Search results

  1. K

    Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

    Katika masuala ya msingi hatuangalii mtu mmoja ila tunaangalia huyo mtu anasimamia nini na kwa nini. Sheikh dilunga anazchozungumzia katika hiyo clip uliyoiweka ni tafsiri ya aya ya Qur'an tukufu aya ya 178 na 179. Ukimzungumzia yeye tu umekosea kwa kuwa alichokisema hajatoka ndani ya Qur'an...
  2. K

    CHADEMA leaders you have let us down in grooming EALA Candidates, a lot of credit to NCCR MAGEUZI

    You have spoken well, I have always been in deep belief that, "If was not for the rough political games by Mr. Keenja, Dada Ndera could have been the well known figure in politics since the 2005 general election at Ubungo". She is capable, and really knows what she is doing. Big Up-Ndera.
  3. K

    Unafiki wa Wabunge wa Mkoa wa Dar es salaam

    Tafadhali nipe level ya elimu yako ya ufahamu kuhusu biashara, na ambatanisha na CV yako.
  4. K

    Unafiki wa Wabunge wa Mkoa wa Dar es salaam

    Tusiwalaumu, shule inachangia kwa kiwango kikubwa sana kwa hawa jamaa. Aliyetangaza kupanda kwa viwango vipya vya nauli ni Daktari wa kusomea, siyo wa kupewa, ni mtu makini na ambaye hana rekodi ya kushindwa katika wizara yoyote ile ingawa kimajungu inaonyesha huwa anapewa wizara usika ili...
  5. K

    Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!

    Umenena vyema, Pengo ni mdau wa kanisa.
  6. K

    Niliyoyafanya tangu niwe Mbunge-Shukrani kwa WanaJF

    Kufikiri ni kazi, na ni kazi ngumu sana. Si kila mtu anauwezo wa kufikiri kwani kuna wanaofikiri kimasaburi. Ukiwa unafikiri kifikra thabiti, utampenda hata adui yako kwa pumba atakazoziongea kwa kuwa zitasaidia kukufanya ufikiri.
  7. K

    Niliyoyafanya tangu niwe Mbunge-Shukrani kwa WanaJF

    Amejitahidi, ila tuache siasa.Ninadhani ingekuwa busara kama dada yetu mpendwa azingatie yafuatayo. 1. Ndani ya jamvi, tunajadili matatizo ya kitaifa na siyo kuzungumzia perceptions za mtendaji mmoja katika jimbo. 2. Wengi wa wanachangia humu si wakazi wa jimbo la kilombelo, hivyo hatuwezi...
  8. K

    Maafa Dar: CCM watoa rambirambi ya milioni 4, CHADEMA milioni 20

    I accept your proposal provided haina sanctions za bwana David Cameroon. Ila usijaribu kutoa kibanzi kwa mwenzio wakati unaboriti jichoni mwako. The end.
  9. K

    Maafa Dar: CCM watoa rambirambi ya milioni 4, CHADEMA milioni 20

    Unapotoa, utoe kwa kuwa unaguswa na unachoamini unachokitolea. Usitoe kwa kutaka watu wakusifie. Sidharau walichofanya Chadema, ninakitambua na kuheshimu, ila tusifanye kutoa kwa CCM, Chadema, TLP, NCCR-Mageuzi ama chama chochote kuwa ni kigezo cha kusema hiki chama ni kizuri na kile ni kibaya...
  10. K

    Maafa Dar: CCM watoa rambirambi ya milioni 4, CHADEMA milioni 20

    Wametoa ili kujionyesha, naolewao wafanyao hivyo kwa maana watahukumiwa. Pia uelewe ni kwa kuwa wanautafuta uraisi ndiyo wanafanya hivi, na hii 25m si bure wapo kwenye kampeni. Jifunze kufanya analysis ya vitu si kukurupuka tu.
  11. K

    CHADEMA yamtelekeza mbunge aliyemvua hijabu mkuu wa wilaya(hii ndo chadema zaidi ya huijuavyo)

    Jina lako linaendana na pupa zako, soma vizuri hiyo tarehe.
  12. K

    Uchaguzi Mkuu Congo: nani Rais wa halali kati ya Kabila na Tshisekedi?

    Habari za kuaminika ni kuwa zaidi ya watu 40 wamefariki dunia baada ya matokeo kutangazwa, hiyo ikiwa ni katika mapigano ya askari wa kutuliza ghasia na wananchi, na wengine zaidi ya 3000 wameshaanza kuyahama makazi yao kama wakimbizi wakihofia machafuko yanayoweza kutokea ndani ya nchi hiyo.
  13. K

    Ajali kimara Korogwe

    Ni kweli imetokea, my wife alikuwa anaenda ubungo na akaikuta, ametoka kunisimulia hivi punde.
  14. K

    The One World Govt/New World Order: Is this thing for real?

    Who are ‘they’ and what do ‘they’ want? What's it all about? The New World Order is not a 'conspiracy' in the strictest sense of the term - it is an agenda. The agenda is orchestrated by a power elite that thinks it has the divine right to commandeer total control of your life. But who are...
  15. K

    CCM bado ina muda mrefu sana wa kuongoza, ni zaidi ya 2020

    Sikupenda kuchangia, ila nadhani kuna kitu ambacho inabidi tuwekane sawa. Unapozungumzia suala la uongozi wa nchi unazungumzia kitu ambacho ni very sensitive. mimi si mshabiki wa siasa za kutukanana ila ni mfuasi wa constructive and scientific politics. Mtoa mada, amefanya analysis na kugundua...
  16. K

    Kura 2011 nchini Russia; Putin arudi mamlakani!

    Hata Katiba ya Tanganyika huru, inamruhusu Mzee Mwinyi, Mkapa kugombea uraisi tena. Soma katiba uijue.
  17. K

    Tsvangirai alipa mahari $36,000 na ng'ombe 10, ndoa yavunjika baada ya wiki

    kwanza kitu chenyewe kinalipa, pili kinatoka familia bora, tatu kilikuwa kinataka mtaji zaidi wa biashara, nne ni program ya kumlimbwatisha mzee awe anafikiri kimasabauri na kunsahau the presidaa(freedom fighter), tano mshua alikuwa anataka kufunika kombe na vimeo vyake kikiwemo kile cha miaka...
  18. K

    Kuna mtu amekutwa amekufa hapa bonjour Morocco

    Inaaa lilaahi wa inaa illaahi lrahjiun
  19. K

    Marekani na ujanja wao kwenye world war 3

    Kwa sasa USA ndiyo superpower, na ndiyo inayocontrol the world. Bahati mbaya tu hawajatangaza bado mafanikio ya New World Order progress ambayo ndiyo George Bush Sr. aliitiisha rasmi dunia. Cha kushukuru Mungu ni kuwa, kwa sasa Dunia ipo katika a third world war of multy polar restructuring...
  20. K

    How women classifies men

    Haitokusaidia kujua kama somebody is a boy au a man, kama is a boy unataka ukatangaze wapi na hasa ukizingatia yeye hana ukwasi, and not courageous? Na kama somebody is a man do you have enough sisters? Women classsifications zako to men si sahihi na nikiwa kama mtaalamu wa psychology wewe...
Back
Top Bottom