Search results

  1. plan z

    DOKEZO TANESCO Arusha inawanyanyasa Wafanyakazi Wake

    Lengo la uzi huu ni kuitaka serikali iwe makini na utendaji wake, na pia kuwataka wananchi wazinduke na kupinga matendo maovu yanayoendelea nchini. Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kule mkoani Arusha limekuwa na historia kwa muda mrefu sasa ya kutojali wafanyakazi wake pamoja na maslahi yao...
  2. plan z

    Mwanaume usisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke

    Habari za siku nyingi wadau! Leo nataka kuwakumbusha wanaume msisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke. Hii ni kwa sababu mwanamke atakushauri kitu ambacho anakipenda yeye lakini kitu hicho hicho ukimfanyia yeye, atapoteza hisia na wewe. Mfano mwanamke anaweza akakushauri kwamba "ili...
  3. plan z

    Njia Kuu 4 za kutengeneza Pesa

    Kuna njia kuu nne za kutengeneza pesa, kutoa muda wako kwa ajili ya pesa, kutoa taarifa ili kupata pesa, kutoa bidhaa au huduma kwa ajili ya pesa na kuweka kitu au mtu kufanya kazi kwa niaba yako na ukapata pesa. Njia ya kutoa muda wako ili kupata pesa ni njia inayotumika unapoajiriwa, utakuwa...
  4. plan z

    Jinsi ya ku unlock abilities zilizopo ndani yako

    Hiki ni kisa ambacho kitakufanya uweze ku unlock abilities(uwezo) ambao upo ndani yako. Hapa tunaona mfano wa simba mdogo ambaye amekua tangu akiwa mdogo pamoja na kundi la kondoo, hali iliyomfanya adhani yeye ni kondoo na kuishi pamoja na kula majani kama kondoo. Hali hii iliendelea hadi...
  5. plan z

    SoC02 Kama unahitaji kufanikiwa kwenye jambo lolote, unapaswa kuwa na kasi(speed)

    Katika dunia ya sasa yenye ushindani mkubwa katika nyanja mbalimbali hasa za kiuchumi, kama unahitaji ufanikiwe haraka katika biashara yako au kampuni yako, kasi ni ya muhimu sana. Kama nilivyotangulia kusema dunia ya sasa ni ya ushindani hivyo unapaswa kuwa na kasi katika mambo yako...
  6. plan z

    SoC02 Vijana tujiingize kwenye njia za kutengeneza pesa Mtandaoni Ili tuweze kujikwamua kutoka kwenye umaskini

    Ulimwengu wa sasa umebadilika tofauti na miaka ya nyuma na njia za kujiingizia kipato kwa nyakati hizi ni tofauti na kipindi cha nyuma. Zamani mtu unaweza kuamka huna hata shilingi kumi na ukatoka mtaani ukapata chochote na usilale njaa, lakini kwa nyakati hizi ukiwa katika hali hiyo unaweza...
  7. plan z

    Watu waliofanikiwa ni wale ambao walienda extra step

    Hiki ni kisa cha marafiki wawili ambao walikuwa wakifanya kazi kwa bidii lakini mmoja wao tu ndiye aliyepandishwa cheo. Yule mwingine aliona kama hakutendewa haki hivyo alienda kulalamika kwa boss wake kwamba hawajali wafanyakazi wake wanaofanya kazi kwa bidii. Boss wao aliwapa task ambayo...
  8. plan z

    Simulizi fupi kuhusu mafanikio

    Hiki ni kisa cha marafiki wawili ambao walikuwa wakifanya kazi kwa bidii lakini mmoja wao tu ndiye aliyepandishwa cheo. Yule mwingine aliona kama hakutendewa haki hivyo alienda kulalamika kwa boss wake kwamba hawajali wafanyakazi wake wanaofanya kazi kwa bidii. Boss wao aliwapa task ambayo...
  9. plan z

    Simulizi kuhusu maana ya kuishi

    Hiki ni kisa cha mtu aliyechelewa safarini. Alipofika kwenye stesheni ya treni alipanda treni ya kwanza kuwasili mbele yake. Na kwa sababu ya uchovu alisinzia kwa muda na kisha baadae kuamka. Alishangazwa kuona treni ikiendelea kwenda kwa kasi pasipo kujua uelekeo wake. Alianza kuuliza kila...
  10. plan z

