Search results

  1. crankshaft

    Baada ya kulitafakari sakata la DP World, nimegundua kuwa waislam walikuwa sahihi

    Wakati sakata lile linapamba moto, liliibuka suala la mkataba wa serikali kudhamini makanisa Kwa fedha ya umma. Hoja yangu inajikita kwenye hoja kwamba sakata la DP world na mkataba wa makanisa vinahusiana sana . Kutokana na hili binafsi napata picha kwamba hili la dp world ni kama kisasi Kwa...
  2. crankshaft

    Sijui kwanini nipo upande wa huyu mama

    Why mh. amfanye vile? So Cruel, bila shaka unaweza ona kuna namna fulani so extremely maslahi yake yanaguswa. Kila mmoja kibinadamu kuna namna ukiingia katika maslahi yake, basi utajuta kuzaliwa. Sad truth ni kwamba whether angeua or whatever she could do, it's just a cruelty anyone can do...
  3. crankshaft

    Mungu angejizolea utukufu mwingi sana kupitia yule kijana kama malengo yake yangetimia

    Katika elimu ya secondary kwenye haya mambo ya ukwata shule niliyosoma,kulikuwa na brother mmoja mcha mungu hatari. Alikuwa ni kiongozi wa maombi,maombi ya saa nne baada ya prepo alikuwa hakosi Maombi ya mfungo hakosekani, Kuna yale ya alfajiri siku za weekend alikuwa mbele katika kuamsha...
  4. crankshaft

    Papa Fransis amfuta kazi kiongozi wa kanisa aliyepinga mabadiliko yake

    Kiongozi wa kanisa katoliki amfuta kazi askofu wa kanisa hilo nchini marekani baada ya ku criticize mabadiliko anayofanya katika kanisa hilo. Kiongozi huyo amekuwa mkosoaji mkubwa wa mabadiliko anayofanya papa katika mambo ya kijamii katika kanisa hilo hasa masuala ya utoaji mimba,ndoa za...
  5. crankshaft

    Nigeria: Wabunge wagoma kununua magari yaliyotengenezwa nchini humo

    Wabunge nchini Nigeria wanatarajia kutumia zaidi ya 38m$ ambapo kila mmoja Kati ya wabunge 466 atatumia zaidi ya 400m za kitanzania kuagiza gari aina ya Toyota SUV Pendekezo la kununua magari ambayo ni home made lilitupiliwa mbali na wabunge hao wakidai hayaendani na hali ya barabara nchini...
  6. crankshaft

    Liliishia wapi kanisa la kushea vitu la mitume?

    Kwa mujibu wa biblia, Mara baada ya yesu kuondoka duniani, kanisa la kale kabisa walitumia mali zao kwa pamoja. Yaani mfano una kiwanja chako,unauza pesa Zote unapeleka kanisani. Hapa ndio kuna kisa Cha anania ambae alikufa kwa kosa la kuweka pembeni mali yake ambayo ilipaswa kutumika na...
  7. crankshaft

    Kazakhstan, nchi yenye waislam wengi yapiga marufuku hijab mashuleni

    Kazakhstan, nchi ambayo 70% ya raia wake ni waislam, imepiga marufuku hijab mashuleni kwa walimu na wanafunzi nchini humo. Raia Tokayev wa nchi hiyo alinukuliwa akisema ''Kazakhstan ni nchi isiyo na dini. Shule ni mahali pa kusoma na sio ku practice mambo ya dini. Tuache watoto wasome...
  8. crankshaft

    Mabilionea wa Dunia na Dini

    Elon Musk - Wakati akikubali kuwa mafundisho ya Kikristo ni mazuri, anasema kwamba yeye si mtu wa dini. Mark Zuckerberg - Amekuzwa katika familia ya Kiyahudi, aligeuka kuwa Atheist. Mwaka 2016 alinukuliwa akisema dini ni muhimu bila kutaja dini yake. George Soros - Anatajwa kuwa billionea...
  9. crankshaft

    Wakati waki pretend neutrality, practically Urusi na China wapo pamoja na Israel. Somo kwa Afrika

    Urusi na China,nchi superpowers ambazo zinatajwa kuwa kimbilio kwa nchi zinazoteseka chini ya imperialism ya Western countries practically wapo pamoja na Israel. wote wanakubali existence ya Israel kitu ambacho Palestine hawakitambui na ni haram kwao. And I guess that is why they are fighting...
  10. crankshaft

    Marekani yaipiga chenga Iran, yakiuka makubaliano

    Wiki kadhaa zilizopita Iran na marekani walifikia makubaliano ya kubadilishana wafungwa. Makubaliano hayo yalihusisha kuachiliwa zaidi ya Dolla billion 6 (zaidi ya trillion 12 za kitanzania) , Mali ya Iran ambazo marekani ilizizuia kutokana na vikwazo vyake kwa taifa Hilo kwa ajili ya matumizi...
  11. crankshaft

    Kama Mungu alimuumba Adam na Hawa katika asili ya muafrika, hawa wazungu, wachina, wahindi watakuwa wametoka wapi?

