Search results

  1. Yummy

    Tanzia: Msanii Ndanda Kossovo afariki dunia Jijini Dar es salaam

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
  2. Yummy

    Kutoka Bungeni: Wabunge wamchagua Dr. Tulia Ackson Mwansasu kuwa Naibu Spika wa Bunge la 11 la JMT

    Naomba kujuzwa, CCM walikua wangapi leo bungeni??
  3. Yummy

    Happy birthday Kiwatengu

    Kipenzi usikute unatumia ile zantel wameshaifunga,nilikua vichakani nikawa siitumii. Njoo chemba tafadhaliii
  4. Yummy

    He is a Good men

    Mpenziiii nimekuchungulia......majina yasikuchanginyi banaaa. Usije ukaibiwa bureee Love you my darling:hug::busu
  5. Yummy

    Happy birthday Kiwatengu

    My darling husband Asprin, the one and only:A S-heart-2::A S-heart-2: njoo kwanza tutete kidogo. Happy Birthday kiwatengu
  6. Yummy

    Njooni tufahamiane wana MMU

    Hahaaaaaaa.......yaaani mume wangu huishi vituko jamaniii daah
  7. Yummy

    Mashoga wazidi kuongezeka Bongo, nini hasa sababu? Au wateja wamezidi kuwa wengi?

    Kuna mmoja nilimsikia akisema, naomba ni nukuu "mimi nimezaliwa hivi hivi, wala sijafanywa na mjomba wala binadamu maana ndio wengi wanavyodai eti huwa tumefanywa tukiwa wadogo wakati tunalala na ndugu zetu". Nilishtukaa na kumshangaa bahati mbaya sijamzoea nikashindwa kusema kitu zaidi ya...
  8. Yummy

    Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

    Lol......pdidy magari marefuuuu hahahaaaaa na wewe ukapanda na mwali wako? Si kuna jamaa mwingine na yeye alileta au alikua anaongea tu maana na yeye ni mpenda sifa sanaaaa loooh!!!!
  9. Yummy

    Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

    😜 kwani si na yule Richard M aliletaga Limo pia au? Sijui yameishia wapi
  10. Yummy

    Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

    Hahahahaaaaaaaaaa NN unanivunja mbavu leo! Nilikua sijasoma comments daaah
  11. Yummy

    Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

    Kashesheeeeee.......wengine tutaendelea kujikongoja tu, inshaaaalllaaaah tutafika tu.
  12. Yummy

    Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

    Haki ya nani Pdidy okoa familia!
  13. Yummy

    Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

    NN usinichekesheee bana, labda umsaidie kumpeleka shopping......lol Namfahamu sababu ya washkaji zangu
  14. Yummy

    Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

    Poor Phanuel!
  15. Yummy

    Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

    Makubwaaaaa!!!! Aiseeee......Jamani mke wake na watoto! Duuuuh nimebaki macho yananitoka baada ya kusoma hii news.
  16. Yummy

    Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

    Ameeeeen
  17. Yummy

    Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

    Umenikumbusha walimu wangu aisee daah....Riz alimaliza mwaka gani?
  18. Yummy

    Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

    FaizaFoxy ulipopita hapa ulikua umefumba macho???? Maana naona umejibu hoja zote zilizofatia ila hii umeiruka, kulikoni?? Sina kiherehere lakini.....najua ndio jibu lako!
Back
Top Bottom