Search results

  1. karare

    PHOTO BEST APP

    WADAU MSAADA TAFADHALI ni app gani nzuri ya kung'arisha picha ambayo imechafuka/imepigwa na simu ambayo camera yake haitoi photo vizuri?
  2. karare

    Naomba Muongozo wa kuandaa barua ya kukata rufaa kwa waliokosa mkopo

    Naomba mnisaidie Kichwa cha Habari kinachofaa kuandika kwenye barua ya rufaa kwa waliokosa mkopo. Msaada tafadhali
  3. karare

    Watu mko wapi?

    wadau,, kuna tangazo nalionaga TBC linasema "WATU MKO WAPI? 03-09-2019" wadau naomba mnieleweshe ilo tangazo lina maanisha nini na iyo tarehe kutakua na nin???
  4. karare

    kwa wale ambao hawajachaguliwa kujiunga na vyuo

    wale ambao hatujachaguliwa kujiunga na vyuo, je, tutalazimika kufanya aplication upya za kuomba vyuo tena kwa mara ya 2???? au inakuaje apo msaada tafazali
  5. karare

    ARUSHA TECHNICAL COLLEGE {ATC}

    naomba msaada tafadhali ninafanya aplication online kwenye chuo cha arusha technical college ngazi ya diploma sasa nimefika step ya employer, position held nikashndwa kwa sababu mim sijaajiriwa na niki skip inakataa, na maelezo yao yanasema kama hujaajiriwa skip ili uendelee na hatua inayofuata...
  6. karare

    PRINCIPAL PASS VYUO VIKUU 2019/2020

    samahani kwa anayejua principal pass kwa mwaka huu (2019/2020) zinahesabiwaje na inaanzia ngapi mpaka ngapi naomba anijuze. A=?, B=?, C=?, D=? na kuendelea natanguliza shukrani
  7. karare

    EAGLES HIGH SCHOOL 2019/2020

    msaada tafazal mwenye kufaham shule ya eagle high school naomb anijuze ada yao ni bei gan. na je wanapokea private candidate? kwa {FORM FIVE}
  8. karare

    shule nzuri za private kwa bei nafuu

    kwa wale wanaojua shule za private za bei nafuu ada ya chini ya sh. milion 2 naomba anijuze. shule iwe mkoa wowote na pia iwe inapokea walio risit na iwe na mchepuo wa EGM. naomba msaada wenu tafazali. ahsanteni.
  9. karare

    Alpha Gemz A-level

    naomba kuuliza alfa gemz wamesha anza udahili wa watahiniwa wa kidato cha 5 kwa muhula wa masomo wa 2019/2020? na je, ada yao kwa mwaka huu ni sh. ngapi??? na je, wana dahili wanafunzi wa comb za EGM?
  10. karare

    wale walio risit/private candidate wanapangwaga form five na serikali???

    naomba kuuliza kuhusu wale wanaorisit kama private candidate, nao wanapangwa form five na serikali kama watainiwa wa school candidate wanavyopangwa na serikali? na je, post zao zinarushwa mtandaoni?
Back
Top Bottom