    Kwa mujibu wa special creation theory ni kwamba wanadamu Waliumbwa na Mungu katika namna ambayo wapo Leo. Baada ya uumbaji waliambiwa wakazae ambapo walitumia njia ya sexual reproduction. Ukuaji wa sayansi katika biology specifically katika genetics umeonesha kwamba wazazi Wana influence katika...
  12. crankshaft

    Ulifanya nini shuleni kilichofanya kengele ya dharura ipigwe kwa ajili yako?

    Kipindi nipo form 5 shule x, nilitoka nje ya shule na kwenda kulala na binti mmoja. Dah! Si akadaka ujauzito bwana!!! Siku ya siku nikaona kaja shule na wazazi wake. Kengere ikagongwa nikaona kaja na wazazi wake pale assembly ground. Ukawekwa ulinzi wa kutosha pale kuhakikisha hachomoki mtu...
  13. crankshaft

    Walimu wa english naomba msaada kidogo hapa.

    Nilikuwa naangalia kazi za ndugu yangu hapa darasa la sita kuna kitu kimenitatiza kidogo. ni kipengele cha Simple present tense. Swali wameulizwa always, she.......calendar. mwalimu anasema jibu ni "read" yaani inabaki original verb kwa sababu ya uwepo wa neno always mwanzoni mwa sentensi...
  14. crankshaft

    Uingereza inafikiria kumpa kazi mwanamke kuinoa timu ya taifa ya wanaume

    Baada Ya kuipa mafanikio timu ya taifa wanawake ya uingereza kwa kuiwezesha kutwaa mataji ya ulaya na kufikia hatua ya fainali kombe la dunia, uingereza inafikiria kumpa kazi ya kuinoa timu ya taifa ya wanaume mwanamama sarina wiegman. hiyo ni ikiwa kocha wa sasa bw.southgate atastaafu au...
  15. crankshaft

    Pakistan: Makanisa mawili yachomwa moto baada ya Quran kuchanwa

    Watu kadhaa wamechoma moto makanisa mawili nchini pakistan baada ya quran kupatikana ikiwa imechanwa. hata hivyo polisi wanawashikilia watu wawili kwa kosa linalohusishwa na tukio hilo(kuchana kuran) ambalo hutambulika kama kufuru (blasphemy) nchini humo. mapema jumanne kundi la watu zaidi ya...
  16. crankshaft

    Niger: Wanajeshi 17 wauawa, 20 wajeruhiwa katika shambulio

    Wanajeshi 17 wa niger wauwawa kwenye shambulio mpakani na chad kutoka kwa makundi yenye silaha. Makundi mbalimbali yenye silaha kama isil hufanya shughuli zake maeneo hayo. Kwa mujibu wa Serikali ya kijeshi ya nchi hiyo wanajeshi wengine 20 wamejeruhiwa na kupelekwa katika hospitali ya mji...
  17. crankshaft

    Kwanini taifa la Venezuela ni maskini licha ya kuongoza kuwa na mafuta mengi duniani?

    Kwa mujibu wa tafiti, taifa la Venezuela ndilo lina hifadhi kubwa ya mafuta duniani ikifuatiwa na mataifa ya middle east kama Saudi Arabia, Iran,n.k Wakati haya mataifa kama Saudi Arabia yakiwa na ukwasi mkubwa kutokana na rasilimali hiyo ya mafuta, kwa nini hawa Venezuela ni maskini na hatuoni...
  18. crankshaft

    Filamu ya kimarekani ya "barbie" yatengeneza zaidi tri 2.3 chini ya wiki 3 tangu kuachiwa

    Hii ni kwa mujibu wa wavuti rasmi ya warner bros. hii inaifanya kuwa filam ya kwanza kutengenezwa na mwanamke kuingiza kiasi hicho cha pesa. source:cnn
  19. crankshaft

    Hivi shule ya msingi Walimu hufundisha namba witiri ni yenye kugawanyika kwa tatu?

    Nina ndugu yangu hapa darasa la tano namwaambia inagawanyika kwa mbili baki moja haelewi, ameng'ang'ania mwalimu kamwambia inagawanyika kwa tatu na majibu kawapa. swali: andika namba witiri kati ya 20 na 40 jibu walilopewa na mwalimu kwenye usahihi: 21,27,33,39 ni sahihi ili? Au ni mbinu ya...
Back
Top Bottom