Search results

  1. Sembeta jr

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo tulikuwa tunauona zamani sana kwenye video sina uhakika kama ni wa hussein jumbe au vp...jamaa anaimba kuhusu kumpa talaka mwanamke ambaye anaonekana yypo bize sana kishangingi zaidi badala ya kujali ndoa.......
  2. Sembeta jr

    Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe

    So besically what you are saying mr matola is ...the end justify the means and they are above the law right...???? Tuna safari ndefu sana[emoji24]
  3. Sembeta jr

    Mashindano ya kuhifadhi Quran kuanza Aprili 10

    Rajai ayoub asikose......mtu mbadi
  4. Sembeta jr

    Mawazo katika kufanikiwa kwenye biashara ya Tofali haswa kwenye Miji inayokuwa

    Mkuu hapa ulitaka kusema elfu moja au ndo umemaanisha hiyo tofali elfu kumi kwa siku?????
  5. Sembeta jr

    Putin kuhudhuria Tamasha kubwa la kusherehekea miaka 8 tangu waikomboe Crimea. Atahutubia Dunia!

    We mtoto wa shule kafanye homework....putin kaaibika ukraine???? Labda putin yule wa buza
  6. Sembeta jr

    Meja jenerali Sylivester Chacha Ryoba

    Ofisa wa cheo hicho tena nimeona mtu hapo juu kasema alifikia cheo cha luteni jenerali ni watu wa hadhi ya juu kabisa ya kipekee ya jeshi na nchi huyu kambi yoyote ya jeshi lazima afahamike usifanye mchezo na 3* general asee ungekuwa siriaz ungeshampata......
  7. Sembeta jr

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Kuna mambo mengi yapo chini ya kapeti kuhusu SGR, hata hao yapi merkez sio wema kiivo kama wanavyojiaminisha kwa watu......na nina uhakika kwa intel aliyokuwa anapewa hayati rais magufuli asingewapa tena hawa jamaa kazi.....yapi mwenyewe ni kama dalali tuu anauza kazi kila kukicha....yanayojiri...
  8. Sembeta jr

    Rais Samia Akutana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Blair

    Daah mwamba umenichekesha kwa sauti usiku huu....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. Sembeta jr

    Lita ya mafuta ya kula imefika Tsh elfu 10. Rais Samia ajulishwe na aingilie kati

    Wanaomkosoa jamaa usikute hata dukani hawaendagi ni unafiki tuu....nipo bahi nimetoka nunua sasa ivi lita moja ya korie sh elfu sita.....alizeti sijauliza
  10. Sembeta jr

    Tetesi: Sababu za Dkt. Kalemani kutumbuliwa Uwaziri, genge lamponza

    Mimi nasubiri kuona bei ya nguzo ikirudi, na gharama za kuunganisha umeme kubadilika ndo ntaamini otherwise......lakin kwa sasa sijui hata kwa nini wamemtoa keleman na kupiga kazi kote kule......
  11. Sembeta jr

    Wananchi wanaomjua Hamza wanasema alikuwa mtu mzuri, mwana CCM kindakindaki na Mmiliki wa mgodi

    Najaribu kuwaza tuu kwa sauti ya chinichini......ivi kwa nnavowafaham magaidi hao wenyewe hasa kina alshabab au boko haram.....kweli kabisa kashika mashine gani mbili zina risasi za kutosha wale raia wote pale mbele yake anawatizama tuu???.....mmmmhhh sijui bana
  12. Sembeta jr

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    "Kahawa ni zao lenye faida kubwaaa....eeeh tulimeni kahawa....." Hapo saa moja moja usiku unasubiri ubweche upakuliwe hapo....... "Pokeaa salaaam.....".........saa sita hapo umetoka shule njaa inauma homr hukuti mtu wapo shambaa....ungonga viazi na maji mambo yanaendelea Dah those days bana......
  13. Sembeta jr

    Series (Special thread)

    Okk ngoja nidondoshe ep kadhaa kwanza
  14. Sembeta jr

    Series (Special thread)

    Knahusu nini hii mkuu maelezo kidogo kabla hatujashusha
  15. Sembeta jr

    Wadau kwa Milioni 17 naweza kujenga apartment 4?

    Unajenga ndugu zote nne ila utaishia kupaua sana sana na kweka grill baasi.....kwangu mm onawwzekana nitafute[emoji16][emoji6]
  16. Sembeta jr

    Lengai Ole Sabaya, asante kwa utumishi wako

    Za miaka mkuu.....[emoji41]
Back
Top Bottom