Search results

  1. M

    Naomba ushauri wenu niolewe au?

    shoga huwezi jua na wewe umuombe mungu sana smtms wazazi wanaguvu sana mtashangaa mkioana mambo hayaendi jaribuni kuwashirikisha watumishi they will help you kwa mawazo na maamuzi
  2. M

    I am flying without wings

    wewe unaonekana limbukeni wa mapenzi but utayajua mapenzi ni nini huko babae tuulize sisi wa kongwe huyo sio ndugu yako wa dmu so usijihakikishie sana anything can hapen at any time warembo kibao mjini hapa kwani we unaya gold
  3. M

    Kwa wale tunaotembea na waume za watu

    yani point za muhimu sana mambo ya mkeo hukohuko mimi yananihusu nini kula mziko chapa lapa
  4. M

    Nimeamua kuoa baa medi

    utajiju na umbumbumbu wenu oeni viazi tu muwaendeshe otherwise mtu na elimu yake huwezikumpeleka peleka hovyo
  5. M

    When you find out you have been waiting in vain

    it hurts MUCH but one important thing is just to avoid concentrating for those past things,cause it makes the situation to be worse just having enough time to relax and think careful that your a treasure and if you dont care for yourself no one cares for you. love yourself more than anything...
  6. M

    Whatever situation your in! dont give up

    i love this massage ,for sure god is everything either we agree or not
  7. M

    Hivi hili linawezekana likawa na ukweli jaman?

    week mbona nyingi sana duuuuuuu
  8. M

    changamoto

    wacha ukiazi
  9. M

    Wanawake njooni bedroom fungukeni, tujue mnataka mfanyiwe nini, semeniii yote hapa

    me mda wa kupewa mshiko ndo unanipagawishaga unalo babu
  10. M

    Ni kweli nyumba ndogo wanatusanifu?

    yani nyumba ndogo wanakula kiulaini taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu ,mkeo ndo mliaidiana mtakuwa wote kwenye shida na rahaa nyumba ndogo ni vibuudisho wamekuja mjini kutafuta mtajijua na tamaa zenu .nyumba ndogo huna mkataba nayo wao kazi yao ni kula vichwa tu
  11. M

    Chozi la Mwanamke

    nikweli but kwenye kale kamchezo wengi ni wasanii
  12. M

    Wanaotembea nusu uchi wana lao jambo……….!

    yani uko sahihi mkuu mwanamke kuvaa upendeze na kushikishana adabu .
  13. M

    Mwanaume MACHO, Mwanamke MASIKIO

    tehe tehee umenikumbusha sana mbali da...
  14. M

    kweli kifo noma

    nimecheka sana jamanii rahaa sana
  15. M

    mwanamke ambaye hajaolewa vs mwanaume ambaye hajaoa.

    hapo chacha me naona me naona enzi za mwalimu ilikuwa ni maadili nowdays afadhaili aliyesingle wengi wenye ndoa ndo wanamatukio ya kushangaza so ndoa sio maadili ka upande wangu ni matukio tu ya kawaida
  16. M

    Baba yangu Mchawi... Anatuangamiza, nifanyeje?!

    my dear mungu anajibu na unapoona unaaanza kukata tamaa ndo majibu ya maombi yako yanakuja na usipokuwa makini na kukata tamaa shetani lazima atazidi kufanya maisha yako magumu zaidi .endelea kusali tena ikiwezekana tafuta mtumishi mmoja akusaidie kukuongoza cause kunamisingi ya kuomba ili...
  17. M

    Mwenzenu nalia, naomba msaada!

    kwakweli nimesikitika sana pole my dear lakini me naona kutokana na maelezo yako ni msichana msomi na mwenye kazi nzuri ,mume wako wa kwanza ni kazi mamaa wacha kabisa kusikitika mapenzi yapo siku zote hujuhi mungu anakuhepushia nini na wewe unazidi kun'gang'ania wanaume wengi wa siku hizi ni...
  18. M

    Naichukia ndoa yangu..

    yani the boss hilo jibu ulilompa ni sahihi kabisa atafute kipoozeo la sivyo atazidi kuona maisha magumu sana
  19. M

    No ndoa kisa hajui ku do

    me nilishawahi kukutana na kituko kipo kama tunda za ubuyu nilitoka baruti mabo gani hayo
  20. M

    Looking for wife to be

    shikamoo babu
Back
Top Bottom