Search results

  1. H

    Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwenye kupinga demokrasia hii tunayohubiri kwa ushahidi kinachotokea sasa kwenye siasa zetu

    Habari wana-JF Kama mnakumbukumbu vizuri wakati wa awamu ya Magufuli kipindi cha mwanzoni kulikuwa na uhuru mkubwa sana wa kuongea na hata vyama vya upinzani vikawa vinafanya shughuli za mikutano ya kisiasa unajua nini kilibadilika baadae? Ni pale ambapo badala ya vyama vya upinzani vijikite...
  2. H

    Dhana ya kusema wanaume wote hawajatulia ni potofu

    Habari ndugu zangu, nije kwenye hoja yenyewe nimeona Uzi wa cacutee nataka nimjibu kuhusu hii dhana walionayo ni kweli kuna wanaume wasiotulia na wapo pia ambao wametulia. Zipo sababu za wanawake kudhani kuwa wanaume wote hawajatulia Ni aina ya wanaume wanaodate nao, ni ngumu kudate na mwanaume...
  3. H

    D voice kwa kweli anajua mziki

    Ngoma zake zimenibamba hasa hii ya bam bam na mpe taarifa
  4. H

    Changamoto zipi umeziona kwenye kukata rufaa ya mkopo ambazo unahitaji majibu

    Habari wanajf Kuna baadhi ya changamoto hii ya kuandikiwakwenye allocation index no xxx not found imewakuta watu wengi ina maana gani?
  5. H

    Nataka nirudishe rangi ya ngozi yangu lotion au mafuta gani yananifaa

    Habari wanajf By the way mimi ni mweupe Ndio rangi yangu halisi Ila rangi yangu ya uso imebadilika nimekuwa maji ya kunde lakini sehemu zote zilizobakia rangi yangu imebaki Ile Ile nyeupe so ningeomba mnitajie lotion au mafuta sahihi ya kurudisha ngozi yangu Nifah njoo unisaidie hapa kwenye...
  6. H

    Alikiba ni mzuri kwenye kuimba ila sio mtumbuizaji mzuri

    Habari Wanajf, Kwakweli nilitegemea wonders kutoka kwa Alikiba kwenye show hii ya Ufunguzi wa Michuano ya African Super League, labda anaweza akaja tofauti kutokana na ukubwa wa event yenyewe, lakini tatizo lake limebakia lile lile sio good performer. Kaimba kichovu sana, hii ndio ilikuwa...
  7. H

    Kwanini wanawake wengi wanabweteka kwenye mahusiano akishakuzoea

    Habari wanajf Ukijaribu kuwasikiliza wanawake wengi unakuta wanasema wanapenda wanaume wapole na ambao hawana mambo mengi sio kwamba hawapati wanaume dizaini lahasha lakini wakiwashawapata vituko haviishi. Nina bro wangu hivi mpole, na si mtu wa mademu alipata demu mapenzi yalikuwa moto na...
  8. H

    Utapeli wa huyu dada wamtokea puani

    Habari wanajf Nilienda mkoa mmoja hivi kwa shughuli binafsi, wakati nipo pale kwa muda mchache kulikuwa na tukio moja limetokea na story yake iko hivi mdada mmoja mzuri sana pale mtaani alikuwa amekula hela za jamaa mmoja lakini mzigo akawa hatoi ndani ya wiki 1 tu jamaa kashatumia laki 2 kwa...
  9. H

    Chege ajibu madai ya Juma Nature kulipwa laki 5 tamasha la Wasafi

    Msanii anayeunda kundi la TNC (Temba, sir nature na chege) chege amefunguka kuwa amestajabishwa na comment ya Sir Nature sina uhakika Yule ni nature mwenyewe kwenye social media kudai kalipwa laki 5 ameongea kuwa nyuma ya nature kuna watu wanampoteza afanye ujinga kwasababu sizani diamond...
  10. H

    Wimbo Overdose ya Diamond kali sana nimeikubali

    Jamaa kaachia wimbo kimya kimya kwa kweli aina hii ya release za Diamond zinakuwaga kali tofauti akifanya promo kubwa.Nimependa sana lyrics yake, melody, Vocal na S2kizzy katengeneza beat nzuri sana ni wimbo ambao huwezi kuuchoka kama baadhi ya nyimbo za mondi.
  11. H

    Simba bila Chama inapungua ubora

    Habari wanajf Simba inakuwa na shida sana hasa anapokosekana Chama, Chama analeta utofauti mkubwa sana kwenye kikosi mechi ya jana ilikosekana utulivu kuanzia katikati ya uwanja mpaka mbele angalau alivyoingia Ngoma kidogo Kati pakawa na utulivu lakini mbele bado pakawa vile vile. Faida ya...
  12. H

