Search results

  1. Awowo Apewe

    Upo hapa Rainbow?

    Agiza kinywaji kwa hela yako ntalipa ukinituma.
  2. Awowo Apewe

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mpuuz wew ebu njoo hapa fasta umalizie ndio uhudumie wateja
  3. Awowo Apewe

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mabaharia tuna vipimo vyetu
  4. Awowo Apewe

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hatimaye nimefanikiwa kula tena tunda kimasikhara Wanangu Juzi kuna dem alikuwa anaenda sehem kwahyo akashuka sehem niliyopo ili siku ya pili aendelee na safar kwakuwa waliingia usiku na mimi nilitangulia kuingia hivyo nikampokea na kumpekeka Lodge kufika Lodge nikamwambia si tuchukue chumba...
  5. Awowo Apewe

    Msaada wa mbinu za kuachana na mpenzi wako mnayefanya kazi pamoja

    Natambua maumivu ya mapenzi lakini jambo moja usimfate mwamba na kumwambia jinsi gani unaumia hilo litakuwa miongoni mwa kosa kubwa kwako kuwahi kufanya. wanaume huwa tunaona fahari sana mwanamke kuumia pale ambapo sio umuhim wake,kama utamfuata na kumuambia jins gani unaumia na bado unampenda...
  6. Awowo Apewe

    Wapi niende kwa mapumziko ndani ya Tanzania

    Umeshawahi tembelea eneo hilo vip gharama zake kiujumla
  7. Awowo Apewe

    Wapi niende kwa mapumziko ndani ya Tanzania

    Natamani nitembelee sehem nzuri na zenye vivutio lakini bajet yngu ni ndogo sana kama mil2 na npo mimi wife mtoto,,,kwa mwenye uzoefu wadau wapi ni sehem nzuri
  8. Awowo Apewe

    Kukiri

    Naelewa hali unayoipitia ila nakushauri punguza mazoea nae na ji keep busy usiruhusu kijana akuzoee zaid maana hapo ndio mtaongeza tatzo,fanya kazi zako jistir vzr kitu kibaya ni kuwa licha ya wew kuwa na upendo wa kawaida na huyo kijana ila unaweza ukamfukuzisha kazi hapo unakuwa umemharibia...
  9. Awowo Apewe

    Ushauri: Mama mkwe na ndugu zake wamepanga kesho waje kwangu kunihoji kwanini sifungi ndoa...

    Kibano unachotafutiwa hapo usije kuja hapa unalia lia ...we funga tu hyo ndoa na hayo matatzo
  10. Awowo Apewe

    Mdomo unababuka huku kwa chini afu unatengeneza kama utando

    Tumia hydrogen peroxide inaweZa kukusaidia kwa issue ya kinywa
  11. Awowo Apewe

    Sipewi unyumba

    Niliwahu kutana na hiyo kitu mkuu na mwisho wa siku bint akaja kufunguka huku akilia kuwa yeye ni muathirika daaa iliniuma sana af mtoto mkali sana na akanionyesha hadi dawa zake...alisema ananipenda sana ila hayupo tayari kuniua kwa uzembe wa wazazi wake....
  12. Awowo Apewe

    Ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini imekuwa ya kutoelewana

    Kama sio kujiongeza kwangu basi wakati wa mimba ningemuacha mke wangu maana alikuwa na hasira sana ila nilimvumilia....alipojifungua na ile hali iliisha
  13. Awowo Apewe

    Natamani kuoa lakini...

    Sasa kama unaona bora uishi mwenye umekuja hapa tukushauri nini
  14. Awowo Apewe

    Nimekamilisha upekuzi wa siku 30 kwenye simu ya mke wangu

    Lakin itakuwa vzr kama utalipia Tangazo
  15. Awowo Apewe

    Wanting to give attention to someone who appreciates it

    Pole kwa kuchelewa si unajua foleni
Back
Top Bottom