Search results

  1. Z

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Dawasa mnakera Nimepeleka maombi ya kufungiwa maji Mwezi wa pili huu Kuja kufanyiwa tathimini tu nishakuja ofisini kwenu tabata mara 3 Ofisi za serikali urasimu mwingi...kila siku saundi tu...hapo ni utathimini tu....daah
  2. Z

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Namba yako ya simu mkuu...na unapatikana wapi?nataka lg nchi 49 smart 4k(uhd) bei za model tofauti tofauti
  3. Z

    TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    May her soul Rest in peace,alikua anagombea jimbo la ulanga nafikiri.....Wote tu wapitaji hakuna aijuaye kesho...ugonjwa wa mtu sio kifo chake...Mungu ndio muamuzi wa maisha yetu
  4. Z

    Steve Wonder (picha inanishangaza kidogo)

    Mkuu yule mwalimu alikua anafundisha civics...Mungu ana maajabu yake..
  5. Z

    Ananipenda lakini chamoto nakiona

    Ushauri ushapewa kaka ...ila kwenda kwa mganga haikuwa njema!!
  6. Z

    Mwongozo: Madini ya Ruby na soko lake nchini Msumbiji

    Kaka akhsante kwa mwangaza uliotoa...
  7. Z

    Tatizo kwenye Whatsapp

    Shukrani kaka ..nitafanya hivyo!!ubarikiwe
  8. Z

    Tatizo kwenye Whatsapp

    Na mie naomba nisaidiwe jins ya kutumia wasap kwa namba mbili tofauti kwenye simu ya line mbili...galaxy grand duos
  9. Z

    TCU na ubaguzi kwa wanafunzi waliosoma arts

    Kumbe wanang'ang'aniza advance mathematics....nikijua mathematics
  10. Z

    TCU na ubaguzi kwa wanafunzi waliosoma arts

    Content za masomo yenyewe inatakiwa uwe na uelewa na hesabu mkuu.....kwani IT ndio haitakiwi ujue hesabu au? IT ni science pure
  11. Z

    Samsung Galaxy S4 feki

    Hata kama ni kirusi kaka....used ya s4 bado haijafka 300 ....hyo ni clone
  12. Z

    Ninaomba jibu la hesabu yangu hii hapa

    Jibu ni 9
  13. Z

    Picha za Kigali,Rwanda.Watanzania tuna cha kujifunza sana kuhusu usafi wa mazingira

    Rwanda kwa ujumla ni safi sehemu zote.....wana siku ya usafi kabisa jumamosi ya mwisho ya mwezi,
  14. Z

    Unlock modem mpya za Airtel ZTE MF190

    Wakuu mimi ilikubali kwa mitandao ya airtel na voda lakini kwa tigo haidetect kabosa na inaandika iko unlocked sasa sijajua tatizo ni nini
  15. Z

    Kama Huna Kazi na Umekata Tamaa Soma Hapa

    kwa yaliyotukuta wala hatubishi uliyoyaandika bi lara.....ni ukweli mtupu
  16. Z

    Ticha gani wa twisheni ulikuwa unamkubali sana

    dah huyu jamaa ni mkaree wa hesabu....cjui cku hz yuko wapi aisee!!
Back
Top Bottom