    Lavalava wa WCB amejipata kisawasawa

    Lavalava ni msanii mkali ila alikuwa anapokea negative comment kwamba ana gundu, hasapotiwi na Wasafi ila tunaojua mziki tuliona sio kweli eti ana gundu au hasapotiwi kwasababu pamoja na hayo maneno still alikuwa anatoa hit song na kupata shows nyingi. Shida ya Lavalava ilikuwa ni kutotoa...
  13. H

    Hii ngoma mpya ya lavalava Kali ametisha

    Jana ndio ilikuwa Mara yangu ya kwanza nasikia ngoma ya lavalava nilikuwa sijawahi kuitafuta kuisikiliza ila wakati nipo kwenye daladala ndipo ngoma nikaisikia ya Tajiri jamaa latisha Sana kuanzia idea yake mpaka melodies Cha muhimu asiwe anakaa kimya Sana bila kutoa ngoma kwa kipindi hiki Cha...
  14. H

    Cheedy: Kuvunja mkataba Konde gang ni Billioni 1 ila wao wakivunja mkataba na wewe ni million 10

    Msanii Cheedy hivi karibuni Konde Kang walivunja mkataba nae ikalazimika imlipe million 10 kama sehemu ya kuvunja mkataba. Wakati akihojiwa na East Africa Radio, Cheedy amefunguka kuwa; "Mkataba waliotengeneza Konde Gang hauendani na uwekezaji wanaouweka kwa sisi wasanii. Haiwezekani uweke...
  15. H

    Prof Anna Tibaijuka: Hili sakata la DP world litamuangusha Rais Samia na serikali yake

    Mbunge mstaafu Prof Anna Tibaijuka amepinga vikali mkataba walioingia Tanzania na Kampuni ya DP World amesema kuwa una vipengele vingi vya ovyo mf kifungu Cha 4:2 Amesema hayo akihojiwa na kipindi Cha Jana na Leo Cha Wasafi fm. Prof amesema issue hiyo ni very sensitive na haikupaswa iendeshwe...
  16. H

    Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

    Baada ya Mchezaji maarufu wa PSG ya ufaransa Ashraf Hakim kushinda kesi dhidi ya madai ya mkewe kuomba mahakama agawiwe nusu ya mali za Mumewe na kushinda baada ya mahakama kuchukunguza na kukuta hamiliki mali zozote kutokana na mali zote zimewekwa kwa jina la Mama yake.Ashraf hakim amekuja...
  17. H

    Diamond na Davido wametajwa kuwa wasanii walioongoza kutafutwa na kumzungumzia kwa 2023

    Hivi karibuni kumetoka report ya google kuwa msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz na Davido kutoka Nigeria ndio Wasanii walioongoza kufuatiliwa na kuzungumziwa kwa mwaka Huu kwa barani Africa.
  18. H

    Wanawake, kwanini inawachukua muda mrefu ku-save namba ya mtu?

    Habari zenu Nimekuwa nikijiuliza simpati jibu kwenye Hili suala yaani unakuta umemsimamisha binti mmoja na akumsaundisha na akakupa namba baada ya hapo ukawa unachati kama wiki hivi baadae ujipe gape kidogo then ukija kumtafuta unakuta kujua tangu ile siku mpaka kipindi unachat nae number yako...
  19. H

    Ushauri wenu kwa huyu anayedate na mke wa mtu kiasi mpaka anasahau kusaidia familia yake

    Habari wakuu Nina rafiki yangu mmoja sio tu rafiki bali pia amekuwa kama ndugu yangu jamaa anadate na mke wa mtu Tena anakaa nae mtaa mmoja na mine wake ya huyo manzi anamjua, kibaya zaidi ameenda mbali anamgharamia kila kitu na anajua kabisa ni mke wa mtu na hapa anampango wa kumpangishia...
  20. H

    BASATA: Hatujapokea malalamiko ya Harmonize dhidi ya Wasafi na Ziiki

    Baraza la sanaa Tanzania limekiri kwamba hawajapokea malalamiko yoyote ya Harmonize dhidi ya Wasafi na Ziiki, Katibu wa BASATA amekiri Hilo baada ya kufanyiwa mahojiano na East Africa TV ameongeza kuwa sisi tunafanyia kazi malalamiko ambayo yamewasilishwa kwenye ofisi zetu official. Na...
Back
Top Bottom