    Njia anazotumia Mungu kukusaidia

    Hiki ni kisa cha mchungaji ambaye yeye alikuwa akimwamini Mungu kiasi kwamba alishindwa kutambua njia anazotumia Mungu kusaidia mtu anapokuwa kwenye tatizo. Mchungaji huyu alikuwa anaamini kwamba Mungu atakuja kumwokoa kimiujiza, mbali na kwamba Mungu alitumia watu mbalimbali kama daraja la...
  11. plan z

    Hadithi Ya Jinsi Mungu Anavyosaidia

    Hiki ni kisa cha mchungaji ambaye yeye alikuwa akimwamini Mungu kiasi kwamba alishindwa kutambua njia anazotumia Mungu kusaidia mtu anapokuwa kwenye tatizo. Mchungaji huyu alikuwa anaamini kwamba Mungu atakuja kumwokoa kimiujiza, mbali na kwamba Mungu alitumia watu mbalimbali kama daraja la...
  12. plan z

    Jinsi utakavyokuwa usipoanza kupanda mlima na wewe

    JINSI UTAKAVYOKUWA USIPOAMUA KUPANDA MLIMA NA WEWE Hapa mlima ninaoumaanisha ni maisha yako, kwa mfano unataka kufanya jambo flani na ukaulizia kwa wengine waliofanya jambo kama hilo, na walipokupa mbinu hukuchukua hatua ili na wewe ufike walipofikia au ujionee mwenyewe. Kwa mfano unataka...
  13. plan z

    Uongo tulioaminishwa kuhusu fedha

    UONGO TULIOAMINISHWA KUHUSU FEDHA Nafahamu wengi wetu tumejaribu kwa namna mbalimbali kutafuta kanuni ya fedha. Hebu jiulize binafsi ni vitabu vingapi umesoma, semina ngapi umehudhuria, maombi mangapi umeomba, ushauri ngapi umefuata. Lakini huoni matokeo yeyote. Bado umestuck kwenye shughuli...
  14. plan z

    Hasara za kutokuzuia hasira zako

    Ukiwa na hasira unaweza ukafanya maamuzi ambayo unaweza ukayajutia baadae. Ni kama kuchoma mtu kisu, haijalishi ni mara ngapi utaomba samahani ila kidonda kitakuwa palepale. Hivyo unapokuwa na hasira jizuie usifanye mambo ambayo yataacha alama mbaya kwa watu, siku zote watu watakumbuka.
  15. plan z

    Bado Hujachelewa

    Kuna mambo au watu ambao wanakuvuta nyumba kwa namna mbalimbali, au imani ulizoaminishwa wakati unakua au kutokana na mazingira. Hivyo umejijengea kitu flani na flani hakiwezekani. Ukweli ni kwamba, bado muda upo, hujachelewa. Kila kitu kinawezekana, anza sasa.
  16. plan z

    Thamani ya maisha yako

    Maisha ni vile unavyojiweka mwenyewe. Wewe mwenyewe unaweza kuamua uwe na thamani kiasi gani. Vilevile chagua watu ambao wanatambua thamani yako, fanya kazi na watu ambao wanatambua thamani yako.
  17. plan z

    Namna ya kuiona dunia

    Kila mtu ana mtazamo wake, tuangalie namna iliyopendekezwa ipoje.
  18. plan z

    Je, kufanya unachokipenda pekee kunaweza kukufanikisha?

    Nimefuatilia visa vya mamilionea wengi(hawa wa USD), wengi wao wamedai walifanya kitu walichokipenda hadi kikawafanikisha. Nini mtazamo wako? Mimi binafsi naunga mkono hoja kwamba ukifanya unachokipenda kinaweza kikakufanikisha.
  19. plan z

    Jinsi ya kufungua fahamu zako

    Nilitaka kutafsiri "Empty your mind" iwe kama title kiswahili chake ni "ondoa fahamu zako" sasa inakuwa haileti maana nzuri. Watu wengi tuna our own definitions hivyo inakuwa ngumu sana kupokea mambo mapya au kujifunza mambo mapya kwa sababu tuna vitu ambavyo tayari tunaviamini. Hivyo kisa...
  20. plan z

    Utajiri ni upi?

    Watu wengi uamini utajiri ni mali na fedha na vitu vya thamani, wengine uamini utajiri ni kuwa bora katika jambo flani, wengine uamini utajiri ni umaarufu, wengine uamini utajiri ni watu. Nakubaliana na yote hapo juu. Mimi naamini kulingana na kisa hiki, utajiri ni kuridhika na kufurahia kile...
Back
Top Bottom