Search results

  1. Miss_Irene

    Barua ya wazi kwa baadhi ya mabalozi wa nje wanaowakilisha mataifa yao nchini Tanzania

    Leo umenifanya nigundue kumbe nina macho mabovu, ngoja nikaazime miwani nije nisome tena ulichoandika
  2. Miss_Irene

    Wanaume wachafu msiutumie uchafu wenu kama ndio uanaume

    Wapo mtaani wanaonekana sio mpaka kukutana na hata humu wamo pia
  3. Miss_Irene

    Wanaume wachafu msiutumie uchafu wenu kama ndio uanaume

    Mimi nawaambia wachafu wote, kuna nyuzi imo humu inauliza eti ni sawa mwanaume kunywa juisi kwa mrija? Nakemea mambo kama hayo mimi usiseme kama shemeji yako ni mchafu
  4. Miss_Irene

    Wanaume wachafu msiutumie uchafu wenu kama ndio uanaume

    Nimekupa like shoga angu [emoji122][emoji122][emoji122]
  5. Miss_Irene

    Wanaume wachafu msiutumie uchafu wenu kama ndio uanaume

    Mfyuuuuuuu! Nipatikanie wapi? Mimi huyu
  6. Miss_Irene

    Wanaume wachafu msiutumie uchafu wenu kama ndio uanaume

    Bora unisaidie kuwafikishia ujumbe
  7. Miss_Irene

    Wanaume wachafu msiutumie uchafu wenu kama ndio uanaume

    Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume Unakuta mwanaume kakomaa makalio yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta, harafu utasikia anasema "mwanaume hapaki mafuta makalio" Imekuwa hivyo hivyo kwa hawa wanaotembea kwa...
  8. Miss_Irene

    TAMISEMI yatoa orodha ya vituo vya afya 90 vitakavyojengwa kwa tozo za miamala

    Mbona kuna vituo vilikuwa tayari vimesha jengwa na JPM au wanamalizia?
  9. Miss_Irene

    Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa

    Ningesikia idadi ya vifo ni zaidi ya 50 hapa ningekubari kuwa jamaa alikuwa anafyatua risasi ovyo, ila kwa kuwa mpaka sasa vifo ni vinne tu na majeruhi 6 basi jamaa alikiwa hafyatui risasi ovyo Harafu jamaa aliacha kushambulia akawa ananyoosha mkono na kujipiga piga kifua mda huo ulikuwa sahihi...
  10. Miss_Irene

    Kocha Nabi alia na muunganiko kasema anahitaji miezi 3

    Miezi mitatu si Yanga itakuwa imeshatoka Caf Champions League?
  11. Miss_Irene

    Inahitajika kazi

    wakuchuja kazi kwako mkuu
  12. Miss_Irene

    Inahitajika kazi

    Vishu Mtata uzi wenyewe si ndio huu hapa https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1898637/
  13. Miss_Irene

    Inahitajika kazi

    Poleeeee! Mungu atakuvusha, naona watu wanapita tu
  14. Miss_Irene

    Wabunge 8 Dodoma, Pwani waangushwa kura za maoni CCM

    Nakumbuka huyo Dk Shukuru Kawambwa mwaka 2012 matokeo ya NECTA ya CSEE akiwa Waziri wa Elimu, jinsi watahiniwa walivyomchukia Mpaka wengine wakafikia kumuita Shukuru kawa mbwa (yaani kawa dog) Ila yote heri kumbe alikuwa bado ni mbuge
  15. Miss_Irene

    Jirani yangu ananifanyia visa

    Unataka niukumbuke mkoba niloachiwa na bibi, wacha umjaze upepo mimi nafanya kwa mapenzi mema tu, kuwaokoa wadada wenzangu Sasa yeye kwa siku analeta wadada kumi tofauti tofauti, mbona mm siletagi tunakutana nje, kazi gan kutiana nyege mabwana wenyewe wamehamia Dodoma Harafu na wewe mleta...
  16. Miss_Irene

    Hakuna Mtia Nia ndani ya CCM aliyeshinda ndani ya CCM bila rushwa

    Hili napinga wazi wazi CCM ndo chama pekee chenye demokrasia ya kweli ndani ya chama, sema huku nje ndo vile..... Ila naamini hata ikatokea chama kingine kimechukua dola mambo yatakuwa hivi hivi huku nje, ila mpaka hapa CCM wana demokrasia pana sana ndani, kuhusu kutumia rushwa ipo kila chama...
  17. Miss_Irene

    BAKWATA: Iddi Al adh'haa itakuwa siku ya Ijumaa ya tarehe 31/07/2020

    Mimi nataka kwanza hapo kwenye "mheshimiwa mufti" nae ni mheshimiwa kumbe???? Ndio maana nilikutana na waislam wanaitwa TWALIQA (sijui nimepatia kuiandika) ila inasomeka TWALIKA, Wao hawataki kabisa kusikia kuhusu BAKWATA
  18. Miss_Irene

    Upinzani acha kutuwekea usiku

    Nadhani unajaribu kutoonesha ni jinsi gani upumbavu wako ulivyo, yaani huoni watu wanavyolalamika mtaani? Kutokuajiriwa kwa hao mnaowaita wanyonge wakati huo huo Jesca Magufuli mtoto wenu mmemuajiri awamu hii hii tena sekta nyeti!, Kukicha mnasema maendeleo hayana chama wakati huo huo mnaonesha...
  19. Miss_Irene

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi Bukoba Vijijini Wagubikwa na rushwa, Wanne Wadakwa na TAKUKURU, Kura za Lweikiza shakani

    Na wewe kwa nini usingegawa, au ulidhani ubunge unapatikana bure bure, kisa ile laki ya fomu unayo ukajua umeula sio? Mbaya zaidi malalamiko unaleta huku JF badala ya kuyafikisha sehemu husika!!!
Back
Top Bottom