Search results

  1. Tudai Haki

    Ripoti madai ya sumu Mto Mara zina utata, zimetofautiana, wataalam wamezichambua

    Maprofessor tunazidi kukosa heshima mbele ya jamii sababu ya michongo.
  2. Tudai Haki

    Mapadri 3000 wagundulika kuwadhalilisha watoto kingono tangu 1950, Ufaransa

    Nimekuwa alter boy tangu 1997 hadi 2004, Na nilikuwa karibu sana na mapadre. Sijawahi kuona wala kuhisi huu ushenzi. Walau kwa wanawake nimehisi. Labda ulaya ila kwa Afrika hasa Tz haya mambo ni nadra sana kutokea kwa hii jamii.
  3. Tudai Haki

    Watu 2 wahukumiwa kwa hatia ya kusambaza Huduma ya Internet bila kibali na kuisababishia hasara TCRA

    Nadhani alitaka mahakama itoe hukumu ya haki bila kuingiliwa kisha kama ni faini au kifungo vitatolewa kwa mujibu wa sheria za mahakama. Ila hayo makubaliano haina tofauti na mtu aibe halafu muyamalize kinyumbani, lazima mmoja ataumia tuu.
  4. Tudai Haki

    Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

    Haisemi Tanzania tuu, hata Uganda na Rwanda. Ila ni aibu kwa Tz maana kwa misingi alioiacha Mwl. Nyerere haya maneno yalipaswa kutoka kwa Rais wa Tz.
  5. Tudai Haki

    Tatizo la macho kuwasha

    Write your reply... ulipona? maana na mke wangu ashaanza hili tatizo
  6. Tudai Haki

    Maoni: Radio za Catholic zinaliaibisha Kanisa

    a pole sana maana kiwango chako cha kuelewa ni kidogo mno. sab abu hakuna zehebu la waromani na kama unamaaniaha wakatoliki basi hawa ndio waliofanya hata unaohisi waelewa wakaelewa sababu misingi yote ya elimu, selikali, Mahakama imeigwa kwa wakatoliki enzi hizo wakiitwa wakristo. ila kwa vle...
  7. Tudai Haki

    Kuna gazeti jipya linaitwa TANZANITE. Je, linamilikiwa na nani? Je, lina muelekeo gani?

    Sasa Nimeelewa Kwa Nini Opogolo Aliita Msiba Njaa Njaa
  8. Tudai Haki

    Professor Mtanzania kaajiriwa kama dereva Ubalozi wa Kenya Marekani

    Kama Ningelikuwa Na Mamlaka Ningeuliza Vzr Je Yupo Kiudukuzi Kwa Faida Ya Tz? Na Kama Sio Namwabia Arudi Nyumbani Kisha Namwambia Dc Yeyote Amuweke Ndani Kwa Kosa La Kuidhalilisha Nchi Na Uprofesa. Akitoka Nampangia Kazi Kulingana Na Elimu Yake Kwa Mshahara Wa Udereva Aliokuwa Anapewa. Maana...
  9. Tudai Haki

    Mapunye: Fahamu kuhusu chanzo, tiba na athari zake kwa ngozi yako

    Nenda Hospital Nako KAMA WAKO MAKINI Hawatakupa Dawa Tu, Utapimwa Kwanza Ndipo Uewe Dawa Kulingana Na Ugonjwa Husika.
  10. Tudai Haki

    Mwalimu aliyetuhumiwa kufanya mapenzi na wanafunzi auawa na wananchi

    Na Hivyo Vitoto Pia Vione Aibu/Viogope Kutembea Na Baba Zao Au Mama Zao.
  11. Tudai Haki

    Rais Magufuli awatimua Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mwenyekiti wa Bodi na Katibu Mkuu Uchukuzi

    Tangu Nianze Kupiga Kura 2000 SIJAWAHI kuchagua kiongozi Wa CCM lakini kama magufuri ataendelea hivi uchaguzi wa 2020 mungu akinijalia nitampa na nitachukua bango la chama changu na kubandika picha yake
  12. Tudai Haki

    Kitila Mkumbo: Lowassa hana budi kukubali matokeo

    Nakubaliana Na Kitila, Maana Hata Waliposhinda Wabunge Wapinzani Maranyingi Na Madiwani Tumepata Sasa Iweje Wabunge Wawe Wachache Na Urais Apate Yeye? Mm Nilimpigia Lowasa, Japo Iliniuma Kukosa Ila Nimekubali Tumeshindwa Japo Sijarizika.
  13. Tudai Haki

    Kwa hili tukio la leo, ITV wasiachwe hivi hivi, wachukuliwe hatua za kisheria

    Kama ningekuwa na cheo katika taasisi kubwa hapa tz, ningewapa tuzo itv kwa jinsi walivyotuonesha uchaguzi huu kila kona ya nchi walikuwepo. NA SAM MAHELA NI RIPOTA BORA WA UCHAGUZI
  14. Tudai Haki

    Msaada: Nawezaje kupata mkopo wa Elimu mbadala wa Unaotolewa na Bodi ya Mikopo?

    USHAURI WANGU Kama ni razima kwenda mwaka huu tafuta nduguzako uweke harambee na kadi za mchango, Plan b ambayo ni uhakika mwakani omba upya fani zifuatazo Kilimo na mifugo au Ualimu au Afya, hizo ndio coz za maskini utapata mkopo hadi kazi. Maana wenzio tulihangaika saana kiasi cha...
  15. Tudai Haki

    Katuni kama inavyo jieleza hiyo!

    Ukiona Hadi Mwizi Anamshangaa Muibiwa Basi Ujue Ni Balaa
  16. Tudai Haki

    Kulikoni ITV kukata matangazo punde baada ya Rais kutangazwa!?

    Mshindi Keshatangazwa Waendelee Kufanya Nn? Hata Mashindano Ya Mpira Timu Ikishachukua Kombe Biashara Imeisha. KIUKWELI NAWAPONGEZA ITV
  17. Tudai Haki

    Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

    Tuchukulie Una Miaka 25 na ulianza mapenzi ukiwa na miaka 18. Kwa Miaka 7 Ushaachwa Na Wanaume Watano, Achana Na Wale Wa Mechi Za Ugenini, Kifupi Tatzo Lako UNAKURUPUKA kwnye mahusiano kiasi cha kuonekana malaya na hata hapa umeleta tangazo kuwa unatafuta wa kukugegeda na bila shaka ushaanza...
  18. Tudai Haki

    Mtatiro: UKAWA imeinyanyua CUF

    Mungu Akujalie Uzima Tu But Nafasi Yako Kwa Taifa Hili Bado Ipo Bali Itachelewa.
Back
Top Bottom