Search results

  1. Superman

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Sio huu Mkuu
  2. Superman

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Sio huo Mkuu
  3. Superman

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Naomba niwe mpangaji wa kudumu ndani ya moyo wakooo By Zahiri Ally Baba yake Banana Mass Media
  4. Superman

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Naomba niwe mpangajiwa kudumu ndani ya Moyo wako By Zahir Au Zahoro Ally baba yake banana. Mass Media
  5. Superman

    Acid na Nyani Ngabu: JF Men of the Year 2010

    Haaaaa haaaa Long time sana!
  6. Superman

    Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

    Jumatatu hadi Alhamisi saa 12.30 Jioni Marudio: Saa 4.30 Asubuhi J3 hadi Ijumaa Marudio ya wiki Jumapili saa 8 Mchana
  7. Superman

    Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

    Sawa sawa Kabisa Mkuu. Ndo ilivyo!
  8. Superman

    Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

    Asante sana Mkuu! Much Respect!
  9. Superman

    Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

    Duuh ama kweli unafuatilia Mkuu. Copy and Paste!
  10. Superman

    Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

    Ni kweli kabisa. Umemshau Baba lao Shaka Zulu aka Baba Sheila.
  11. Superman

    Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

    Asante sana Princess21 endelea kufuatilia na utuunge mkono. DVD zinatoka 1st August 2016
  12. Superman

    Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

    Haaaa haaaa mwanzoni alikuwa anavaa nguo chafu chafu and very shabby, ila baada ya Dayana kuingia akabdailika na Kauka nikuvae zake!
  13. Superman

    Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

    Asante Mkuu, sasa hivi tuko katika maandalizi ya Season 2. Tumejulishwa kuwa Sponsor ametaka muendelezo kwa Mwaka Mzima. So hatujui Year 2 itakuwaje. Walau tuna uhakika wa kufanya Episodes 4 na kila Episode ina Scenes wastani wa 48 hadi 52 na inaonyeshwa kwa miezi 3.
  14. Superman

    Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

    Duuh! Kama ma-Analyst kama Ruttashobolwa mmeikubali sasa tunaamini kuwa kweli hii kazi ni zuri. Asante sana Mkuu na Respect! Ila tunaomba mwendelee kutuambia mapungufu ili Season 2 iwe njema zaidi.
  15. Superman

    Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

    Mkuu Youtube tutaweka tu. Sasa hivi Tamthilia itatoka kwenye DVD then ina booking ya DSTV hatujui mbeleni. So baada ya hapo tutaweka Youtube.
  16. Superman

    Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

    Mkuu DVD zinatoka 1st August 2016.
  17. Superman

    Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

    Mkuu hujachelewa sana. Kuna Season 2. Wasiliana nao kule Instagram: @sirizafamilia
Back
Top Bottom