Search results

  1. Waziri wa madini

    Ni wakati wa maombi kwa taifa dhidi ya watesi wetu.

    Tunalia Kama wananchi kwa kipindi kigumu tunachopitia hatuna nguvu hayupo wakutusemea ,maisha magumu shida zimezidi ,viongozi wetu wanasikia Ila wameweka pamba masikio viburi vimewajaa hawana huruma kwa wananchi wao ,wamekuwa na roho mbaya iliyopitiliza ,wamekuwa waongo na hawana haya ...
  2. Waziri wa madini

    Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

    Ukimya umekuwa mkubwa kwa wanaharakati na wanasiasa ,ukimya ambao unashtusha na kutia hofu kubwa. Leo hii yupo wapi Zitto Kabwe tuliyemzoea kukosoa serikali kwa hoja zenye mashiko, yupo wapi Freeman mbowe na tindu lissu wasemaji hodari wa kuwasemea wanachi pale Mambo serikalini yanapoenda...
  3. Waziri wa madini

    Azam TV wameanza kufeli, badala ya kuonesha tamthilia mpya wanarudia za zamani

    Mwanzo walianza vizuri sana, sasa imekuwa ni tabu yaani wanarudia tamthilia za zamani katika chaneli ya SINEMA zetu mida ambayo ilikuwa ikioneshwa tamthilia mpya. Azam msijisahau kumbukeni watu wanalipia visimbuzi vyao. Watu wanapiga kelele huko mitandaoni wao kama hawaoni vile. Ifike wakati...
  4. Waziri wa madini

    Utakubaliana na ndoa ya ukoo huu wa mastaa

    Ndio umekuja kuposwa na familia yenyewe ndio Kama hiyo unavyoiona. Mume mwijaku. Dada ake nyawana wa kwenye mama kimbo. Kaka ake Steve nyerere. Shangazi yake riyama Ali dada wa michambo. Wajomba zake tini white na mkojani. Rafiki zake haji manara na kipunje. Baba ake mzee korongo. Mama ake mama...
  5. Waziri wa madini

    Tamthilia ya maji ya shingo mbaya Ila kadada haka kanajua sana

    Tamthilia imekosa uhalisia na mvuto Ila Kuna huyu dada Clara naskia anaitwa Esther Daruwesh ni Moto wakuotea mbali anajua mpaka anajua Tena Halafu mzuri nafkiri bongo movie yote hakuna anayemfikia muhindi sio muhindi muarabu sio muarabu Yani khatar ajitokeze mdau anipatie namba jaman maana...
  6. Waziri wa madini

    Wanawake kwenye siasa msilete ubaguzi

    Kwamba tunataka usawa wa kijinsia,wanawake na wanaume wote sawa linapokuja swala la uongozi . Ikitokea mwanamke akawa kiongozi anahaki ya kukosolewa Kama mwanaume haiwezekan tukisema kuwa kiongozi fulani hawezi au uongozi umemshinda huku tukiwa na hoja thabiti na dalili za wazi ,badhi ya...
  7. Waziri wa madini

    Nani atamfunga paka kengele

    Ukweli wa mambo upo wazi Sasa kuwa Mambo yameharibika,zama za upigaji zimerudi,wananchi wamechoka ,watu wamekata tamaa,vitu vimepanda bei. Kila Kona vilio na majuto hakuna furaha tunadanganywa mchana kweupe,ubadhilifu na matumizi mabaya ya Pato la taifa.je wanasiasa wamefungwa midomo? Je...
  8. Waziri wa madini

    Viongozi wa upinzani mbona mnatoa maboko sana? Hamuaminiki tena na Watanzania

    Nimemsikiliza kwa makini mh.Hamad Rashid mwenyekiti wa chama ADC alipochangia mada kwenye kongamano la tathmini ya mwaka mmoja wa uongozi wa raisi SSH ,hapa chuo kikuu Cha UDOM. Nimegundua hatuna wapinzani wa kweli bali wengi ni wachumia tumbo nimewakumbuka wakina Mrema, Lipumba, Cheyo, Zitto...
  9. Waziri wa madini

    Sasa ni wakati sahihi Mbowe kuachia ngazi

    Nikiwa kama mwanasiasa huru na raia mwenye ushabiki binafsi kwa mwanasiasa mkongwe Freeman Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani, CHADEMA nina maoni yangu binafsi juu ya mwelekeo wa siasa za vyama vingi nchini TANZANIA. Kwangu mimi nafikiri ni wakati sahihi kwa Mbowe kujiuzulu...
  10. Waziri wa madini

    Ni Rais gani aliyepita Tanzania aliyewahi kufanya sherehe ya kutimiza mwaka mmoja madarakani

    Tukielekea katika siku maalum ya kilele Cha sherehe ya kuadhimisha mwaka mmoja wa utawala wa raisi wa awamu ya sita nchini Tanzania,Nina maswali kadhaa kwa wadau wa siasa nchini. Je ni raisi gani wa TANZANIA aliyewahi kufanya sherehe ya kuadhimisha mwaka mmoja tu wa madaraka yake? Je Kuna kipi...
  11. Waziri wa madini

