Search results

  1. muhandu

    Ugonjwa wa Mchango kwa watoto wadogo

    Zile za kuchemsha nikipata picha yake ntakurushia hapa
  2. muhandu

    Ugonjwa wa Mchango kwa watoto wadogo

    Kuna dawa inaitwa mwatya, Ni ya kunusa. Unamnususha toto. Pia unampaka utosini. Kama Ni mkali unampiga Bomba. Yaani unakoroga kiasi Cha kuweza kupata CC tatu ama nne alafu unamoitishia makalioni ukishaiweka atajisaidia hapo hapo.
  3. muhandu

    Nini chaweza mfanya mtoto apende kula?

    Please mahitaji hiyo calcium powder
  4. muhandu

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Wapo humu? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. muhandu

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Haipafikani Sent using Jamii Forums mobile app
  6. muhandu

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Huwa naona wanayunga kwenye mabox na kusafirisha kwenye mabasi ya dar. Karibia kila siku mtu huyo anasafirisha. Nadhani ni elfu kumi kwa box Sent using Jamii Forums mobile app
  7. muhandu

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Salama. Mwenye connection ya wahusika wa mashine za kupukuchua mahindi. Please. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. muhandu

    Gadner Habash amwomba Lady Jaydee arudi awe anampikia chai. Apiga nyimbo zake

    Mshangai, Chini ya jua lolote linawezekana Sent using Jamii Forums mobile app
  9. muhandu

    Mashine ya kupukuchua mahindi

    Salama wana wapendwa. Nahitaji mashine ya kupukuchua mahindi. Niko mwanza mjini. Kuna namba ambazo nomechukua hapa jukwaani lakini wahusika hawapatikani. Kuna moja kutoka Zanzibar na ingine ngome. Wasiliana nami kwa 0754710823 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. muhandu

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Salama jamani. Samahani, hiki suala LA kusajiri university offer limesitishwa ama?? Nimeunganisha Kwa muhudumuwenu wa hapa Nyamalango malimbe Saut Mwanza akanipa Sikh tatu kuwa mambo yatakuwa sawa. Lakini mpaka sasa ni zaidi ya siku tano bila mafanikio. Naomba kujua kama hiki huduma...
  11. muhandu

    Miaka 42 bila ya Steve Biko aliyefariki mikononi mwa Polisi wa kikaburu huko Afrika Kusini

    Asante sana Mdau, Kuna sehemu nilikiona kitabu chake.
  12. muhandu

    Ameniacha baada ya kukuta kondom

    Kwa namna ingine uko vizuri. Kikubwa usiuze mechi. Kwani Kuna wengine ambao wanauza mechi lakini hajajulikana home, so relax akielewa sawa na asipoelewa sawa pia. Maisha yanaendelea.
  13. muhandu

    Panya wa sasa hivi hawakamtiki kirahisi ni huku kwangu tu au?

    Ni Jana tu usiku paka amekamata Bonge LA panya. Bado Nyau ana sehemu yake, ikikupendeza fuga paka.
  14. muhandu

    Waswahili ni watu walalamishi sana kumbe hata Nyerere ni wao wenyewe walimuomba awe Mwenyekiti wa Tanu

    Umenikusha-Swahili civilization Ustarabu wa pwani ulivuma baada ya kuwa na mahusiano na wageni kutoka nchi ingine za NNE ambao walikuja kufanya biashara na watu wa pwani
  15. muhandu

    Mkaa VS Gesi

    Jumlishana matumizi ya umeme mkuu, au ni friji ya mafuta? Nayo pia weka gharama zake hata kama ni kidogo. Otherwise uko sawa.
  16. muhandu

    KISBO DAR - MWANZA: Abiria alazimishwa kukojoa kwenye chupa ili dereva awahi

    Nani anawapa jeuri kisbo? Ni kwanini wana kutoa ufahamu?
  17. muhandu

    Sitosahau siku ambayo tulifika Mbeya saa saba mchana. Njia nzima nilitubu dhambi zangu

    Samahani, yule Dereva ambae alikuwa havai viatu na alikuwa anapenda kukaa upande kwa maana ya kukinga dirisha na mgongo kidogo ndo giriki? Baadae akawa anaenda songea? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom