Upinzani upi? Wakati wanadhulumiwa ubunge wao mlikaa kimya, tumeacha bunge zima ni la chama twawala, shida iko wapi? si upinzani unachelewesha maendeleo mkuu?
Ni maneno yaliyonipa tafakari kubwa sana hasa wakati huu ambao kila sehemu kuna praise team kuanzia Upinzani hadi Chama Tawala ni maneno ya kufikirisha toka kwa mdau huyo akisema.
"Kadiri kelele na shangwe za kusherehekea amani, huku wakila na kunywa ndipo wakati wa uwangamivu ulivyokuwa...
Yes niko sahihi mkuu vyanzo vya taarifa vyote ni sahihi wakati wa Drogba anakaribia kuondoka darajani Marina ndo alihusika kutaka aongezewe mkataba hata wakato Michael Emanalo stili Marina ndo alikuwa na sauti kubwa ndiye alikuwa anapokea na kupeleka maagizo na maelekezo toka kwa boss directly
Nyuma ya mafanikio ya Chelsea chini ya Bilionea wa Kirusi Roman Abromovic yupo mwanamke wa shoka na jasiri Marina Granovoskaia,Aliajiriwa katika kampuni ya mafuta ya Mrusi Roman Abromovic ya sibnfet mwaka 1997 kabla ya kuteuliwa kuwa mwakilishi wa Abromovic kwenye bodi ya Chelsea mwaka...
Kila mwanadamu ni sehemu moja ya muundo mkubwa, wa milele - gia za kibinafsi katika saa ambayo haina mwisho. Ingawa hauwezi kuelewa kabisa kusudi lako, sehemu yako ni muhimu kama wafalme na malkia wakuu wa sayari hii.
Wengine huhisi kana kwamba ukosefu wa utajiri au ushawishi wa muda mfupi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.