Search results

  1. B

    Msaada wakuu open university wameshashotlist watu wa interview?

    Duh kumbe tayari..mi nimekazana kusubiri lol
  2. B

    kuhusu maombi ya mkopo wa bodi

    Naomba kujuzwa eti bodi ya mikopo tayari wameshatoa form za kuomba mikopo kwa form six leaver??? Nijuavyo huwa wanaanza baada ya matokeo kutoka....ila kuna mtu kaniambia wameanza....msaada wadau kwa mwenye taarifa rasmi
  3. B

    Vacancy announcement Utumishi

    Haya wanajamvi utumishi wametangaza tena ajira pitieni website yao www.ajira.go.tz...... ... Mwenye kuweza kucopy aweke hapa... Nawasilishaaaa...
  4. B

    Matibabu ya ceragem tanzania

    Jamani inamaana hakuna anaewajua hawa? Nilitegemea kupata majibu mazuri humu ndani
  5. B

    Nimebanwa na mafua mkali mno!

    Pole nunua Vicks chemsha Maji Kisha weka Vicks kiasi kwenye maji jifukize Mara 3 kwa siku
  6. B

    Matibabu ya ceragem tanzania

    Habari zenu wannajamvi..naomba kuuliza juu ya hawa wakorea wenye kituo cha seragem..je? zile mashine zao zinasaidia?. Yoyote mwenye uthibitisho wa kuona aje hapa anihakikishie.. Nina binti yangu ana 1.8 year.. alipata homa ya uti wa mgongo kwahiyo ikimsababishia celebral palsy. so mpaka sasa...
  7. B

    Waungwa nisaidieni, mtoto wangu ana miaka 3 sasa lakini haongei wa hawezi kula mwenyewe

    Hiyo ni celebral palsy..jaribu kumpeleka kwenye speech therapy na mchanganye na watoto wenzie..ataongea tu usijali...binafsi niko kwenye changamoto kubwa kama hiyo. mi mwanangu aliumwa homa ya uti wa mgongo leo katimiza mwaka na miezi nane hawezi kukaa bado..pia Maombi muhimu tuwaombee sana...
  8. B

    Majina ya Makonstebo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

    Niangalizie majina ya S
  9. B

    Huawei

    Mi mbona haijawahinisumbua? Nina Y300..nenda kwenye ofisi zao
  10. B

    What's-up BOT & TPDC?

    Dillema
  11. B

    Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

    Email me tafadhali..kwenye benignisr@ yahoo.com
  12. B

    Kulikoni zile nafasi za bot

    We jifanye kama hukuomba kama junta lolote utasikia hapa
  13. B

    Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

    Hebu tuandikie kwanza hizo post walizotangaza ili tuombe wote
  14. B

    Naomba Kujuzwa Maswali Wanayouliza Kwenye Interview za NHIF

    Mi mwenyewe natia timu wanipigie wasinipigie..maswali yao yanahusu post uliyoomba
  15. B

    NHIF call for Interview

    Jamani membership officer wanafanya lini usaili? Mtujuze sidetusiokuwa na access ya magazeti
  16. B

    Zima Moto Updates

    Haya hongereni mliochaguliwa
  17. B

    Application Fast Jet

    Jamani kazi zipi hizo ebu tujulisheni tusojua tafadhali
  18. B

    Nafasi Mpya za Kazi - INUKA

    Mbona sioni website yao?? Source he? Name doubt kimtindo
  19. B

    Ero Link Recruitment Agency - Scandal

    Yaani hii ishu imeninogea.. siwapendi hawa erolink puuu
Back
Top Bottom