozi wako umeshindwa vibaya sana, achia ngazi
=======
“Nilipoenda nchi ya...
Nakumbuka kipindi cha serikali ya awamu ya nne yalikuwepo mauaji ya ndugu zetu Albino kwa wingi sana ,ikiwemo na vikongwe.
Hii ilipelekea aibu kubwa sana kwa taifa letu kwenye uso wa kimataifa, nakumbuka jambo hili lilimkera sana aliyekuwa waziri mkuu Mizengo Pinda mpaka ilipelekea kulia...
Chanjo ilitolewa duniani, na kuna baadhi ya viongozi mashuhuri duniani tuliona hadharani wakichanjwa kama kuonyesha umuhimu wa chanjo na uwajibikaji pia.
Ninavyofahamu mimi layman katika masuala ya afya ni kwamba chanjo ni kinga dhidi ya tatizo husika, ikiwa na maana ukichanjwa unakua umepata...
Kama mwana ccm mkereketwa naomba uongozi wa juu hasa kamati kuu ya ccm, ambayo itahusika na uchujaji wa majina ya wagombea watakao peperusha bendera ya ccm kwenye uchaguzi mkuu October mwaka huu kwa nafasi ya ubunge jimbo la Kigamboni yafuatayo
Nashauri na kupendekeza Jina la Makonda ndio...
Uchaguzi wa ubunge Tarime vijijini mwezi wa Oktoba utakuwa ni wa kukata na shoka, wagombea wote ni wababe watemi, ila Waitara ni zaidi ya Heche, na Heche analijua hilo.
Baada ya Waitara kuongoza kura za maoni Heche ameishiwa pozi.
Uchaguzi huu ndio utakuwa mkali kuliko chaguzi zote nchini...
Salam kwenu vionngozi wangu, imani yangu hamjambo na ni wazima wa afya.
Naleta malalamiko juu ya mfuko wa fidia kwa wafanyakazi (WCF)ambao upo chini ya ofisi ya waziri mkuu, ikiongozwa na mama Jenista Mhagama (Ajira Kazi na Wenye Ulemavu) Hii ni baada ya kufanyia marekebisho sheria ya fidia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.