Search results

  1. Mcharuko

    Sio lazima watusemee Nape na Kinana hata wenyewe tunaona

    Tuko wengi, Raha ndani ya CCM imepotea, sijui ni kipi kinasifiwa maisha yamekuwa Magumu, malalamiko kila kona tunahitaji nguvu ya ziada kukirudisha chama madarakani tunahitaji watanzania wa kutosha wasio na akili timamu ili kuweza kuendelea kutawala. Tuseme hapana, miaka mitano imetosha maumivu...
  2. Mcharuko

    Kwaheri CCM kwa heri Uhuru

    Chama changu kimeharibu kabisa furaha ya karibu kila mmoja, Wengine tulikosa la kusema tukaamua kunyamaa, lakini leo hata hiki kidogo cha kuangalia ITV, CLOUDS, CHANEL 10 nacho mmetuchukulia EH! Chama changu kimezidi sasa, Wale wanaorudi kutoka Upinzani mnasema mnatumia Busara kuwapa tena...
  3. Mcharuko

    Upasuaji wa kuongeza maumbile (Penis enlargement surgery)

    Wakuu hili jambo limenishtua kidogo maana rafiki yangu kamsafirisha mumewe kwenda nje ya nchi kufanya huo upasuaji. Sitaki kuzungumzia kilichopelekea kuchukua uamuzi huo, hofu yangu ambayo nataka nifahamu kutoka kwenu wadau ni 1. Je Operesheni hii haiwezi kusababisha kuua kabisa mashine...
  4. Mcharuko

    Kwaheri CCM, kwaheri umaskini

    Ni hiki tu ndicho ninachoweza kuzungumza katika wakati huu Muhimu tunaoelekea kwenye mabadiliko, Sijaona watu wanaoiunga mkono kwa nguvu kubwa CCM zaidi watoto wa viongozi, ndugu na jamaa wa wanaCCM hao ambao kwa namna moja wamekuwa wakinufaika moja kwa moja na mfumo uliopo. Mfano: Tumesoma na...
  5. Mcharuko

    MSAADA: Mwanangu anavimba sehemu za siri kila akianza kulia

    Hili naomba nilielekeze moja kwa moja kwa madaktari mnaopatikana hapa Jf, Tatizo hili limemuanza akiwa Mchanga na sasa ana miezi 9 nimejaribu mara kadhaa kumpeleka hapo hospitali nimepewa vidonge lakini tatizo halijaisha Mara nyingi akilia huwa kwa juu kwenye kinena panajaa na akiendelea zaidi...
  6. Mcharuko

    Ally Hassan Mwinyi Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania

    Wakuu, nilikuwa simfahamu vizuri huyu kiongozi kutokana na umri wangu kuwa mdogo wakati yuko madarakani, lakini baada ya kuka na wazee na watu tofauti ambao wanakumbukumbu ya Utawala wake nimegundua ni chuki Binafsi tu ndiyo itakayotufanya tukatae kuwa kipindi chake kilikuwa kipindi bora zaidi...
  7. Mcharuko

    Msaada wenu Tafadhali, ni kuhusu Ujauzito.....

    Nimeulizwa swali ambalo nimeshindwa kulijibu kutokana na kutokuwa na uzoefu na mambo hayo. Jamaa amekutana kimwili na mkewe Tar. 1.7.2013 Baada ya kukaa nje ya nchi kwa miezi sita, baada ya kuondoka akapewa taarifa kuwa mkewe ni mjamzito yaani kuanzia tar 1.7.2013 sasa kinachomshangaza Tarehe...
  8. Mcharuko

    Dah, hizi picha chafu za uchi zinashangaza sana!

    Wale wanaozitoa huanza na maneno kama LAANA au AIBU na mengine ambayo watoaji hujifanya kama wamesikitishwa huku wakiwa miongoni mwa waliozisambaza, Huu ni unafiki tu hata watazamaji nao ni wanafiki ni bora kuzitazama kimya kimya kuliko kujifanya mara Mungu hivi mara vile kama ni kweli...
  9. Mcharuko

    Duh, Vikoba vinakondesha Jamani.

    Yaani si mchezo kama hujaanza acha kabisa hii kitu, mmesikia dada zangu mimi sirudii tena.
  10. Mcharuko

    Sielewi kuhusu WHATSAPP na ANDROID

    Hivi vitu vinatajwa sana mtandaoni lakini najikuta kama nimepitwa na wakati bado sielewi chochote kuhusu WHATSAPP na ANDROID naomba kwa yeyote mwenye ufafanuzi nzuri kuhusu vitu hivi anifafanulie.
  11. Mcharuko

    Wote ni Madokta/ dakta hakuna Madikteta?

