Search results

  1. Miss_Irene

    Wanaume wachafu msiutumie uchafu wenu kama ndio uanaume

    Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume Unakuta mwanaume kakomaa makalio yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta, harafu utasikia anasema "mwanaume hapaki mafuta makalio" Imekuwa hivyo hivyo kwa hawa wanaotembea kwa...
  2. Miss_Irene

    Clouds Media fanyeni mabadiliko wakati huu ikiwa mmempoteza Ngoma

    Kuondoka kwa Hassan kuwafanye mfanye mabadiliko makubwa, mfano Babie Kabae nae pia mnaweza kumpumzisha. Anaharibu kipindi anaonekanaga kama sio Mtanzania vile anaongea kiswahili kama Mkenya. Yaani haendani na kampeni yenu ya NAIAMINIA 255, kama inawezekana ahamie Choice FM naamini hapo akija...
  3. Miss_Irene

    Eti kweli huyu anafaa?

    Kwanza kabisa nitoe pongezi za dhati kwa mheshimiwa Rais kwa kutuletea mtandao huu wa JamiiForums hakika Rais Magufuli ni mwamba (samahani nimeangalia taarifa ya habari ya ITV leo kuna daraja sijui Tanga kwa Godwin Gondwe sijui sasa kila mtu anasema pongezi ziende kwa Rais nikasema sasa imekuwa...
  4. Miss_Irene

    Dunia ya leo hakuna asiyeweza kuchepuka

    Najua kuna watu watabisha ila ukweli ndo huo, nikejaribu kukaa na mashost zangu kuwadadisi yaani wote wana watu wao tayari lakini kuna watu tena wanawapenda Utasikia "me Diamond napenda sana aisee" maana yake ikitokea akakutana na mondi lolote linaweza tokea na nisiongelee mbali me pia nipo...
  5. Miss_Irene

    Hivi wakaka mnaopiga chabo mnapataga faida gani?

    Bila shaka hamjambo wakuu! Tukiwa safarini na Mr kwenda kutizama plant yatu huko Geita ndani ndani migodini Tukawa tumeamua kulala huko huko, sasa hakuna hotels wala lodge za maana sana sana kuna vilodge vya kawaida tu, usiku ilikuwa kama kawaida nikikutana na Mr lazima kuna cha kutokea Basi...
  6. Miss_Irene

    Wanaume msiojua kutongoza mnakera

    Nawasalimu wakuu Hii imekuwa kero sana jamani yaani wanaume hawajui kucheza na akili zetu(kina-dada) Mtu anakutongoza leo asubuhi harafu jion anakuuliza "vipi jibu la ombi langu"? sasa hapo ndo unajibu nini kwamba nimekubali au? Me mwanaume napenda akinitongoza aanze kunitreate kama tayari...
  7. Miss_Irene

    Kajipendekeza mwenyewe kunipa ofa eti analazimisha akanigegede

    Wakuu nimetoka kama kawaida yangu simnajua tena wikiendi Nimekutana na mkaka hapa kanikuta nimekaa kwenye meza pekeyangu akataka mazoea na mimi basi akataka kuniagizia kinywaji nikamwambia najiweza ila kalazimisha Nikaona isiwe tabu si kapenda mwenyewe basi nimekunywa vi-savana vyake vitano...
  8. Miss_Irene

    Jinsi tatizo la nguvu za kiume linavyokuzwa

    Habari za mida bandugu!! Kumekuwa na wimbi la watu wengi sana hasa wafanyabiashara wa madawa (sio unga ni haya ya asili) kueneza kwa nguvu sana kuwa kuna tatizo kubwa la nguvu za kiume Hii imepelekea wanaume wengi kuanza kubagua baadhi ya vyakula mfano chips na vitu vya mafuta mafuta wakiamini...
  9. Miss_Irene

    Wewe unayeoa kwa kuangalia kazi, tabia na dini unadhani kuna tofauti?

    Habari za mida bandungu? Kumeibuka tabia ya wanaume kutuchambua kama karanga (sisi wanawake) unasikia kabisa jamaa linasema "yaani nioe mwanamke anafanya kazi bar" sasa unadhani kuna tofauti ya papuchi ya mwanamke aliyeko bar na hawa wadogo zetu, dada zetu na wengine walioko makwao, shule na...
  10. Miss_Irene

    Ukiitwa mwanaume tafuta pesa

    Wasalaamu wakuu! Katika pilika pilika za hapa na pale nilikutana na mkaka mmoja mtanashati Wacha yule mkaka atake mazoea na mimi, alinikomalia sana aisee na kwa offer zake kiukweli ikawa ngumu kwangu kumchomolea ombi lake Basi buana siku moja akaomba friendly game bila hiyana nikamkubalia...
  11. Miss_Irene

    MIMI MGENI WENU

    Walasalamu ndg. zangu Mimi mgeni wenu jamani, ndo kwanza nimejiunga na Jamiiforums leo Nimepata habari za huu mtandao kutoka kwa rafiki yangu, ameniambia kuwa hapa naweza pata ushauri, ujuzi, marafiki hata bwana pia [emoji38][emoji38][emoji38] (am joking) Naomba mnipokee jamani
Back
Top Bottom