    Uhuru wa kuabudu unahitajika kuwekewa mkazo, tupinge ubaguzi na udini

    Habari Wana JF Leo naandika huku machozi yananilengalenga. Mimi ni mfanyakazi katika moja ya taasisi iliyo chini ya Serikali, kitu kilichonisukuma kuandika uzi huu ni kutaka kuamsha fikra za umoja na usawa katika imani zetu sehemu zetu za kazi kuna haja ya makusudi kuwepo usawa na hali ya...
  12. Waziri wa madini

    Kuna umuhimu wa kuanzishwa Combat Chanell ya Tanzania

    Ombi langu kwa wadau wa MICHEZO nchini hususan media zenye ushawishi mkubwa hasa Azam tv,Startimes,na DStv kuanzisha television maalum ya MICHEZO ya mapigano.Tunaimani kuwa Kama Taifa la Tanzania tunavipaji vingi na MICHEZO mingi inayohusisha Sanaa za mapigano Kama...
  13. Waziri wa madini

    Tupeane uzoefu: Siku yako ya kwanza kununua gari ilikuwaje?

    Wana jf ushamba mzigo mwenzenu Msukuma Mimi wa Maganzo siku ya kwanza kununua gari langu binafsi nlikuwa nachungulia nje kila wakati Yani usingizi hauji naangalia crown yangu(ndege ya ardhini). Mtaani misele walikoma nlipita mitaa ya ma x zangu wote sinza, keko,buguruni kwamnyamani hadi...
  14. Waziri wa madini

    Watangazaji wa Azam TV wamekuwa wakirudia nguo

    Azama Media ni moja ya kituo kikubwa ambacho kimeleta mabadiliko makubwa katika tasnia yetu ya habari hapa nchini. Wamekuwa wabunifu katika vipindi, ubora wa picha na mpangilio mzuri wa vipindi na wingi wa channel nzuri katika king'amuzi chao, hongereni kwa hilo. Kero ya watu wengi na wapenzi...
  15. Waziri wa madini

    Mohammed Said ni mwanaharakati, mzalendo au mdini?

    Naomba kuwasilisha hoja mezani tujadili kwa kina kuhusu mwandishi nguli wa historia ya siasa Tanzania ndugu Mohammed said,mtazamo wake na maandiko yake juu ya historia ya ukombozi wa Tanzania je tumuweke katika kundi lipi?na Kuna ukweli upi katika maandiko yake? Kwa wajuzi na wafuatiliaji...
  16. Waziri wa madini

    Simba ipo vizuri lakini Mugalu, Wawa na Boko ngoma bado ngumu

    Hongera kwa timu ya Simba sports club kwa kujitahidi kufanya vzuri katika mashindano ya kombe la shirikisho. Hadi wakati huu hatuna mashaka kuwa Simba ndiyo pekee ya Afrika mashariki inayofanya vyema katika mashindano ya kimataifa. Lakini kila mafanikio kuna udhaifu ndani yake ili Simba iweze...
  17. Waziri wa madini

    Kenya 2022 Kudhalilishwa kwa Abdulswamad Sharif Nasiry ni dalili ya kuwa Muungano wa Azimio la Umoja kuna fukuto ndani yake kuelekea uchaguzi mkuu?

    Katika mkutano wa kampeni hadharani alionekana mwanasiasa wa chama Cha Jubilee ambaye kwa Sasa ndiye mgombea wa Ugavana wa county ya Mombasa kupitia muungano wa Azimio la Umoja akitupiwa mayai na kudhalilishwa kwa kufokewa na Gavana anayemaliza muda bwana Joho ambaye ni kiongozi mkubwa wa kambi...
  18. Waziri wa madini

    Huu utamaduni CHADEMA wameutoa wapi?

    Natamani kujua mshauri mkuu wa CHADEMA kwa sababu badala ya kujikita katika kujenga chama wanajikita katika kuanzisha kampeni ambazo wala hazina tija. Nimesikia baadhi ya wanachama wa chadema wakisema watasusia kutumia mtandao wasimu wa Airtel Sasa jamani kususa ndio imekuwa Sera ya chadema au...
  19. Waziri wa madini

    Mateja pale fire Kariakoo wanatumia dawa za kulevya hadharani

    Wito wangu kwa vyombo vya ulinzi na usalama wale mateja pale kituo cha fire K.Koo wanakula unga na kivuta bangi hadharani ni hatari Sana kwa jamii. Inamaana hamuwaoni au ndio tumerudi zama za ukabaila awamu hii ya 6. Kama kuwakamata hamuwezi basi wafukuzeni maana wamezagaa hadharani mchana...
  20. Waziri wa madini

    Sakho tunempa jina la Profesa

    Hakika kwa Sasa mchezaji ni mmoja tu naye ni Pape Sakho. Mchezaji mwenye kipaji Cha hali ya juu,mwenye ufundi ,mwenye kujitumia ,mwenye spidi ya ajabu ,Hakika Simba sports club imapata mbadala wa konde boy. Kama ilivyokawaida yetu wadau wa soka Leo tumebatiza jina jipya fundi huyu wa mpira...
Back
Top Bottom