Mahmoud El-Gohary na Stephen Keshi ndio watu pekee ambao waliwahi kutwaa ubingwa wa AFCON wakiwa kama Wachezaji, pia kwakuwa kama Makocha.
Mahmoud El-Gohary yeye alitwaa ubingwa kama mchezaji mwaka 1959, pia akatwaa kama kocha mwaka 1998, Mara zote mbili akiwa na timu ya taifa ya Misri...
- Moja Ya Watu Muhimu katika Historia Ya Tanganyika na Zanzibar.
- Jamaa alikua ni Mzaliwa wa Taifa La Austria, Na Alikua Mjuzi katika Taaluma mbili tofauti Kwanza Alisoma Cartography elimu ambayo Mtu hubobea Katika Kusoma Ramani na Kutafsiri Ramani ama Kusoma Ramani, Mtu ambaye anakua amesomea...
Mwaka 1869 ulifunguliwa Mfereji mashuhuri wa Suez (Suez Canal), Ni mfereji ambao ulitengenezwa kwa Nguvu ya Binadamu ili Kufupisha safari ya Kutoka Bara la Ulaya Mpaka Asia.
Kabla ya kuwepo kwa mfereji huu Safari ya kutoka Ulaya, kwa mfano kutoka Bandari kubwa Ulaya iitwayo Rotterdam huko...
Producer wa Wimbo wa Kombe la Dunia (Official theme song) anaitwa RED ONE ni mzaliwa wa Morocco.
Wimbo huo unaitwa Hayya Hayya (Better Together) umeimbwa na Trinidad Cardona (America) akimshirikisha Davido (Nigeria) na Aisha (Qatar) ulitoka 1 April 2022.
Pia aliyechonga Kombe la Dunia la Mwaka...
Kuna wimbo mmoja naupenda'ga' sana, sina uhakika kama unaujua, ngoja nikupe idea. [emoji362]
Jason Derulo aliwahi imba wimbo unaitwa "Fight for you", wimbo huu ulikua na Kiitikio kilichoimbwa:
"It's gonna take a lot to drag me away from you
There's nothing that a hundred men or more could ever...
Nikuulize kitu labda kama wewe kweli unajua kitu na Umesoma kweli history ya hao watu.
Je Biblia Aliyoiacha Martin Luther Ndio mpaka leo Waprotestanti mnaitumia?
Kama unafuatilia historia za Ulaya basi Ni lazima unamsikia skia mwamba wa Kuitwa Christopher Columbus nadhani ubongo wake ulifanya kazi katika kipindi muhimu ulaya cha Age Of Descovery.
Anatambulika kama Mgunduzi wa Ardhi ambaye alifanya safari zake nne akikatiza bahari ya Atlantic (voyages...
Juzi hapa Tuliona Misri ikifanikiwa Kujenga Jengo lake Refu Africa nzima lililoitwa THE ICONIC TOWER ambalo litafunguliwa rasmi mwaka huu 2022.
Hapa tupeane taarifa kuwa mwakani 2023 Misri atafungua Jengo La makumbusho ya Kiakiolojia atayoiita THE GRAND EGYPTIAN MUSEUM, Jina ambalo wengi...
Wengi huita siku ya MaShambulio ya al-Qaida dhidi ya Marekani, Mashambulio ambayo yalichukua takribani uhai wa watu zaidi ya 3000.
Kulitokea mashambulio Manne ambayo yalitumia ndege Nne, Inasemekana watekanyara wa al-Qaida ambao walikuwa 19 walipata mafunzo kwanza ya Kuongoza ndege ili kutimiza...
Huyu Jamaa alikuwa Anakubalika sana na watu, Maana wakati wa kipindi cha kwanza cha uraisi wa Clinton, Bunge la Marekani, lilikuwa linamilikiwa na Republican. Hata hivyo, Clinton alimshinda Mgombea Urais kutoka chama cha Republicans Bw. Bob Dole, katika uchaguzi uliofanyika mwaka wa 1996.
Kuna...
Hii ilikuwa ni mwaka 1961 August 13
Askari wa Ujerumani Mashariki aliyeitwa Berlio akifanya kinyume na maagizo Directly na kumsaidia mtoto kutengana na familia yake kwa kuvuka ukuta wa Berlin.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.