Search results

  1. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Namba tatu unanionea
  2. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Nielekezeni mm ndio huwa nafanya straight out loud
  3. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Mimi nina aminigi ukweli humuweka mtu huru ndio maana nawaambiaga straight forward ....kwaio iyo sio nzuri kabisa i was wrong kiukweli
  4. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Bangida thanks man....huwa namwambia mtu ukweli kuhusu mimi nakama yupo tayari kuwa mama watoto wangu maana nipo nje ya muda lakini wanakataa mala zote
  5. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    📌kinachonishangaza wanawake wote wanaokuja kwenye maisha yangu wanakujaga kipindi mahusiano yao yakiwa dhaifu lakini ninapoamua kuwatongoza tu ndio wanaponikataa kidiplomasia kwakweli nimechoka kukataliwa
  6. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Kaka ninavyojiona bustani ipo lakini najiuliza kwanini vipepeo hawaji
  7. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Asante kwa matumaini ....ila nitajaribu kutongoza wasio na demand ila sifa zote hizo ninazo mkuu
  8. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Unanishauri nianze kununua mapenzi labda nitafanikiwa
  9. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Ukisema pesa i earn twice or more kuliko ninao waapproach
  10. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Kaka muonekano nimebadili kabisa haswa kwenye nyele zipo low cut napunguza pembeni tena kwa namba
  11. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Hapo kwenye ufupi ndio sababu nayopewaga wakinikataa mala zote
  12. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Asante kwa madini napokea ushauri kwakweli
  13. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Nishajalibu kaka lakini wanakataa
  14. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Za wakati huu wanajukwaa......naomba kupata uzoefu wenu haswa kwa wale wanaume wenye sifa hizi 1. Short (wafupi) futi 5.6 kushuka chini 2. Broke(wenye kipato cha papatu papatu) #upambanaji mwingi 3. Black(weusi) Mlifanikiwa vipi kupata wenza(wake,mzazi mwenzio,mpenzi kawaida nk). Kwa maana...
  15. Saint_Mwakyoma

    JamiiForums Usiku wa manane

    Hii thread ya mtu mwenye miaka 30+ kuto amkia shikamoo hii zana mbona ngumu mno kwa mlio na 30 huwa hamtoagi shikamoo
  16. Saint_Mwakyoma

    JamiiForums Usiku wa manane

    Mapopoz
  17. Saint_Mwakyoma

    Hivi kwanini wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi?

    SHOW ni kitu cha msingi so wapi tunaweza pata hii experience ukitoa through womanising
  18. Saint_Mwakyoma

    JamiiForums Usiku wa manane

    Too much confidence
Back
Top Bottom