    Habari za asubuhi kaka zangu na dada zangu, Leo nimeamka nikijiuliza Swali hili, HAKUNA DIKTETA ALIYEBAKIA KATIKA AFRIKA? Ukiacha hawa wanaoitwa Dokta/dakta .............................. hakuna Dikteta................................. Mbona kuna baadhi ya maraisi hapa Afrika wanafanana na...
  12. Mcharuko

    baba yangu amelogwa na mke wa pili, naombeni ushauri.

    ..... Siku hizi amekuwa kama anachanganyikiwa anamuwaza huyu mke wa pili. Ameuza nyumba 1 kati ya mbili alizonazo kisha kamnunulia nyumba huyu Mwanamke. Hajipendi tena siku hizi amekuwa mchafu anakonda, matumizi yake yamekuwa makubwa kuliko siku za nyuma. Huyu mwanamke anaonekana waziwazi...
  13. Mcharuko

    Yebaaaaaaa leo nimefunguliwa.

    Nilifungiwa toka Mwezi wa Tisa, yaani kama Mandela vile Leo ndio nimefunguliwa, Nimewamiss sana Rafiki zangu Lakini nasikitika nimeingia nikiwa mpya kabisa kwani nimeshavishwa pete na nilikosa kuwaalika katika tukio hilo Muhimu ambalo lilifanyika Eneo la Msamvu pale Morogoro Nawapendeni...
  14. Mcharuko

    Jamani nitamkeje kwa kiingereza?

    Nilitaka kuuliza "Baba mimi ni mtoto wa ngapi kwenye familia?" hivi tunasemaje kwa kiingereza?
  15. Mcharuko

    Ni kweli wanaume wenye maumbile makubwa.........?

    Jamani naomba ufafanuzi juu ya hili jambo ambalo nimelisikia hivi karibuni, eti wanaume wenye maumbile makubwa wana uwezekano mkubwa zaidi wa kuambukizwa au kuambukiza magonjwa ya zinaa hususani UKIMWI kuliko wale wenye maumbile madogo? Eti wanaume wenye maumbile madogo wana nafasi ya...
  16. Mcharuko

    Matokeo ya Uchaguzi huko Yanga!

    Jamani tupeni matokeo, sijui Jirani yangu ameshinda maana jana kulikuwa na watu pale kwake usiku kucha wamekesha huku wakiwa wamewasha ubani na kuongea maneno yasiyoeleweka.
  17. Mcharuko

    Wanaume wenye matatizo ya kisukari ni wengi kuliko wanawake kwanini?

    Ni utafiti usio Rasmi, wagonjwa wengi wa kisukari ni wanaume kuliko wanawake. Hii inatokana na takwimu nilizonazo mwenyewe, asilimia 95 (95%) ya wagonjwa wa kisukari ninaowafahamu au niliowahi kukutana nao ni wanaume. Kama ni kweli naomba ufafanuzi kutoka kwenu hii inatokana na nini? MAELEZO...
  18. Mcharuko

    Inawezekana kuwa mpelelezi wa kujitegemea (PRIVATE INVESTGATOR)?

    Heshima kwenu wakuu, Naomba kufahamu kama hii kitu inawezekana hapa Tanzania, kama inawezekana ni sifa na taratibu zipi zinahitajika ili kuanzisha hiyo kitu, Je imewahi kuwepo hapa nchini?
  19. Mcharuko

    Kwanini nawachukia wanaume?

    Mara nyingine unaweza kujiuliza kwanini mtu kachagua ID fulani, Unaweza kucheka, kuchukia au kubaki kawaida na maswali yako. Kwa upande wangu nastahili kuitwa/ kujiita mcharuko. Naongea kutoka moyoni kwa sababu naamini ni Mungu pekee ndo ananijua vizuri kwa wengine hapa jukwaani nitaendela kuwa...
  20. Mcharuko

    Natamani kungekuwa na mita ya wanaume!

    Ukisikia malaya ni mwanamke, kahaba ni mwanamke, changudoa ni mwanamke, dada poa ni mwanamke, nyambizi ni mwanamke siku hizi kuna MJASILIAMWILI ni mwanamke. Hivi ninyi wanaume tuelezeni hapa kama kungekuwa na kipimo kila uki... kinaonyesha Mita kadhaa au kilomita........ Kweli...
Back
Top Bottom