Search results

  1. Mcharuko

    Sio lazima watusemee Nape na Kinana hata wenyewe tunaona

    Tuko wengi, Raha ndani ya CCM imepotea, sijui ni kipi kinasifiwa maisha yamekuwa Magumu, malalamiko kila kona tunahitaji nguvu ya ziada kukirudisha chama madarakani tunahitaji watanzania wa kutosha wasio na akili timamu ili kuweza kuendelea kutawala. Tuseme hapana, miaka mitano imetosha maumivu...
  2. Mcharuko

    Kwaheri CCM kwa heri Uhuru

    Hata nikikuambia hapa haina maana, maana imeshindwa kutekeleza majukumu ya msingi imebaki kuwatia hasara Watanzania kwa kusababisha marudio ya chaguzi.
  3. Mcharuko

    Kwaheri CCM kwa heri Uhuru

    Chama changu kimeharibu kabisa furaha ya karibu kila mmoja, Wengine tulikosa la kusema tukaamua kunyamaa, lakini leo hata hiki kidogo cha kuangalia ITV, CLOUDS, CHANEL 10 nacho mmetuchukulia EH! Chama changu kimezidi sasa, Wale wanaorudi kutoka Upinzani mnasema mnatumia Busara kuwapa tena...
  4. Mcharuko

    Upasuaji wa kuongeza maumbile (Penis enlargement surgery)

    Wakuu hili jambo limenishtua kidogo maana rafiki yangu kamsafirisha mumewe kwenda nje ya nchi kufanya huo upasuaji. Sitaki kuzungumzia kilichopelekea kuchukua uamuzi huo, hofu yangu ambayo nataka nifahamu kutoka kwenu wadau ni 1. Je Operesheni hii haiwezi kusababisha kuua kabisa mashine...
  5. Mcharuko

    Ukibahatika kukutana na IGP utamshauri nini kuhusu jeshi la Polisi?

    1.Waache kubambikia watu kesi. Wahoji watu kwa nidhamu badala ya kuanza na makofi.
  6. Mcharuko

    Umemgonga mtu usiku na hakuna aliyekuona utafanya nini?

    Uwe na Imani na jeshi la Polisi, kimbilia huko ukatoe taarifa wao watajua hatua zinazofuata?
  7. Mcharuko

    Wanaume wa Dar es salaam

    Msosi wa mwanaume wa Dar
  8. Mcharuko

    Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

    Wewe Jamaa wameenda FIFA.
  9. Mcharuko

    Mkuu Mzee Mwanakijiji, Rais Magufuli Sio Alfa na Omega. Rais Sio Mungu! Na Kwenye Utawala ni Katiba!

    Yaani unakusudia nguvu hii hii ya keyboard au ipi? umewahi kulima wewe?
  10. Mcharuko

    Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Kushambulia studio na kulazimisha kurushwa habari ya hawara wa Gwajima haisaidii, Nafikiri kinachotakiwa ni kubeba vyeti kuanzia Primary school mpaka chuo ambavyo vina jina moja tu, nafikiri linafahamika! Hapo kelele zote zitakuwa zimeisha.
  11. Mcharuko

    Mke wa mtu ni sumu unajibu we ni maziwa tazameni hapa

    Wanaume wa Dar hao ni madhara ya chips mayai na kuku MATEJA
  12. Mcharuko

    Umewahi kuwa na wapenzi wangapi, unao wangapi na unajisikiaje?

    Heeeee watu mna vituko humu ndani..... kumbe mkitembea mbele za wanawake mko uchi kabisa maana kila mwanamke anakujua yule mrf huyu mfp haaaaaaa.
  13. Mcharuko

    Umewahi kwenda kwa mganga wa kienyeji "Mtaalamu"? Ilikuwaje?

    Usije kuwa ni wewe waziri mwenyewe na aliyeenda ni mkeo.
Back
Top Bottom