Search results

  1. KIDESELA

    Natafuta partner kwenye kiwanda kidogo cha Sembe, Timber, Pwani

    Kama ilivyo heading, miaka ya nyuma kidogo nilibuni biashara hasa nia ilikuwa kuwa na kiwanda kidogo cha sembe au kuweka machine za kuchana mbao, nilifanikiwa kujenga jengo nikafanya wiring na kuvuta umeme 3phashe yote nilifanikiwa, ila mambo hayakutimia kutokana na mambo kwenda sio, Sasa...
  2. KIDESELA

    Nafasi za udereva saudia Arabia

    Kama kichwa kinavyosoma hapo, kuna nafasi za udereva kwa wahitaji nchini Saudia Aabia, gari ndogo na malori, Kwanza uwe na leseni ya hapa nchini, passport kubwa, na kuna malipo unalipia, Mkataba miaka 2, free insurance +chakula+ kulala Mshahara ni malori laki 7 na nusu + trip allowance...
  3. KIDESELA

    Msaada mwenye mawasiliano ya Samadu Hassan mtangazaji wa abood

    Habari zenu wanajamiiforum kama heading yangu inavyosema hapo naomba mwenye kujua mawasiliano ya bwana huyo Samadu Hassan ambae awali alikuwa mtangazaji wa RFA anisaidie
  4. KIDESELA

    Kama upo maneno ya Dar, Pwani, karibu tushee local business

    Wadau kama kichwa cha habari juu, Kwa mtu mwenye kujua biashara hii na aliye tayari na awe na cash kiasi kisichopungua 7m nakualika kushirikiana nae katika biashara ya kusaga na kupack Unga wa sembe, Binafsi nina jengo nimeshajenga limekamilika, nimeweka umeme 3 phase na unawaka, kuna mambo...
  5. KIDESELA

    Kinauzwa kipo sinza mugabe

    Kama kinavyoonekana hapo kitanda kinauzwa kipo sinza mugabe, mcheki muhusika kwa namba hiyo,bei yake Laki 3 na elfu 70 maongezi yapo +255 679 214 045
  6. KIDESELA

    Shamba hekari 3 linauzwa kibaha

    Shamba la heka 3 linauzwa eneo la kibaha misugusugu, umbali toka barabara kuu ya morogoro ni km 1 na nusu, kuna maji na umeme jirani na shamba, Bei ni mil 15 Namba ya muhusika 0714595 617
  7. KIDESELA

    Njoo nikuuzie tairi za gari kwa discount

    Wadau habari zenu: Kuna bwana nafanya nae biashara fulani ,sasa kuna kimzigo nilimpa lakini mambo yake hayajakaa sawa sasa anashughulika kuuza tairi za magari, kwa uungwaana tu kaniambia nipeleke mtu mwenye uhitaji wa tairi ili niweze kupata pesa yangu, sasa mwenye uhitaji wa tairi za gari kubwa...
  8. KIDESELA

    Natafuta kazi ya utangazaji wa Radio FM bure

    Habari za hapa wana Jf , Kama kichwa cha habari yangu ilivyo hapo juu, Mimi ni kijana wa kiume miaka yangu 33, sijasomea uandishi wa habari wala sijasomea utangazaji, ila binafsi napenda utangazaji kwa sababu naamini nina uwezo mkubwa sana kuzidi watangazaji wengi sana wa hizi FM radio...
  9. KIDESELA

    what's goes around comes around!!

    Hyo style mliyoanzisha ya udini na mnavyoipa nguvu ndio itayokuja kuwamaliza 2015 ccm mkae nakujua wazee ambaowanawabeba kila uchaguzi hawatafikia idadi ya vijana wasiodanganyika,
  10. KIDESELA

    what's goes around comes around!!

    Hyo style mliyoanzisha ya udini na mnavyoipa nguvu ndio itayokuja kuwamaiza 2015 ccm make nakujua wazee ambao wanawabeba kila uchaguzi hawatafikia idadi ya vijana wasiodanganyika,
  11. KIDESELA

    Igunga: Kuichagua CCM sio kuikomoa CHADEMA

    Poleni sana msiojitambua mlio katika mawazo ya karne ya 12 eti kuikomoa cdm kwa ajili ya mkuu wa wilaya mwizi ni kuikomoa CDM mnajikomoa wenyewe na family zenu,watoto wenu na ndugu zenu kazi kwenu! CCM mabingwa wa ahadi za kichina! Feki
Back
Top Bottom