Search results

  1. Panctuality

    Wenyeji Dodoma tar.16 April 2024 nitakuwa mgeni wenu

    a Tutafutane maana tangu tar.16 nipo hapa jijini .
  2. Panctuality

    Wenyeji Dodoma tar.16 April 2024 nitakuwa mgeni wenu

    sio rahisi kivipi,kama huamini njoo hapa safina house karibu na ofisi ya mkuu wa mkoa ili uamini kuwa lenye kupangwa linatimika
  3. Panctuality

    Wenyeji Dodoma tar.16 April 2024 nitakuwa mgeni wenu

    nilifika na kupokelewa na google map
  4. Panctuality

    Wenyeji Dodoma tar.16 April 2024 nitakuwa mgeni wenu

    Habarini wakuu Kesho kutwa jioni kama sio alasiri (16 April 2024) nitakuwa Dodoma mjini nikitokea mkoani Mbeya safari ikianzia wilayani Chunya kiofisi zaidi,kwa wenyeji wa maeneo hayo nitafurahi Sana tukijuana na kupeana ABC baada ya pilikapilika zote na nitakuwepo hapo Jumanne jioni mpaka...
  5. Panctuality

    JamiiForums Usiku wa manane

    03:07
  6. Panctuality

    JamiiForums Usiku wa manane

    Mi binafsi usingizi utakapoangukia haijalishi ni mchana wa makelele njozi zinakubali tu
  7. Panctuality

    JamiiForums Usiku wa manane

    Hakuna namnà na iwe hivyo Tu kwamba kulala isiwe mazoea kwa kuwa ni usiku Bali kulala iwe Tu kwa kuwa mwili umegoma kuwa macho
  8. Panctuality

    Sio siri huyu Mzigua90 ananichanganya sana

    Ahahahaaaa nicheke kidogo,wanasheria jinsia ke mnatuhumiwa huku.
  9. Panctuality

    Kwanini sishiki mimba?

    Pole dada,jitahidi wewe na mmeo kumuona daktari mjue tatizo linaanzia kwa nani?
  10. Panctuality

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Daah muda fulani mtu bora afe na shida zake
  11. Panctuality

    Wanawake: ukiona mwanamme anapiga mshindo zaidi ya mmoja kitandani, achana naye fasta huyo ni masikini

    Na sisi makapuku ndio tunakula sehemu ya faida ya hao wa kimoja chali kupitia wake zao kutokana na tunavyowanyandua
  12. Panctuality

    Angalia jela hiyo ughaibuni

    Nimtusi nani huko Austria nifungwe hapo?
  13. Panctuality

    Je, inawezekana mtu kupata HIV kwenye sex chini ya dakika 2?

    Ondoa hofu ARV's zipo na zitakusaidia
  14. Panctuality

    Makabila yenye wanawake waliokosa uvumilivu kwenye ndoa

    Ukiwa na pesa hakuna mwanamke wa kabila lolote wa kukuacha hata ukimtukania mama yake.
  15. Panctuality

    Namchukia sana Mama yangu

    Kutokukufinya ukiwa tumboni ama uzaliwapo ni dhahiri mama yako anakupenda,nani kama mama?
Back
Top Bottom